PUSHKIN 2000
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 362
- 176
Sasa nimeanza kuamini uhalisia wa DEVILS ADVOCATE!!! hata Bongo wapo..na tunawaona...Kwani walipomchagua walimkataza asiende mahakamani na segerea? Jukumu la kuwaletea maendeleo watu wa jimbo lake ni la serikali ya CCM chini ya magufuli, mbunge ni muwakilishi tu wa wananchi.
Hamna kesi hapo wanachokisubir ni aibu kesi itakapotupiliwa mbali pamoja lundo la mawakili waopolisi Ccm mm cna ham nao siku 1 nilikuwa nasafiri kwenda china sijui ikatokea nn pale Airport tukapelekwa central kukaguliwa mbona titi na papuchi yangu vilikoma full kupekuliwa na kushikwa shikwa. Sasa wamekutana na Mwanasheria ngoja huyo polisi aisome namba
Throwing 'tantrums'Sasa nimeanza kuamini uhalisia wa DEVILS ADVOCATE!!! hata Bongo wapo..na tunawaona...
Ni kweli wakili kwa mujibu wa sheria, ni afisa wa mahakama. lakin unaposema alizuiwa kufanya kazi yake unakosea. kwa sababu wajibu wake aliutimiza salama ndani ya mahakama na akatoka nje ya mahakama. alizuiwa kufanya press conference katika viunga vya mahakama na kuamuliwa akafanyie hiyo press conf ofisini kwake. Au unataka kutuambia kwamba anayo haki wa kufanya pree conf isiyorasmi nje ya mahakamana kuadhiri shughuli za mahakama zinazoendelea ndani??? siamini kama haki hiyo anayo.Sijui kwa nini vilaza wale hawakupeleka maWP kumshikashika mama mwenzao? mbali na kumshikashika na ''kumtengua bega'', kumtoa ''afisa wa mahakama'' kwenye eneo lake la kazi na ''kumzuia kutimiza wajibu wake'' kwa style ile ni kosa la jinai🙂
Kwa hali hii inaonyesha vijana wa kitanzania na wasomi mmekosa vya kufanya kesi kama hiyo mawakili 29 na inaonyesha ni jinsi gani kuwa mawakili hawajiamini na usomi wao. Wasilete kisingizio cha mshikamano bali ni kutokujiamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni upendo wa dhati.Kwa hali hii inaonyesha vijana wa kitanzania na wasomi mmekosa vya kufanya kesi kama hiyo mawakili 29 na inaonyesha ni jinsi gani kuwa mawakili hawajiamini na usomi wao. Wasilete kisingizio cha mshikamano bali ni kutokujiamini
Sent using Jamii Forums mobile app
ID yako hakika inasadifu ulichoandika...Abuse of proffession....Hivi polisi wakiamua kuwakamata ile kisawasawa watakuwa wazima kweli?
Kwa uelewa wako anaeshitakiwa ni dola au yule afande uchwara?Kwa Afrika yetu hii huwezi shindana na dola,dola ina nguvu kuliko sheria!Huyo Fatma bora atulie tu asitafute shida!
Sikiliza Toka Kwangu!
Kwa uelewa wako anaeshitakiwa ni dola au yule askari polisi?Kwa Afrika yetu hii huwezi shindana na dola,dola ina nguvu kuliko sheria!Huyo Fatma bora atulie tu asitafute shida!
Sikiliza Toka Kwangu!
Siku ya kesi polisi wawakamate mawakili wote 29 na kuwasweka ndani na uchocheziRais wa chama cha wanasheria nchini na mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ataongoza jopo la mawakili 29 watakaomtetea Wakili Fatma Karume Katika Kesi Yake Ya Kushikwa Mwili Wake Bila Ya Ridhaa, Kuvutwa Kwa Nguvu Na Kusababishiwa Madhara Katika Bega Lake.
Katika Kesi Hiyo Iliyofunguliwa Mahakama Kuu Ya Tanzania, Bi.Fatma Anamdai Fidia Ya Shilingi Bilioni Moja, Inspekta Eugen Mwampondela Wa Kituo Kikuu Cha Polisi DSM. Fatma Karume amshtaki Polisi aliyemzonga Mahakamani, adai fidia ya bilioni moja
Kesi Itakapoanza Kusikilizwa, Mtuhumiwa Atatakiwa Kuwepo Kizambani Kujieleza Na Kujibu Maswali.
My Take
Cross Examination za Tundu Lissu hazijawahi kumuacha askari salama