Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Sijasema Mimi nitakua hai, Mimi na wewe tutakufa , Tanzania itabaki. Huyu mpuuzi anaidhalilisha Tz nje ya mipaka yake, aondolewe tu
Usijifanye mzalendo kuliko wengine !!
Ilitakiwa ujue kuwa maamuzi ya Lumumba kupitia mwenyekiti wake yanawakera WaTz wengine. Uzalendo ni pamoja na kuwa mkweli na mhaki kwa kila mTz
 
Kwa hiyo unaifananisha Tanzania na SA ya makaburu ww? Unajua kilichokuwa kimafanywa na makaburu kwa weusi aisee..labda na ww nikuulize ulikuwa na umri gani maana unashindwa kukumbuka namna wale jamaa walivyokuwa wanawateketeza wenzetu. Ule ulikuwa ni ubaguzi wa rangi uliozidi kipimo. Hapa ni tofauti..huo utesaji mnaoshikia bango ni wa kifikirika zaidi..
 
Tanzania sio salama kuishi ukilinganisha na nchi gani? Mwanzo nilijisikia vibaya kwa uhuni alio fanyiwa na attempt ya kumuua iliyo shindwa, lakini huku anapo elekea siko. Huwezi kuwa unawaza kuisema nchi tena ugenini. Huko Ulaya au nchi zingine si kwamba hakuna madhaifu, lakini wakienda nje wanaeleza mazuri, madhaifu wanabanana humo kuyashughulikia. Hakuna nchi inaongoza kupigwa watu risasi hovyo kama US , lakini hutasikia CNN au vyombo vyao vingine vikitangaza hayo!!!! Tundu lissu ni janga, kama vipi aishie huko huko ahamie, huu ni uhaini, akirudi hapa atubu au amalizwe!!! Shabaash
Kaongea tayar au bado mbona unampangia mambo ya kuongea wewe subir azungumze kwanza ndio utokwe mapovu
 
Kwa hiyo unaifananisha Tanzania na SA ya makaburu ww? Unajua kilichokuwa kimafanywa na makaburu kwa weusi aisee..labda na ww nikuulize ulikuwa na umri gani maana unashindwa kukumbuka namna wale jamaa walivyokuwa wanawateketeza wenzetu. Ule ulikuwa ni ubaguzi wa rangi uliozidi kipimo. Hapa ni tofauti..huo utesaji mnaoshikia bango ni wa kifikirika zaidi..
Niwakufikirika kwa maana kiwa si halisi?Kwa maana hiyo Lissu hakupigwa Lisasi?.
 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi huru...hili ni somo gumu sana kwa makarai
Muungano wa TANGANYIKA na ZANZIBAR.
Muungano wa Tanzania na nani?[emoji83] [emoji196]
 
Sijasema Mimi nitakua hai, Mimi na wewe tutakufa , Tanzania itabaki. Huyu mpuuzi anaidhalilisha Tz nje ya mipaka yake, aondolewe tu
Hata akiondolewa wataibuka wengine mkuu,unadhani lissu atakuwa mtu Wa kwanza kuondolewa?akili Yangu ndogo inaniambia badala kuhangaika na Lissu tungetulia tu huku tunajiuliza why haya yanatutokea na nini tufanye haya yasitutokee tena full stop
 
Let me watch this game of throne! [emoji2] simchezo asee naiona tz ileee
 
Tundu Lissu ni janga la Taifa kabisa. Huyu mtu akirudi asivute Pumzika ya Nchi hata mwezi. Ni mpuuzi, lofa, mpumbavu , mjinga na mbinafsi. Anayoyafanya ni kwa faida ya nani? Aangalie hao wanaomtembelea juenda wana mambo mengi nyuma ya pazia, maana tumeambiwa TL hana ndevu na kanenepa mnoo kwa kula tu mikuku huku akiwa kalala.

Waliompiga risasi walifanya kwa faida ya nani?
Wanao ua demokrasia wanafanya hivyo kwa faida ya nani?
Walimpoteza Saanane walifanya hivyo kwa faida ya nani?
Ambaye hataki kukosolewa anafanya hivyo kwa faida ya nani?

Hakuna mtu aliyemwaga damu ya binadamu mwenzake akabaki salama milele, hata ukiwa na jeshi kubwa na kuomba wengine kutoka rwanda. Dawa ni kuacha uovu na kutoa haki sawa kwa wote.
 
Back
Top Bottom