Rudia kusoma posts # 5, # 6, # 7 za uzi huu.Sijaelewa tatizo la Bwana Tundu Lissu (kama ni kweli) kukutana na hawa watu ni nini hata watu mnaanza kuweweseka na kurusha maneno makali makali kiasi hiki?
Na najiuliza tu kuwa kama hawa viongozi wao wenyewe wanapenda kuonana na mheshimiwa huyu, kumsalimu na kuzungumza mawili matatu, iweje watu mnaanza ku pre - empty anachoweza kuzungumza?
Ni wazi kuwa, ninyi watu mnatamani Tundu Lissu huko aliko awe confined ndani ya chumba cha hospitali anakotibiwa na asiweze kuzungumza na yeyote zaidi ya ndugu zake huku Tanzania. Ndivyo mnavyotaka siyo? Na je, itawezekana kweli?
Hivi unafahamu ni Binadamu wangapi Dunia hii wamepanga foleni Ofisi za Wazungu kuwaelezea matatizo yao? Au unafikiri ishu ya Tundu Lisu ni special na ya kipekee?
Nakupa mfano mwepesi, ., sheria inasema ukihisi au ukimkamata mtu na bastola au bunduki ukahisi tu kuwa ni jambazi unampeleka kwenye vyombo vya sheria, ILA Africa hii wanarudi uraiani tena na kusumbua RAIA, SO sasa hivi hakuna muda wa kufata sheria, ni RISASI tu, tukikukamata na bunduki ni RISASI tu hata uwe Mtoto wa nani , ilimradi hauimilimi kihalali, ndo maana muda unavyoenda ujambazi unaisha, sio kama huko nyuma kila siku majambazi majambazi.. Tungefata sheria ingekuwaje???., SO wakati mwingine binadamu anahitaji ubabe ili Maisha yasonge, CHINA isingefika ilipo bila ubabe na ubabe wa RISASI, mtu akizingua ni RISASI tu huko CHINA. Huyo shujaa wenu anachoendelea kukitafuta atakipata tu.Unless you want to quote me out of the context, I've appropriately used that word to suit my desired intention.
Pili, tueleze sheria za nchi zinasemaje kuhusu mtu anayedaiwa kuvunja sheria, je anatumiwa watu kumuua au anapelekwa mahakamani.
Tatu, kama serikali yanyewe haiwezi kuheshimu sheria sasa itakuwaje na moral obligation to enforce the law? Answer please.
Nina wasiwasi na elimu yakoNakupa mfano mwepesi, ., sheria inasema ukihisi au ukimkamata mtu na bastola au bunduki ukahisi tu kuwa ni jambazi unampeleka kwenye vyombo vya sheria, ILA Africa hii wanarudi uraiani tena na kusumbua RAIA, SO sasa hivi hakuna muda wa kufata sheria, ni RISASI tu, tukikukamata na bunduki ni RISASI tu hata uwe Mtoto wa nani , ilimradi hauimilimi kihalali, ndo maana muda unavyoenda ujambazi unaisha, sio kama huko nyuma kila siku majambazi majambazi.. Tungefata sheria ingekuwaje???., SO wakati mwingine binadamu anahitaji ubabe ili Maisha yasonge, CHINA isingefika ilipo bila ubabe na ubabe wa RISASI, mtu akizingua ni RISASI tu huko CHINA. Huyo shujaa wenu anachoendelea kukitafuta atakipata tu.
Yaani atafanya mazungumzo na hao viongozi waandamizi wa Ulaya wodini huku mguu wake mmoja unaning'inia kitandani. Hawa makamanda wanafikiri mambo yanafanyika kiholela kama pale mtaa wa Ufipa.Kukutana au kumtembelea?
Foster ndio nani au ulitaka kumaanisha Voster?Sijui ulikuwa na umri gani wakati tulipokuwa tunashupalia akina John Foster na Botha wawekewe vikwazo na mataifa hayohayo? Kwa kiasi fulani tulifanikiwa na South Africa ya leo sio ile ya Foster!
Foster ndio nani au ulitaka kumaanisha Voster?
Bora wasingempiga risasi haisee,watasababisha wajue na mengine wasiyoyajua kuhusu TZ
Bora wasingempiga risasi haisee,watasababisha wajue na mengine wasiyoyajua kuhusu TZ
Mbona mmepanic sana.
