Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
who is Lissu?Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Huyu mpuuzi Lissu kawa mwiba kwa nchi yetu, anaichafua kwa faida ya nani?
Hata kama kuna udhaifu ndani ya nyumba, ni uhayawani kuanza kubwabwaja mtaani. Akirudi wammiminie risasi hata 1000 hana faida kabisa[/QUO
Hiki nacho kiwanda eti rip tz
Huyu mpuuzi Lissu kawa mwiba kwa nchi yetu, anaichafua kwa faida ya nani?
Hata kama kuna udhaifu ndani ya nyumba, ni uhayawani kuanza kubwabwaja mtaani. Akirudi wammiminie risasi hata 1000 hana faida kabisa[/QUOTES
Hiki nacho kiwanda eti rip tz
Huyu mpuuzi Lissu kawa mwiba kwa nchi yetu, anaichafua kwa faida ya nani?
Hata kama kuna udhaifu ndani ya nyumba, ni uhayawani kuanza kubwabwaja mtaani. Akirudi wammiminie risasi hata 1000 hana faida kabisa[/QUOSikTE]
Siku akipigwa baba yako na akili zitarudi.
...A Grain of Wheat...Tundu Lisu awe chachu ya ukombozi
Baada ya zile taarifa za Tanzania kuonywa kufanya biashara na N:Korea Tanzania ilifunga safari hadi Marekani kwenda kuomba msamaha, kwanini msinge potezea?Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi huru...hili ni somo gumu sana kwa makarai
Athubutu hata mimi nitampiga na jiweTundu Lisu awe chachu ya ukombozi
Anaweza kuwa chachu wa machafuko Tanzania ili wazungu waendelee kunufaika, hakuna mzungu anayejishughulisha na Nchi nyingine yoyote bila faida.Tundu Lisu awe chachu ya ukombozi
Learn from Libya,Whoah! Good move. Garnering the international support. As well as being brave, this man is very shrewd.
Alafu Jumuiya ikashatutenga tutaishi kama mashetani na yeye atakuwa yupo njee.Atahakikisha jumuiya ya kimataifa inaitenga na kuisusa Tanzania
Kwanini usijiondoe mwenyewe, wewe unajionaje kama uko sahihiSijasema Mimi nitakua hai, Mimi na wewe tutakufa , Tanzania itabaki. Huyu mpuuzi anaidhalilisha Tz nje ya mipaka yake, aondolewe tu
Learn from Libya,
Libya Got the support you are talking about.
Uko sawa, acha hawa akina msibaUCHUNGUZI HURU UMEBAINI KWAMBA MH TUNDU LISSU NDIYE MWANASHERIA BORA KABISA KUWAHI KUWEPO KWENYE ENEO LA MAZIWA MAKUU TANGU KUUMBWA KWA MBINGU NA ARDHI