Nonsense.Jiandae kisaikolojia. Mbowe kampeni kwake ni mradi. Sasa dili isiyolipa hawezi kuipenda sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nonsense.Jiandae kisaikolojia. Mbowe kampeni kwake ni mradi. Sasa dili isiyolipa hawezi kuipenda sana
Wanachama wataamua, ila akipita. Nyalandu Lumumba washangilia sana...Nyalandu apite lissu anaumwa. He is not fit mindcally
tutampitisha mwenye 'mpunga' huyo masikini akae pembeni. Mkono mtupu haulambwi historia inatukumbusha ya 2015
Jiandae kisaikolojia. Mbowe kampeni kwake ni mradi. Sasa dili isiyolipa hawezi kuipenda sana
Sasa Chadema hawa pigi kura kwa kupewa rushwa.. Hiyo iko Ccm..Masoud Kipanya katika kipindi cha Cloud Plus wakati wa kura za maoni za CCM nilimnukuu akisema Wajumbe wa CCM huenda hawakupewa rushwa kabisa lakini walikuwa wanajua Mgombea yupi ana hela kwamba wakimpitisha anaweza kujawashukuru kwa namna yoyote siku za baadae kwa hiyo yeye Masoud aliwapa nafasi kubwa Wagombea Matajiri kuwa watashinda. Na kweli 90% ya walioshinda ni Matajiri na wenye nafasi kubwa serikalini.
Pia walijua Matajiri hawatakuwa na kampeni za kufunga mkanda bali kampeni za kula bata tofauti na maskini ambaye anawaahidi akipata mtakula wote matokeo yake wanawaacha solemba!
Sasa wajumbe wa CHADEMA nao wana mtihani siku chache zijazo! Je wamchague Lissu kupeperusha bendera yao au wamchague Nyalandu?
Lissu ni maarufu sana na mzalendo wa nchi yake. Pamoja na marisasi bado hajakimbilia uhamishoni amerudi nyumbani kama ni kufa afie Tanzania ila hana hela ya kampeni kabisa! Kampeni yake ni wananchi wamchangie. Lakini Chama na viongozi wake hawaaminiki tena kwenye michango. Lissu aunde timu yake ya kampeni haraka yenye watu wanaoaminika kwenye masuala ya fedha sio Mbowe, Mrema na Reggy hawa hawaaminiki na wakiwepo nitaongoza kampeni ya kuzuia michango maana tunawajua.
Changamoto nyingine ya Lissu inaweza kuwa afya. Je ana nguvu na uimara wa kukimbia na magari kwa siku hizi 90+ za kampeni na kutafuta wadhamini? Au atahitaji chopa ambayo ni very expensive na hela hana na Chama pia hakina hela?
Afadhali nyingine ya Lissu ni kuwa Wabunge wanataka kumtumia jina lake kurudi kwenye nafasi zao kwa maslahi yao japo hawamwamini na huenda hata hawampendi ila Baniani mbaya sasa watafanyaje?maana Mbowe na Chama wameshapoteza moral authority kwenye jamii yetu kwa ufisadi na udikteta wao.
Nyalandu nae ni mwana mageuzi aliyeamua kuacha ubunge kwa ajili ya ndoto ya Urais ili awatumikie watanzania. Nyalandu ina aminika ana hela nyingi, za kwake na za wazungu wake huko Marekani na Ulaya. Nyalandu ana mtaji wa kampeni ndivyo wajumbe wanavyoaminishwa.
Sasa je Wajumbe watakwenda na Lissu waendelee na kampeni za kujitoa Mali zao na muda wao? Lissu mwenyewe ana sifa ya Uchoyo na Ubahili kama Mnyika. Apate asipate hakumbuki wenzie.
Au wampe Nyalandu anayeonekana Mlokole Fulani na aliyekulia CCM kwenye siasa za Ukarimu na Takrima? Pia kwa Nyalandu matumaini ya kampeni zenye afueni ni makubwa sana maana inaaminika ana hela na mtandao mkubwa.
Tunawasubiri wajumbe kesho kutwa.
Hiyo ni sera ya Mataga Ccm na sio Chadema.tutampitisha mwenye 'mpunga' huyo masikini akae pembeni. Mkono mtupu haulambwi historia inatukumbusha ya 2015
unaweza kuiambia dunia kiasi cha pesa alichonacho Nyalandu ?Masoud Kipanya katika kipindi cha Cloud Plus wakati wa kura za maoni za CCM nilimnukuu akisema Wajumbe wa CCM huenda hawakupewa rushwa kabisa lakini walikuwa wanajua Mgombea yupi ana hela kwamba wakimpitisha anaweza kujawashukuru kwa namna yoyote siku za baadae kwa hiyo yeye Masoud aliwapa nafasi kubwa Wagombea Matajiri kuwa watashinda. Na kweli 90% ya walioshinda ni Matajiri na wenye nafasi kubwa serikalini.
Pia walijua Matajiri hawatakuwa na kampeni za kufunga mkanda bali kampeni za kula bata tofauti na maskini ambaye anawaahidi akipata mtakula wote matokeo yake wanawaacha solemba!
Sasa wajumbe wa CHADEMA nao wana mtihani siku chache zijazo! Je wamchague Lissu kupeperusha bendera yao au wamchague Nyalandu?
