PreGE2025 Lissu: Kuna haja ya kufanya maamuzi magumu ili kulazimisha mabadiliko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amesema kuwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa muda mrefu wamekataa kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi hivyo kwa sasa wanalazimika kufanya maamuzi magumu ili kulazimisha mabadiliko.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

My Take
Lisu akikinukisha ana pa kukimbilia-Ubelgiji .

Wewe mwanakijiji Ukiharibu unapopatia msosi wa Watoto wako ,unapolala utakimbilia wapi?
Huo uwezo wa kuzuia uchaguzi jamani hatuna tunajidanganya tu kama mazuzu! Bora tungehamasisha watu wakadhibiti wizi wa kura kule vituoni. Wananchi wenyewe waelimishwe namna ya kudhibiti wizi.kwa mfano sheria inatambua watu wangapi wanaruhusiwa kuingia kituoni? Hao hao ndio tuhakikishe hakuna wa zaidi ya hapo anayeweza kuingia vituoni kwa ulinzi wa wananchi wenyewe! Sasa kusema tzuie uchaguzi una mbinu gani za kuzuia? Utafanya fujo? Hao wananchi wa kufanya fujo hatunao jamani!.
 
Mimi na familia yangu nitoke nyumbani kwenda kuharibu kuzuia watu wengine wasipige kula.Huo utakuwa ni uwendawazimu
Hapo ulipo kwa kukosa ufahamu na uelewa simple kama huu, tayari ni mwendawazimu...

Maana kama uchaguzi wa mwaka jana tu 2024 wa vijiji na mitaa wagombea wenu karibu 65% walienguliwa wasigombee kwa hila na ubabe tu na waliobahatika kugombea na kushinda waliporwa haki yao mchana kweupe, kwenda kupiga kura ktk mazingira haya haya tena bila kwanza kudai mabadiliko kuna maana gani hasa kwako kama huo sio uwendawazimu wenyewe unaodhani kuwa huna kumbe umeubeba kichwani mwako hapo ulipo...???

##NO REFORMS, NO ELECTION 2025 MPAKA TUFANYE MABADILIKO YA KIKATIBA NA KISHERIA KURUHUSU CHAGUZI HURU, WAZI, ZA HAKI NA ZA KUAMINIKA...!

##STRONGER TOGETHER......
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amesema kuwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa muda mrefu wamekataa kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi hivyo kwa sasa wanalazimika kufanya maamuzi magumu ili kulazimisha mabadiliko.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

My Take
Lisu akikinukisha ana pa kukimbilia-Ubelgiji .

Wewe mwanakijiji Ukiharibu unapopatia msosi wa Watoto wako ,unapolala utakimbilia wapi?
Kwani kila mtu huwa anakimbia wakati wa Vita? Nitajie nchi moja ambayo wananchi wote walikimbia baada ya kuzuka vita ama machafuko? Bado mnatumia hivi vitisho vya kizamani.
 
kwani huyo atakaye waua watanzania nayeye c mtanzania shida iko wapi
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amesema kuwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa muda mrefu wamekataa kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi hivyo kwa sasa wanalazimika kufanya maamuzi magumu ili kulazimisha mabadiliko.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

My Take
Lisu akikinukisha ana pa kukimbilia-Ubelgiji .

Wewe mwanakijiji Ukiharibu unapopatia msosi wa Watoto wako ,unapolala utakimbilia wapi?
Kama mnajua anapakukimbilia mbona mlipigaga risasi?! Angekuwa na pa kwenda angesubiri zile risasi zote?! Pumbavu zako.
 
Kwani kila mtu huwa anakimbia wakati wa Vita? Nitajie nchi moja ambayo wananchi wote walikimbia baada ya kuzuka vita ama machafuko? Bado mnatumia hivi vitisho vya kizamani.
Hawana uwezo wa kukimbia ndio maana tunawakumbusha ya Sudan
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amesema kuwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa muda mrefu wamekataa kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi hivyo kwa sasa wanalazimika kufanya maamuzi magumu ili kulazimisha mabadiliko.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

My Take
Lisu akikinukisha ana pa kukimbilia-Ubelgiji .

Wewe mwanakijiji Ukiharibu unapopatia msosi wa Watoto wako ,unapolala utakimbilia wapi?
Yes by creating uncertainty scenarios, uncertainty scenarios is the best solution

Binadamu ndiyo kisababishi kikuu cha yasiyotarajiwa katika maisha ya mwanadamu, yasiyotarajiwa husababisha 1. Taarifa, 2. Mjanga, 3. Binadamu
 
In a way I understand him, watu wasipoamua kwa dhati, mkoloni mweusi hana habari na wala hajigusi, amenogewa na madaraka na hataki kusikia habari za katiba mpya, anajua ikibadilishwa tu anang'oka. Habari za katiba mpya kwake ni uasi na uvunjifu wa amani, huyu mkoloni mweusi anajua kabisa hapendwi, watu wamemchoka.

Mkoloni mweusi is a disgrace to our nation.
 
Kama mnajua anapakukimbilia mbona mlipigaga risasi?! Angekuwa na pa kwenda angesubiri zile risasi zote?! Pumbavu zako.
Nani alimpiga? Pale ilimtokea Kwa kuvamiwa tuu na hakuwa na mission ya kupanga vurugu kama anavyosema Sasa.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amesema kuwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa muda mrefu wamekataa kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi hivyo kwa sasa wanalazimika kufanya maamuzi magumu ili kulazimisha mabadiliko.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

My Take
Lisu akikinukisha ana pa kukimbilia-Ubelgiji .

Wewe mwanakijiji Ukiharibu unapopatia msosi wa Watoto wako ,unapolala utakimbilia wapi?
anasema hayo akiwa tayari na tiketi ya ndege ✈️ mfukoni dah, utapeli ni tabia mbaya sana 🐒
 
Back
Top Bottom