Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Anamshika bega amekuwa mkewe? Akamshike mkewe chumbani kwakeYaani polisi kukushika bega unaandaa mawakili 29? Ni upumbavu na ulofa ulopitiliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamshika bega amekuwa mkewe? Akamshike mkewe chumbani kwakeYaani polisi kukushika bega unaandaa mawakili 29? Ni upumbavu na ulofa ulopitiliza
Mahakimu na baadhi ya majaji ni wanachama wa CCM wanafanya kazi kishabiki huku wakijipendekeza kwa magufuli na kutekeleza Amri zake za kuingilia mwenendo wa kesi.Mahakama kama Mahakama nina imani nazo kwa mujibu wa Sheria ila SINA IMANI NA BAADHI YA MAJAJI NA MAHAKIMU wanaoendesha kesi kwa MAELEKEZO TOKA JUU(IKULU YA MAGOGONI YA JPM) ili kukandamiza na kuminya haki za Watz.
Right to representation and to be represented haina idadiKwa hali hii inaonyesha vijana wa kitanzania na wasomi mmekosa vya kufanya kesi kama hiyo mawakili 29 na inaonyesha ni jinsi gani kuwa mawakili hawajiamini na usomi wao. Wasilete kisingizio cha mshikamano bali ni kutokujiamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Alishasema msimpangie, kwa hiyo mawakili usiwapangie.Mmoja tu anatosha kwani kesi hiyo niya madai na sio jinai na haimaanishi ukiwa na lundo la mawakili ndo ushindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana Bi Fatma hajaishitaki dola bali Eugen MwampondelaKwa Afrika yetu hii huwezi shindana na dola,dola ina nguvu kuliko sheria!Huyo Fatma bora atulie tu asitafute shida!
Sikiliza Toka Kwangu!
mkuu hapa hata usemaje hapa kuna kesi ya kujibu..yule ni asifa wa mahakama,huruhusiwi kumfukuza,pili alitakiwa kutolewa na askari wa kike,ndio maana askari wa kike wapo kwa ajili ya watuhumiwa wa kike,askari wa kiume haruhusiwi kumkagua mwanamke hata siku 1 ni vile bongo tunachukuliana poa,bi fatma anaakili kaona weekness ndio maana kafungua kesiPolisi alikuwa kazini, hivyo hatakuwa na kesi ya kujibu.
Je, kama polisi angemkuta huyo mama amenasa katika ajali halafu akaamua kumnasua nalo lingekuwa ni kosa?
Kama ndivyo, itakuwaje kwa Madaktari wa kiume wanaowapima wajawazito na hata kuwazalisha?
HUO NI UPUMBAVU NA UJINGA USIO KIFANI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mfano wako sio, ajali na Kitendo cha makusudi vina uhusiano gani? Hosptal kwenye kuumwa madaktari wana taratibu zao na miiko yao ndiyo maana Daktari wa kiume hufanya kazi sanjari na nesi , acheni polisi wapate fundisho waache kufanya kazi kwa kujipendekeza kwa magufuli.Polisi alikuwa kazini, hivyo hatakuwa na kesi ya kujibu.
Je, kama polisi angemkuta huyo mama amenasa katika ajali halafu akaamua kumnasua nalo lingekuwa ni kosa?
Kama ndivyo, itakuwaje kwa Madaktari wa kiume wanaowapima wajawazito na hata kuwazalisha?
HUO NI UPUMBAVU NA UJINGA USIO KIFANI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Polisi sio kazi yao kuwalazimisha watu kupanda gari pindi wakitoka mahakamani iweje wamfukuze Fatma wakati alikuwa hajamaliza kazi yake?mkuu hapa hata usemaje hapa kuna kesi ya kujibu..yule ni asifa wa mahakama,huruhusiwi kumfukuza,pili alitakiwa kutolewa na askari wa kike,ndio maana askari wa kike wapo kwa ajili ya watuhumiwa wa kike,askari wa kiume haruhusiwi kumkagua mwanamke hata siku 1 ni vile bongo tunachukuliana poa,bi fatma anaakili kaona weekness ndio maana kafungua kesi
Sent using Jamii Forums mobile app
hizo enzi zimepitwa .majaji na tasnia nzima ya sheria wamegoma kupelekeshwa na magufuli.tusubiri tuoneHawa jamaa wanapoteza mda na Magufuli!
Wasichokijua ni kwamba huyo askari anaweza hata kupandishwa cheo keaho.
......
Udaktari na Polisi mahakamani ni vitu viwili tofauti kwa kifupi mfano wako ni wa kijingaJe, daktari wa kiume anaruhusiwa kumpima mjamzito na hata kumzalisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Fungu gani mkuu?Sijui kwa nini vilaza wale hawakupeleka maWP kumshikashika mama mwenzao? mbali na kumshikashika na ''kumtengua bega'', kumtoa ''afisa wa mahakama'' kwenye eneo lake la kazi na ''kumzuia kutimiza wajibu wake'' kwa style ile ni kosa la jinai🙂
mkuu nimecheka paka nimelia aisee hatari sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nikweli policcm alikuwa kazini. Hatujakataa...but alipokuwa jute alifanya nini.?
Ile ni MISCONDUCT OF PROFESSIONAL. .hakupaswa kufanya kile kitendo cha kumuabouse FATMA...Pia aliweza kumjeruhi BEGA..alafu alimtia hata nyege..initiwa SEXUAL ABUSE..
Sioni pakutokea kwenye hii kesi
Sent using Jamii Forums mobile app