Huku wananchi kwenye jimbo la Tundu Lissu wakiwa na kero za kufa mtu yeye yuko Dar akifanya mambo ya kitoto kama haya?! Ujinga na uzuzu kabisa..Yazidisha kuaminika kweli ukikosa sera na ilani matokeo yake ndiyo hayaa...Yeyote atakayepeleka kesi ya kipuuzi namna hii kwenye mahakama tukufu na wote watakaomtetea wafutiwe leseni ya uwakili na kunyang'anywa muhuri!
Kila mtu na sehemu yake dogo,fundi selemala yeye ni randa tu na minyundo yake,fundi magari naye ni magari tu kwa kwenda mbele,mwanasheria nae ni kesi tu mpaka siku ya kiama,na wewe mbeba zege ni zege tu mpaka mochwaliBilioni duu,halafu tokea namjua Lissu yeye ni Kesi tu.
Ukifanya msala system inakutupa , muulize Zombe .Nimekaa chonjo nione jinsi "system" itakavyomnasua kijana wake!
Taratibu ni kushika MTU kulingana na jinsia yako..Abuse of proffession....Hivi polisi wakiamua kuwakamata ile kisawasawa watakuwa wazima kweli?
Na mwanzoni tu alimkumbatia kama mkewe vileSijui kwa nini vilaza wale hawakupeleka maWP kumshikashika mama mwenzao? mbali na kumshikashika na ''kumtengua bega'', kumtoa ''afisa wa mahakama'' kwenye eneo lake la kazi na ''kumzuia kutimiza wajibu wake'' kwa style ile ni kosa la jinai🙂
Kwa maswali yapi hayo kwa mfano...Kudadadeki hiyo kesi lini?I wish ningekuwa bongo niwepo nione mtu anavyoshindwa jibu maswali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wanasiasa wa mlango kushoto wakitoa maoni yao mbele ya hadhara wanafunguliwa mashitaka ya kosa la kufanya uchochezi? Kama hii kesi unaona ni upuuzi basi mliuanzisha nyie hawa mawakili wanaundeleza[emoji16] [emoji16] [emoji16]Yeyote atakayepeleka kesi ya kipuuzi namna hii kwenye mahakama tukufu na wote watakaomtetea wafutiwe leseni ya uwakili na kunyang'anywa muhuri!
Mambo ya kitoto hayo ni yepi? Ina maana ww hujui kuwepo kwako hapo ulipo na kwenda uendako kwamba kuna watu walipambana? Mama yako anaenda sokoni bila kushikwa matako kwa kua kuna watu walijitoa kupambana...Kwahiyo unataka police wendelee kuwashikashika wanawake kisa wao police?Huku wananchi kwenye jimbo la Tundu Lissu wakiwa na kero za kufa mtu yeye yuko Dar akifanya mambo ya kitoto kama haya?! Ujinga na uzuzu kabisa..Yazidisha kuaminika kweli ukikosa sera na ilani matokeo yake ndiyo hayaa...
Wanatakiwa wawakamate kwa mujibu wa sheria si kwa matakwa yao au matakwa yako.Abuse of proffession....Hivi polisi wakiamua kuwakamata ile kisawasawa watakuwa wazima kweli?
Rais wa chama cha wanasheria nchini na mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ataongoza jopo la mawakili 29 watakaomtetea Wakili Fatma Karume Katika Kesi Yake Ya Kushikwa Mwili Wake Bila Ya Ridhaa, Kuvutwa Kwa Nguvu Na Kusababishiwa Madhara Katika Bega Lake.
Katika Kesi Hiyo Iliyofunguliwa Mahakama Kuu Ya Tanzania, Bi.Fatma Anamdai Fidia Ya Shilingi Bilioni Moja, Inspekta Eugen Mwampondela Wa Kituo Kikuu Cha Polisi DSM.
Kesi Itakapoanza Kusikilizwa, Mtuhumiwa Atatakiwa Kuwepo Kizambani Kujieleza Na Kujibu Maswali.
29 tu....tena ilibidi mawakili zaidi hata ya 100 kabisaYaani polisi kukushika bega unaandaa mawakili 29? Ni upumbavu na ulofa ulopitiliza
Bilioni duu,halafu tokea namjua Lissu yeye ni Kesi tu.
Abuse of comment...Abuse of proffession....Hivi polisi wakiamua kuwakamata ile kisawasawa watakuwa wazima kweli?
Polisi waliishawahi "kumkamata" mzee wako na akapoteza uzima?Abuse of proffession....Hivi polisi wakiamua kuwakamata ile kisawasawa watakuwa wazima kweli?
Mbele ya bilioni Moja, hata Mimi ningekua wakili ningejiunga kwenye Kesi tena usawa huu wa njaaKwa hali hii inaonyesha vijana wa kitanzania na wasomi mmekosa vya kufanya kesi kama hiyo mawakili 29 na inaonyesha ni jinsi gani kuwa mawakili hawajiamini na usomi wao. Wasilete kisingizio cha mshikamano bali ni kutokujiamini
Sent using Jamii Forums mobile app