Lissu kuondolewa uenyekiti ilitabiriwa mapema sana.

Hakuna team Mbowe yoyote aliyeenda Chauma angeweza kusumbua mjengoni wala nje. Labda Hashimu Rungwe mwenyewe maana yeye alikuwa na hicho chama muda wote, sio hao project. Chauma wakatae kutumika zaidi ya walivyotumika?
 
Hiyo ni imani yako.

Amandla...
 
Hapana bwana, CHAUMMA wametapeliwa.

Ushirika wa wachawi…
Hiyo ni imani yako. Sikubaliani na wewe kuwa watu kama Yospheter, Suzan, Catherine, Aisha n.k. walikubali hongo ya kijinga hivyo. Lakini ni sawa tu kama wewe una amini hivyo.

Amandla...
 
Hata mwenyekiti wa chama fulani yupo mafichoni, anaibuka mara moja moja halafu anarudi chimbo...na yeye wangemuondoa tu😁
 
Cdm sio CUF boss, naona mnatunga propaganda wenyewe na mnaziamini. Kama kuna chama kimevuka mizengwe ya ccm, basi hicho ni cdm. Kawahongeni masalia ya team Mbowe wajifanye kuna mgogoro cdm, maana waliohamia Chauma walishindwa kuwapa matokeo tarajiwa.
pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…