Lissu kuondolewa uenyekiti ilitabiriwa mapema sana.

Lissu kuondolewa uenyekiti ilitabiriwa mapema sana.

Chaumma haihusiki kwenye hili. CCM wangetaka kuwapa matokeo waliyotaka wangewapa tu. Tofauti na unavyodai, CCM walijua kuna wapiganaji wengi wa Chaumma ambao wangewasumbua sana wangeingia mjengoni. Wangewapa nafasi ingekula kwao. Na inawezekana kabisa kuwa matokeo yale ni kwa sababu Chaumma walikataa kutumika.

Amandla...
Hakuna team Mbowe yoyote aliyeenda Chauma angeweza kusumbua mjengoni wala nje. Labda Hashimu Rungwe mwenyewe maana yeye alikuwa na hicho chama muda wote, sio hao project. Chauma wakatae kutumika zaidi ya walivyotumika?
 
Hiyo ni imani yako.

Amandla...
 
Hapana bwana, CHAUMMA wametapeliwa.

Ushirika wa wachawi…
Hiyo ni imani yako. Sikubaliani na wewe kuwa watu kama Yospheter, Suzan, Catherine, Aisha n.k. walikubali hongo ya kijinga hivyo. Lakini ni sawa tu kama wewe una amini hivyo.

Amandla...
 
Hata mwenyekiti wa chama fulani yupo mafichoni, anaibuka mara moja moja halafu anarudi chimbo...na yeye wangemuondoa tu😁
 
Cdm sio CUF boss, naona mnatunga propaganda wenyewe na mnaziamini. Kama kuna chama kimevuka mizengwe ya ccm, basi hicho ni cdm. Kawahongeni masalia ya team Mbowe wajifanye kuna mgogoro cdm, maana waliohamia Chauma walishindwa kuwapa matokeo tarajiwa.
pole sana
 
Back
Top Bottom