Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

Mahakama kama Mahakama nina imani nazo kwa mujibu wa Sheria ila SINA IMANI NA BAADHI YA MAJAJI NA MAHAKIMU wanaoendesha kesi kwa MAELEKEZO TOKA JUU(IKULU YA MAGOGONI YA JPM) ili kukandamiza na kuminya haki za Watz.
Mahakimu na baadhi ya majaji ni wanachama wa CCM wanafanya kazi kishabiki huku wakijipendekeza kwa magufuli na kutekeleza Amri zake za kuingilia mwenendo wa kesi.
 
Polisi alikuwa kazini, hivyo hatakuwa na kesi ya kujibu.
Je, kama polisi angemkuta huyo mama amenasa katika ajali halafu akaamua kumnasua nalo lingekuwa ni kosa?
Kama ndivyo, itakuwaje kwa Madaktari wa kiume wanaowapima wajawazito na hata kuwazalisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Right to representation and to be represented haina idadi
 
Kwa Afrika yetu hii huwezi shindana na dola,dola ina nguvu kuliko sheria!Huyo Fatma bora atulie tu asitafute shida!

Sikiliza Toka Kwangu!
Ndio maana Bi Fatma hajaishitaki dola bali Eugen Mwampondela
 
Hawa jamaa wanapoteza mda na Magufuli!

Wasichokijua ni kwamba huyo askari anaweza hata kupandishwa cheo keaho.

......
 
mkuu hapa hata usemaje hapa kuna kesi ya kujibu..yule ni asifa wa mahakama,huruhusiwi kumfukuza,pili alitakiwa kutolewa na askari wa kike,ndio maana askari wa kike wapo kwa ajili ya watuhumiwa wa kike,askari wa kiume haruhusiwi kumkagua mwanamke hata siku 1 ni vile bongo tunachukuliana poa,bi fatma anaakili kaona weekness ndio maana kafungua kesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mfano wako sio, ajali na Kitendo cha makusudi vina uhusiano gani? Hosptal kwenye kuumwa madaktari wana taratibu zao na miiko yao ndiyo maana Daktari wa kiume hufanya kazi sanjari na nesi , acheni polisi wapate fundisho waache kufanya kazi kwa kujipendekeza kwa magufuli.
 
Polisi sio kazi yao kuwalazimisha watu kupanda gari pindi wakitoka mahakamani iweje wamfukuze Fatma wakati alikuwa hajamaliza kazi yake?
 
Hawa jamaa wanapoteza mda na Magufuli!

Wasichokijua ni kwamba huyo askari anaweza hata kupandishwa cheo keaho.

......
hizo enzi zimepitwa .majaji na tasnia nzima ya sheria wamegoma kupelekeshwa na magufuli.tusubiri tuone
 
Nikweli policcm alikuwa kazini. Hatujakataa...but alipokuwa jute alifanya nini.?
Ile ni MISCONDUCT OF PROFESSIONAL. .hakupaswa kufanya kile kitendo cha kumuabouse FATMA...Pia aliweza kumjeruhi BEGA..alafu alimtia hata nyege..initiwa SEXUAL ABUSE..
Sioni pakutokea kwenye hii kesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaani ndicho kilichobaki no way nikuwaburuza tu mahakaman
 
Sijui kwa nini vilaza wale hawakupeleka maWP kumshikashika mama mwenzao? mbali na kumshikashika na ''kumtengua bega'', kumtoa ''afisa wa mahakama'' kwenye eneo lake la kazi na ''kumzuia kutimiza wajibu wake'' kwa style ile ni kosa la jinai🙂
Fungu gani mkuu?
 
mkuu nimecheka paka nimelia aisee hatari sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…