Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakwambieje Chiembe anayapika huku.Gentleman,
hivi ulisema shisha ukimix na ugoro ndiyo huwa inakupa energy sanaee ya kurepy comments kipotoshaji, right?![]()
Bado ulikosea mfano bwa kimweri wewe BWABWArelaxi basi gentleman,
naona unafanya mazoezi ya kuyaporomosha![]()
Kusema ukweli kuwa kichwani kumejaa hewa ni mihemko!🤓🤠calm down and relax gentleman
ni muhimu ukiwa na mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya mwingine ukajieleza,
sasa hii ya kushow mihemko na dhihaka si maana yake haman kitu kabisa gentleman?![]()
Hakuna binadamu malaika lakini wana vipaji tofauti!SIDHANI KWA SASA. ...
Angekuwa kama asingewazulia wenzake mizengwe. Lissu sio malaika, ni binadamu kama wengine mwenye makosa pia.
TABU NI WATU KUMUONA LISSU NI MAALUMU!!..