900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
kichaka ya uhani imefeli ongelea kingineShida ipo wanaotaka kufanya uhaini Kwa nini wasishughulikiwe?
kichaka ya uhani imefeli ongelea kingineShida ipo wanaotaka kufanya uhaini Kwa nini wasishughulikiwe?
Sawa Oktoba sio mbalikichaka ya uhani imefeli ongelea kingine
Lissu apambane pia na Hilo tumbo lake jamani linatisha!!Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amesema kuwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa muda mrefu wamekataa kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi hivyo kwa sasa wanalazimika kufanya maamuzi magumu ili kulazimisha mabadiliko.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
My Take
Lisu akikinukisha ana pa kukimbilia-Ubelgiji .
Wewe mwanakijiji Ukiharibu unapopatia msosi wa Watoto wako ,unapolala utakimbilia wapi?
Basi sawaNani alimpiga? Pale ilimtokea Kwa kuvamiwa tuu na hakuwa na mission ya kupanga vurugu kama anavyosema Sasa.
Samia alishawaambia kipindi mnaandamana wenyewe kwamba Rais haondolewi kijinga na kizembe hivyo.Wataenda atakapokuwa Samia.
Nilijua nimeona peke yangu.Lissu apambane pia na Hilo tumbo lake jamani linatisha!!
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amesema kuwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa muda mrefu wamekataa kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi hivyo kwa sasa wanalazimika kufanya maamuzi magumu ili kulazimisha mabadiliko.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
My Take
Lisu akikinukisha ana pa kukimbilia-Ubelgiji .
Wewe mwanakijiji Ukiharibu unapopatia msosi wa Watoto wako ,unapolala utakimbilia wapi?
Ulafi tu unamaumbua unene unaweza punguzwa kwa dietNilijua nimeona peke yangu.
Kimsinhi Toka apate Changamoto ya kushambuliwa inaonekana huwezi kufanya mazoezi so wangapi unajazana hapo.
1. Tuelimishe wewe utazuiaje wizi ktk uchaguzi iwapo mfumo wa uchaguzi na katiba na sheria zake zinaruhusu wafanye uchafu huo? Kama mnaweza kuzuia huku mkiwa washiriki, mlishindwa nini kuzuia mwaka 2019, 2020 na mwaka jana 2024..?Huo uwezo wa kuzuia uchaguzi jamani hatuna tunajidanganya tu kama mazuzu! Bora tungehamasisha watu wakadhibiti wizi wa kura kule vituoni. Wananchi wenyewe waelimishwe namna ya kudhibiti wizi.kwa mfano sheria inatambua watu wangapi wanaruhusiwa kuingia kituoni? Hao hao ndio tuhakikishe hakuna wa zaidi ya hapo anayeweza kuingia vituoni kwa ulinzi wa wananchi wenyewe! Sasa kusema tzuie uchaguzi una mbinu gani za kuzuia? Utafanya fujo? Hao wananchi wa kufanya fujo hatunao jamani!.
Imeharibiwaje?Lazima uwe na upungufu wa akili kuamini kuwa nchi yetu haijaharibiwa.
Kwa akili yako, wanaoteka na kuua wanaomkosoa Rais au Serikali, wanaijenga nchi au wanaibomoa?
Wanaopora haki za wananchi za kuwachagua viongozi wanaowataka, wanajenga nchi au wanabomoa nchi?
Boya huyo.TAL hii kazi nimehisi itamshinda!
Yeye mke wake na wanae wapo UlayaNdio Lisu amesema nendeni mkakiwashe 😆😆
Na ukifanyika je?1. Tuelimishe wewe utazuiaje wizi ktk uchaguzi iwapo mfumo wa uchaguzi na katiba na sheria zake zinaruhusu wafanye uchafu huo? Kama mnaweza kuzuia huku mkiwa washiriki, mlishindwa nini kuzuia mwaka 2019, 2020 na mwaka jana 2024..?
2. Ni hivi ndugu Manjagata, ni vyema ukaacha kujifanya mjinga usiyeelewa. Au kiri kuwa wewe ni mjinga tu ili uelimishwe kuliko kuendelea kutuhubiria ujinga wenu huu.
3. Nani kakuambia kuwa dhana ya kuzuia uchaguzi maana yake ni kushiriki uchaguzi hewa kisha mkiwa kwenye kituo cha kupigia kura uweke geti la kuzuia watu watu wasipige hizo kura feki....?
4. Sikiliza bwana, dhana ya kuzuia uchaguzi ni kuelimisha watu kutokwenda kupiga kura kwenye uchaguzi wanaojua fika kuwa kura zao siyo zinazoamua nani mshindi bali utashi wa watawala wakitumia majeshi na mifumo mibovu inayowapendelea wao...
Hilo nalo ni gumu kiasi gani kulielewa kama sio kuwa mmeamua kuwa wajinga kwa makusudi tu...??
Put this in your mind. Kwamba, Uchaguzi mkuu mwaka huu wa 2025 hautafanyika mpaka pale tutakapokaa chini kama taifa kufanya mabadiliko ya kisheria na kikatiba ili kujenga mfumo huru, wa haki na wazi ktk chaguzi zetu usiopendelea chama cha siasa au mtu awaye yeyote...!!
