Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

NIMEUKUMBUKA MCHEZO WA UTOTONI
TULIIMBA "PITA HUKO TUONANE, TUMWONE JOGOO"

KILA BAYA LIKUKUTE INSPEKTA
 
NIMEUKUMBUKA MCHEZO WA UTOTONI
TULIIMBA "PITA HUKO TUONANE, TUMWONE JOGOO"

KILA BAYA LIKUKUTE INSPEKTA
 
Hii ni vita na ujumbe mkubwa unatumwa kwa yule.aliyewatuma hao polisi.....mawakili ni watu sio wa mchezo, sasa mawakili hawajaribiwi.
Rais wa chama cha wanasheria nchini na mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ataongoza jopo la mawakili 29 watakaomtetea Wakili Fatma Karume Katika Kesi Yake Ya Kushikwa Mwili Wake Bila Ya Ridhaa, Kuvutwa Kwa Nguvu Na Kusababishiwa Madhara Katika Bega Lake.
Katika Kesi Hiyo Iliyofunguliwa Mahakama Kuu Ya Tanzania, Bi.Fatma Anamdai Fidia Ya Shilingi Bilioni Moja, Inspekta Eugen Mwampondela Wa Kituo Kikuu Cha Polisi DSM.
Kesi Itakapoanza Kusikilizwa, Mtuhumiwa Atatakiwa Kuwepo Kizambani Kujieleza Na Kujibu Maswali.
 
Huo ujumbe kwa serikali kuwa watu wameamua kupambana nayo kwa njia yoyote iwayo -ukiwapeleka mahakamani na wao watakupeleka pia yaana stule ya jaza ujazwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwingine ujumbe kama huu una maana mbili au zaidi, mosi kutojiamini,Pili kufuata mkumbo,tatu kuathirika kisaikolojia na kutojitambua wewe ni nani . Mara nyingi kuichoka serikali ni kuamua kwa kura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kwa nini vilaza wale hawakupeleka maWP kumshikashika mama mwenzao? mbali na kumshikashika na ''kumtengua bega'', kumtoa ''afisa wa mahakama'' kwenye eneo lake la kazi na ''kumzuia kutimiza wajibu wake'' kwa style ile ni kosa la jinai🙂
Sifa za kuonwa na mkulu zinawaumiza sana watu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani polisi kukushika bega unaandaa mawakili 29? Ni upumbavu na ulofa ulopitiliza
huu ni muda wa kukomoana tu...mawakili wanaonyesha umoja wao kuwa mahakamani ni maeneo yao ya kazi basi asibugudhiwe akiwa nje mkamateni tu ila maeneo ya mahakama yupo kazini
sasa hawa jamaa wanaotumwa tu nakusahau kuwa kuna sheria wataishia kusema "niliagizwa nifanye vile"..mahakama haitajali maagizo hayo kama yanavunja sheria.....
 
Kumbe mahakama ni huru na haki ehee?
 
Abuse of proffession....Hivi polisi wakiamua kuwakamata ile kisawasawa watakuwa wazima kweli?
Waamue tu nini kinawasubirisha??au hujayajua mapungufu yao yaliyo dhahiri kabisa,walijualo ni bado uchunguzi unaendelea..........teh,teh,teh,teh........
 
Wakati mwingine ujumbe kama huu una maana mbili au zaidi, mosi kutojiamini,Pili kufuata mkumbo,tatu kuathirika kisaikolojia na kutojitambua wewe ni nani . Mara nyingi kuichoka serikali ni kuamua kwa kura

Sent using Jamii Forums mobile app
Nalikubali la tatu na la mwisho .ni kweli wapinzanibwa serikali wameathirika kisaikolojia na si kwa bahati mbaya bali by design wanacheza kirahisibkila mdundo wausikiao bial kujua serikali imetarget myda tu upite haraka ili halibwapinzani wao wakizijua rangi za vyimba vyote vya mahakama na mahabusu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa chama cha wanasheria nchini na mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ataongoza jopo la mawakili 29 watakaomtetea Wakili Fatma Karume Katika Kesi Yake Ya Kushikwa Mwili Wake Bila Ya Ridhaa, Kuvutwa Kwa Nguvu Na Kusababishiwa Madhara Katika Bega Lake.
Katika Kesi Hiyo Iliyofunguliwa Mahakama Kuu Ya Tanzania, Bi.Fatma Anamdai Fidia Ya Shilingi Bilioni Moja, Inspekta Eugen Mwampondela Wa Kituo Kikuu Cha Polisi DSM.
Kesi Itakapoanza Kusikilizwa, Mtuhumiwa Atatakiwa Kuwepo Kizambani Kujieleza Na Kujibu Maswali.
Mawakili 29 kweli sasa tz ina mawakili wengi hawana kazi za kufanya! Kuna watu wanahitaji msaada wa kisheria wengi sana tz lakini hawapati wanajazana kwa huyo mdada wa maigizo!!
 
Back
Top Bottom