Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #41
gentleman,Huyu siyo mganga ni mzee wa hovyo wa CCM kuwahi kutokea katika history anaitwa Yusuph Makamba.
CCM wajinga kama huyu mzee wa hovyo hawawezi kumpenda Lissu wanamtaka Mbowe ambaye wanamgeuza kama samaki katulia tuli na siku zinaenda.
Shangaa mzee wa hovyo wa CCM anampenda Mbowe na kumchukia Lissu kwa sababu gani.
umeamua kumpotosha mwenzio wazi wazi tena siku ya siku kuu kabisa, dah! waoneeni huruma wenzenu jamani,
Jambo la muhimu zaidi,
ni kuepuka kuwahusisha wasio husika na masuala ya chadema kwa kuwataja majina,
huo ni ukiukaji wa vigezo na masharti ya JF, ni vema ukaacha tabia hiyo la sivyo unaweza kubanwa na masharti ya jukwaa hili huru halafu ukakosa mambo muhimu na ya maana sana.
kua na staha tafadhali dhidi ya upotoshaji.
Hata hivyo,
ni muhimu sana kufuatilia chambuzi za kitaalamu ili kuongeza Ufahamu na uelewa juu ya masuala mbalimbali ya kisiasa yanayo endelea kuelekea uchaguzi wa chadema Taifa kwa ungwana 🐒
