Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

shithole
 
Huyu jamaa niliwahi kusema dawa yake ni RISASI tu, na zamu hii hachomoi, labda aombe akae huko huko asirudi.
 
Mwabasheria hupimwa kwa kesi hebu tuambie kesi IPI ya maana kubwa ya kihistoria aliyowahi shinda?
Jumuiya ya kimataifa INA maslahi mapana makubwa na Tanzania kuliko kichwa cha Lisu.Jumuiya ya kimataifa ichukue hatua Kisa kuna individuals watatu wanne wamepigwa nondo au risasi kwenye makalio na vibaka???!!!!!!
Mbumbumbu Jazz ya Lumumba OG shithole
 
"It's better to die martyr while defending justice than live to perpetrate evil". NB:We all have to die sometime and even the perpetrators of evil will not be spared. Mind you.
 
Huyu jamaa niliwahi kusema dawa yake ni RISASI tu, na zamu hii hachomoi, labda aombe akae huko huko asirudi.
Da, kwa hiyo unawafamu walomjeruhi! Au ni wewe, kumbe assassins tunao humu humu ila take it from me hata nyie hamtabaki mkila bata. Sure I tell you something extraordinary will have to happen as a retribution.
 
Khah!
 
Sijui ulikuwa na umri gani wakati tulipokuwa tunashupalia akina John Foster na Botha wawekewe vikwazo na mataifa hayohayo? Kwa kiasi fulani tulifanikiwa na South Africa ya leo sio ile ya Foster!


Hivi unafahamu ni Binadamu wangapi Dunia hii wamepanga foleni Ofisi za Wazungu kuwaelezea matatizo yao? Au unafikiri ishu ya Tundu Lisu ni special na ya kipekee?
 
Pointless
 
Lisu kwenda ubelgiji ilikuwa taktik ili kutiktak yanayojiri tanzania
 
Bora wasingempiga risasi haisee,watasababisha wajue na mengine wasiyoyajua kuhusu TZ
 
Mbona inaonekana umeumia sana mkuu, this is a politics
 
Da, kwa hiyo unawafamu walomjeruhi! Au ni wewe, kumbe assassins tunao humu humu ila take it from me hata nyie hamtabaki mkila bata. Sure I tell you something extraordinary will have to happen as a retribution.
You know nothing about RETRIBUTION, siku ukijua alichofanya mpaka akatwangwa risasi ndo utapata akili ya kuwa huyo jamaa sio shujaa kama mnavyodhani.Endeleeni kumpa kichwa mitandaoni.
 
Kumpiga risasi 38 Lissu ilikuwa kosa kubwa. Kupona kwake dhidi ya shambulizi hilo ni kosa kubwa sana, tena zaidi sana walilolifanya watesi wake.
 
Kiongozi kama Ung'eng'e kwako ni issue si utumie kiswahili tu..? Sasa unaposema a politics unatupa ujumbe gani kaka wakati unafahamu hicho si kiingereza?
 
Ila mnafurahishwa na waliommiminia risasi 38 na kumnyima haki yake ya matibabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…