Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Hii hoja yako, kama uliwahi kusikia wehu, ndiyo huu.Abuse of proffession....Hivi polisi wakiamua kuwakamata ile kisawasawa watakuwa wazima kweli?
Polisi kazi yao ni kuwashika shika watu kisawasawa? Ndiyo kazi waliyoajiriwa kuifanya?
Watu waanze kuamka kutambua haki zao. Wao wanapokuwa wanazidi kujiandaa kudidimiza haki za raia, umma uongeze bidii kutetea haki zake.
Sent using Jamii Forums mobile app