Huyo jamaa alipaswa kusema mambo hayo kabla ya uchaguzi kuanza. Kusubiria muda huu ni kutaka fadhila...
Japo ana ujasiri ila ataporomoka naana siasa sio kusema kila kilicho mbele yako.
Pia alipata umaarufu kwa kumsema mwendazake kwakuwa kuna watu waliumia. . SIASA ZINABADILIKA KILA WAKATI.
SASA SIO 2015 AU 2020..
SIDHANI KWA SASA. ...
Angekuwa kama asingewazulia wenzake mizengwe. Lissu sio malaika, ni binadamu kama wengine mwenye makosa pia.
TABU NI WATU KUMUONA LISSU NI MAALUMU!!..