Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ni wazi kwenye nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa anayogombea, anapingwa vikali sana kwenye chama chake, na kwahiyo tunaweza kuhitimisha kwamba hataweze kupewa ridhaa hiyo na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema.
Ni dhahiri,
hekima, busara na mdomo wa huyo muungwana is completely not presidential material. May be alistahili zaidi kua afisa propaganda wa chadema kuliko nafasi alonayo mpaka sasa.
Ni mgomvi na mwenye uhasama karibu na kila kiongozi muandamizi wa ngazi za juu wa chadema, huku akiwapa viongozi wenzake tabasamu la kinafiki wakikutana pamoja kwenye press conference n.k
Kupingwa na kukataliwa kwake na ndani ya chadema karibu yote ni uthibitisho kwamba muungwana hakubaliki nje ya chadema pia.
Hiyo ikimaanisha kwamba,
kushindwa kwake uenyekiti wa chadema Taifa, ni kushindwa kwake vibaya zaidi nje ya chadema. Kwa kifupi muungwana ni fungu la kukosa.🐒
Mungu Ibariki Tanzania and Mary Christmas to you all my friends, ladies and gentlemen 🎄