Lissu kupata uenyekiti wa chadema kumemshinda na itakua ni ndoto za kimweri kuupata, nadhani kupata urais wa Tanzania itakua ni ndoto za alinacha

Safi mnatusaidia sana kumsafishia njia kamanda Mbowe na yeye ndiye atakayeimarisha CDM, Lissu ataibomoa CDM mara moja.
 
Wanaharakati ambao hawajawahi kujua namna vyama vya siasa hasa vya upinzani vinavyoongozwa ndiyo wamemuharibia.
tatizo ujuaji mwingi, anhisi kujua na kufahamu kila kitu na ushauri wa wengine inaonekana si muhimu kwake,

wanasiasa hasa vijana wana somo muhimu la kujifunza hapo
 
Waenguaji wenyewe si mmejipanga kuhakikisha hilo halitokei
 
Na walaani waliokuleta duniani ukiwa uchi kichwani!
calm down and relax gentleman

ni muhimu ukiwa na mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya mwingine ukajieleza,

sasa hii ya kushow mihemko na dhihaka si maana yake haman kitu kabisa gentleman?
 
tatizo ujuaji mwingi, anhisi kujua na kufahamu kila kitu na ushauri wa wengine inaonekana si muhimu kwake,

wanasiasa hasa vijana wana somo muhimu la kujifunza hapo
Wewe unaelewa au kuukubali ushauri gani kutoka jukwaa hili pendwa,kila kitu wajua wewe kila kitu waweza wewe.Ama nasema uongo ngugu zangu,hata Choice unaruhusiwa kusema neno
 
Ukiwa Mkweli utachukiwa na kila mtu katika Dunia ya Sasa!

Dunia ya Sasa iliyojaa ghiliba,uongo,Rushwa,Ubinafsi na ulaghai utaonekana mwema endapo utafanya hayo yote na utapigiwa Makofi kama shujaa!
Ukweli upi wa kutibuana na walio wako kila kukicha?
 
Wewe unaelewa au kuukubali ushauri gani kutoka jukwaa hili pendwa,kila kitu wajua wewe kila kitu waweza wewe.Ama nasema uongo ngugu zangu,hata Choice unaruhusiwa kusema neno
namna ya kuwadhibiti akina kasongo yeye mobali na ngai ni rahisi sana gentleman,

kwa sababu wanakuja na mihemko ya kiwango cha juu sana, na huku wakiwa na jibu moja tu mfukoni, sasa ukimuyumbisha kidogo tu anajaa mazima
 
namna ya kuwadhibiti akina kasongo yeye mobali na ngai ni rahisi sana gentleman,

kwa sababu wanakuja na mihemko ya kiwango cha juu na jibu moja tu mfukoni, ukimuyumbisha kidogo tu anajaa mazima
Hayo ndio mawazo ya wanachukua chako mapema wanafananisha mbongo na ngiri sio
 
Lissu ndiye fimbo sahihi ya kuwatandika CCM na vikaragosi vyake!
SIDHANI KWA SASA. ...
Angekuwa kama asingewazulia wenzake mizengwe. Lissu sio malaika, ni binadamu kama wengine mwenye makosa pia.
TABU NI WATU KUMUONA LISSU NI MAALUMU!!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…