stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Nafuatiliaga Coment zako zimekaa kishoga sana, hazieleweki, kwani ni lazima uwe una coment kila post?
Wanajaribu kupima kina cha maji kwa kutumia miguu.Umedharauliwa na kila mtu
Chaumma haihusiki kwenye hili. CCM wangetaka kuwapa matokeo waliyotaka wangewapa tu. Tofauti na unavyodai, CCM walijua kuna wapiganaji wengi wa Chaumma ambao wangewasumbua sana wangeingia mjengoni. Wangewapa nafasi ingekula kwao. Na inawezekana kabisa kuwa matokeo yale ni kwa sababu Chaumma walikataa kutumika.Cdm sio CUF boss, naona mnatunga propaganda wenyewe na mnaziamini. Kama kuna chama kimevuka mizengwe ya ccm, basi hicho ni cdm. Kawahongeni masalia ya team Mbowe wajifanye kuna mgogoro cdm, maana waliohamia Chauma walishindwa kuwapa matokeo tarajiwa.
Hapana bwana, CHAUMMA wametapeliwa.Chaumma haihusiki kwenye hili. CCM wangetaka kuwapa matokeo waliyotaka wangewapa tu. Tofauti na unavyodai, CCM walijua kuna wapiganaji wengi wa Chaumma ambao wangewasumbua sana wangeingia mjengoni. Wangewapa nafasi ingekula kwao. Na inawezekana kabisa kuwa matokeo yale ni kwa sababu Chaumma walikataa kutumika.
Amandla...