maFISIEMU yanajua katiba ya CDM kuliko ya kwao
Wewe chawa, wacha uzushi na propaganda. Msimamo wa Mh. Heche ni huu hapa chini:
Umedharauliwa na kila mtu
mkiambiwa mnatumia matako kufikiri badala ya ubongo mnasema mnatukanwa.....mtasubiri sana ..
Nafuatiliaga Coment zako zimekaa kishoga sana, hazieleweki, kwani ni lazima uwe una coment kila post?
Punguza porojo na msongo wa mawazo
Cdm sio CUF boss, naona mnatunga propaganda wenyewe na mnaziamini. Kama kuna chama kimevuka mizengwe ya ccm, basi hicho ni cdm. Kawahongeni masalia ya team Mbowe wajifanye kuna mgogoro cdm, maana waliohamia Chauma walishindwa kuwapa matokeo tarajiwa.
Wanajaribu kupima kina cha maji kwa kutumia miguu.Umedharauliwa na kila mtu
Chaumma haihusiki kwenye hili. CCM wangetaka kuwapa matokeo waliyotaka wangewapa tu. Tofauti na unavyodai, CCM walijua kuna wapiganaji wengi wa Chaumma ambao wangewasumbua sana wangeingia mjengoni. Wangewapa nafasi ingekula kwao. Na inawezekana kabisa kuwa matokeo yale ni kwa sababu Chaumma walikataa kutumika.Cdm sio CUF boss, naona mnatunga propaganda wenyewe na mnaziamini. Kama kuna chama kimevuka mizengwe ya ccm, basi hicho ni cdm. Kawahongeni masalia ya team Mbowe wajifanye kuna mgogoro cdm, maana waliohamia Chauma walishindwa kuwapa matokeo tarajiwa.
Hapana bwana, CHAUMMA wametapeliwa.Chaumma haihusiki kwenye hili. CCM wangetaka kuwapa matokeo waliyotaka wangewapa tu. Tofauti na unavyodai, CCM walijua kuna wapiganaji wengi wa Chaumma ambao wangewasumbua sana wangeingia mjengoni. Wangewapa nafasi ingekula kwao. Na inawezekana kabisa kuwa matokeo yale ni kwa sababu Chaumma walikataa kutumika.
Amandla...