Kwani hao waheshimiwa si wanaenda tu kumjulia hali ?.
Mshaurini awe diplomatic kidogo asiwabwatikie kama ilivyo kawaida yake of calling a spade a spade, na asitaje majina atakapozungumzia hali ya siasa tanzania, aeleze tu hali ilivyo.Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Mtu asiye haki hukimbia hata asipofukuzwa....acha waendelee kitabiliHivi jamani, ni mimi tu sielewi au?! Maana mimi naona hii ni tetesi tu kuwa Lissu atakutana na hao viongozi....ajabu kuna watu wanalaani na lawama kibao! Kwani kuna mpiga ramli amewaambieni kuwa watajadili nini?! Na kuna jamaa hapo juu kauliza kuwa Lissu anakutana nao kama nani! Kweli?! Hata tukiacha mengine yote, si ana uhuru wa kukutana nao kama mwanadamu aliyeshambuliwa kwa risasi zote hizo lakini Mungu akamponya?
Wanaotudhalikisha watz ni wale wakioanzisha tabia za kumiminiana risasi kishamba kabisa.....Sijasema Mimi nitakua hai, Mimi na wewe tutakufa , Tanzania itabaki. Huyu mpuuzi anaidhalilisha Tz nje ya mipaka yake, aondolewe tu
Concepts za kipumbavu kama hizi ndizo zinazozaa wale wanaojilipua ambao mwisho wa siku hamuwezi kuwadhibiti. Wanaanzaga hivyo hivyo dhuluma ikizidi.Nakupa mfano mwepesi, ., sheria inasema ukihisi au ukimkamata mtu na bastola au bunduki ukahisi tu kuwa ni jambazi unampeleka kwenye vyombo vya sheria, ILA Africa hii wanarudi uraiani tena na kusumbua RAIA, SO sasa hivi hakuna muda wa kufata sheria, ni RISASI tu, tukikukamata na bunduki ni RISASI tu hata uwe Mtoto wa nani , ilimradi hauimilimi kihalali, ndo maana muda unavyoenda ujambazi unaisha, sio kama huko nyuma kila siku majambazi majambazi.. Tungefata sheria ingekuwaje???., SO wakati mwingine binadamu anahitaji ubabe ili Maisha yasonge, CHINA isingefika ilipo bila ubabe na ubabe wa RISASI, mtu akizingua ni RISASI tu huko CHINA. Huyo shujaa wenu anachoendelea kukitafuta atakipata tu.
Lengo la nyie mashetani ilikuwa ni kumuua, Mungu amemponya ndio maana mnatatarika kama bisi kikaangoniMungu kamkataa Tundu Lisu na ndiyo maana kaacha aumie!
Of course mkuu SHITHOLES siku hizi hazichambi hadi kunuka mtaa mzima! kama huyo ngumbaru anayejitahidi naye kugombea ndio mtaji wa kile chama cha shitholes!Jifunze kuandika basi dogo. Masirahi/Morah ndo vidude gani hivyo?
Unafikiri ukiua ndo unapata thawabu. Wewe unasali kweli!
Ndio tabu ya kuwa "Boot Licker", unabakiwa na akili ya kuchamba tu. It's pitiable and pathetic for a person of your calibre to claim sanity.
Ok si wajomba zetu kama tutajitambua na kutetea uhai, usawa na maslahi ya taifa!! siyo hizi shitholes zinazojifanya miungu na kupanga nani afe bila sababu!!Mwaka 2018 Lini Tanzania ilipata uhuru? Hadi leo tunashitaki kwa wazungu? Maajabu makubwa? Miaka kumi iliyopita huyuhuyu alikuwa anawatusi wanatuibia sana,Leo kutwa kushitaki nchi za Ulaya, sijui wenzetu korea kaskasini wameshitakiwa mara ngapi? Lakini wapo tu wanaendesha mambo yao, wanajitambua vya kutosha, chonde chonde kizazi kipya tujitambue wazungu si wajomba zetu wala siyo Binamu zetu
Kuna vinaja wenye shida sana ya uelewa ndani hii nchi. Tanzania ni nchi huru ambayo mambo yake yanajitegemea..Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA