The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Vyama viko vingi...Hizo ni ndoto za alinacha! CCM lina wanachama wengi tu na ndio haohao watakaopiga kura na kutoa washindi huku wakisindikizwa na vyama rafiki kama ACT na mzee wa ubwabwa. Ni mpumbavu tu ndiye anaweza kuamini kwamba CHADEMA tutaweza kuzuia uchaguzi! G55 waruhusiwe kugombea full stop! Hivi kwa akili yako.ilijaa uduvi unaona kabisa kuna Mtanzania wa kugomea uchaguzi hapa!
Kama hawakubaliani na msimamo wa chama, watoke waende vyama vingine (CCM au UDP au CUF Lipumba nk) au waanzishe chama chao ili watumie platform hiyo kupingana na CHADEMA na wagombee huo ubunge...
It's simple just like that...