Tukimaliza kufanya mabadiliko, tutashiriki wote kwenye uchaguzi hata kama ni 2026 au 2027....!
Lisu hana uwezo huo hata ch
Hakuna kitu cha kibinadamu kinachodumu milele.Huo uwezo wa kuzuia uchaguzi jamani hatuna tunajidanganya tu kama mazuzu! Bora tungehamasisha watu wakadhibiti wizi wa kura kule vituoni. Wananchi wenyewe waelimishwe namna ya kudhibiti wizi.kwa mfano sheria inatambua watu wangapi wanaruhusiwa kuingia kituoni? Hao hao ndio tuhakikishe hakuna wa zaidi ya hapo anayeweza kuingia vituoni kwa ulinzi wa wananchi wenyewe! Sasa kusema tzuie uchaguzi una mbinu gani za kuzuia? Utafanya fujo? Hao wananchi wa kufanya fujo hatunao jamani!.
Ataklmbilia alipoacha watoto wake na mke wake. Wenzangu mimi wataswekwa rumande Segerea wakusubiri Hashtag za #FREE SomebodyMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amesema kuwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa muda mrefu wamekataa kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi hivyo kwa sasa wanalazimika kufanya maamuzi magumu ili kulazimisha mabadiliko.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
My Take
Lisu akikinukisha ana pa kukimbilia-Ubelgiji .
Wewe mwanakijiji Ukiharibu unapopatia msosi wa Watoto wako ,unapolala utakimbilia wapi?
98.5% ya Watanzania wako na msimamo huu. Wanaangalia maisha yao, watoto wao na amani yao. Haya mambo ya kutaka nani aingie Ikulu HAYATUHUSUMimi na familia yangu nitoke nyumbani kwenda kuharibu kuzuia watu wengine wasipige kula.Huo utakuwa ni uwendawazimu
Hizo ni ndoto za alinacha! CCM lina wanachama wengi tu na ndio haohao watakaopiga kura na kutoa washindi huku wakisindikizwa na vyama rafiki kama ACT na mzee wa ubwabwa. Ni mpumbavu tu ndiye anaweza kuamini kwamba CHADEMA tutaweza kuzuia uchaguzi! G55 waruhusiwe kugombea full stop! Hivi kwa akili yako.ilijaa uduvi unaona kabisa kuna Mtanzania wa kugomea uchaguzi hapa!1. Tuelimishe wewe utazuiaje wizi ktk uchaguzi iwapo mfumo wa uchaguzi na katiba na sheria zake zinaruhusu wafanye uchafu huo? Kama mnaweza kuzuia huku mkiwa washiriki, mlishindwa nini kuzuia mwaka 2019, 2020 na mwaka jana 2024..?
2. Ni hivi ndugu Manjagata, ni vyema ukaacha kujifanya mjinga usiyeelewa. Au kiri kuwa wewe ni mjinga tu ili uelimishwe kuliko kuendelea kutuhubiria ujinga wenu huu.
3. Nani kakuambia kuwa dhana ya kuzuia uchaguzi maana yake ni kushiriki uchaguzi hewa kisha mkiwa kwenye kituo cha kupigia kura uweke geti la kuzuia watu watu wasipige hizo kura feki....?
4. Sikiliza bwana, dhana ya kuzuia uchaguzi ni kuelimisha watu kutokwenda kupiga kura kwenye uchaguzi wanaojua fika kuwa kura zao siyo zinazoamua nani mshindi bali utashi wa watawala wakitumia majeshi na mifumo mibovu inayowapendelea wao...
Hilo nalo ni gumu kiasi gani kulielewa kama sio kuwa mmeamua kuwa wajinga kwa makusudi tu...??
Put this in your mind. Kwamba, Uchaguzi mkuu mwaka huu wa 2025 hautafanyika mpaka pale tutakapokaa chini kama taifa kufanya mabadiliko ya kisheria na kikatiba ili kujenga mfumo huru, wa haki na wazi ktk chaguzi zetu usiopendelea chama cha siasa au mtu awaye yeyote...!!
Tukimaliza kufanya mabadiliko, tutashiriki wote kwenye uchaguzi hata kama ni 2026 au 2027....!
Hao wananchi unawacheka, hawana pa kulala wala pa kupatia watoto wao chakula. Vyote hivyo vimechukuliwa na ccmMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amesema kuwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa muda mrefu wamekataa kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi hivyo kwa sasa wanalazimika kufanya maamuzi magumu ili kulazimisha mabadiliko.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
My Take
Lisu akikinukisha ana pa kukimbilia-Ubelgiji .
Wewe mwanakijiji Ukiharibu unapopatia msosi wa Watoto wako ,unapolala utakimbilia wapi?
Wacha kutufundisha woga we jamaa! Kitanukishwa na tutabanana hapa hapa.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amesema kuwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa muda mrefu wamekataa kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi hivyo kwa sasa wanalazimika kufanya maamuzi magumu ili kulazimisha mabadiliko.