Lissu ni maarufu sana na mzalendo wa nchi yake. Pamoja na marisasi bado hajakimbilia uhamishoni amerudi nyumbani kama ni kufa afie Tanzania ila hana hela ya kampeni kabisa! Kampeni yake ni wananchi wamchangie. Lakini Chama na viongozi wake hawaaminiki tena kwenye michango. Lissu aunde timu yake ya kampeni haraka yenye watu wanaoaminika kwenye masuala ya fedha sio Mbowe, Mrema na Reggy hawa hawaaminiki na wakiwepo nitaongoza kampeni ya kuzuia michango maana tunawajua.
Changamoto nyingine ya Lissu inaweza kuwa afya. Je ana nguvu na uimara wa kukimbia na magari kwa siku hizi 90+ za kampeni na kutafuta wadhamini? Au atahitaji chopa ambayo ni very expensive na hela hana na Chama pia hakina hela?
Afadhali nyingine ya Lissu ni kuwa Wabunge wanataka kumtumia jina lake kurudi kwenye nafasi zao kwa maslahi yao japo hawamwamini na huenda hata hawampendi ila Baniani mbaya sasa watafanyaje?maana Mbowe na Chama wameshapoteza moral authority kwenye jamii yetu kwa ufisadi na udikteta wao.
Nyalandu nae ni mwana mageuzi aliyeamua kuacha ubunge kwa ajili ya ndoto ya Urais ili awatumikie watanzania. Nyalandu ina aminika ana hela nyingi, za kwake na za wazungu wake huko Marekani na Ulaya. Nyalandu ana mtaji wa kampeni ndivyo wajumbe wanavyoaminishwa.
Sasa je Wajumbe watakwenda na Lissu waendelee na kampeni za kujitoa Mali zao na muda wao? Lissu mwenyewe ana sifa ya Uchoyo na Ubahili kama Mnyika. Apate asipate hakumbuki wenzie.
Au wampe Nyalandu anayeonekana Mlokole Fulani na aliyekulia CCM kwenye siasa za Ukarimu na Takrima? Pia kwa Nyalandu matumaini ya kampeni zenye afueni ni makubwa sana maana inaaminika ana hela na mtandao mkubwa.
Tunawasubiri wajumbe kesho kutwa.
Are you kidding us Mr Loser? Magufuli na Lissu ni nani yuko fit? Laiti viongozi wetu wangekuwa wawazi juu ya afya zao usingeandika chochote juu ya afya ungebaki mdomo waziChangamoto nyingine ya Lissu inaweza kuwa afya. Je ana nguvu na uimara wa kukimbia na magari kwa siku hizi 90+ za kampeni na kutafuta wadhamini? Au atahitaji chopa ambayo ni very expensive na hela hana na Chama pia hakina hela?
Mwambie huyo wakala wa inzi wa chooniCHADEMA hatuna wajumbe mkuu... CHADEMA tuna wapiga kura tu...kifupi ni wapiga kura maalumu
wajumbe hela watavuta na bado they'll pick the candidate of their liking!Masoud Kipanya katika kipindi cha Cloud Plus wakati wa kura za maoni za CCM nilimnukuu akisema Wajumbe wa CCM huenda hawakupewa rushwa kabisa lakini walikuwa wanajua Mgombea yupi ana hela kwamba wakimpitisha anaweza kujawashukuru kwa namna yoyote siku za baadae kwa hiyo yeye Masoud aliwapa nafasi kubwa Wagombea Matajiri kuwa watashinda. Na kweli 90% ya walioshinda ni Matajiri na wenye nafasi kubwa serikalini.
Pia walijua Matajiri hawatakuwa na kampeni za kufunga mkanda bali kampeni za kula bata tofauti na maskini ambaye anawaahidi akipata mtakula wote matokeo yake wanawaacha solemba!
Sasa wajumbe wa CHADEMA nao wana mtihani siku chache zijazo! Je wamchague Lissu kupeperusha bendera yao au wamchague Nyalandu?
Lissu ni maarufu sana na mzalendo wa nchi yake. Pamoja na marisasi bado hajakimbilia uhamishoni amerudi nyumbani kama ni kufa afie Tanzania ila hana hela ya kampeni kabisa! Kampeni yake ni wananchi wamchangie. Lakini Chama na viongozi wake hawaaminiki tena kwenye michango. Lissu aunde timu yake ya kampeni haraka yenye watu wanaoaminika kwenye masuala ya fedha sio Mbowe, Mrema na Reggy hawa hawaaminiki na wakiwepo nitaongoza kampeni ya kuzuia michango maana tunawajua.
Changamoto nyingine ya Lissu inaweza kuwa afya. Je ana nguvu na uimara wa kukimbia na magari kwa siku hizi 90+ za kampeni na kutafuta wadhamini? Au atahitaji chopa ambayo ni very expensive na hela hana na Chama pia hakina hela?
Afadhali nyingine ya Lissu ni kuwa Wabunge wanataka kumtumia jina lake kurudi kwenye nafasi zao kwa maslahi yao japo hawamwamini na huenda hata hawampendi ila Baniani mbaya sasa watafanyaje?maana Mbowe na Chama wameshapoteza moral authority kwenye jamii yetu kwa ufisadi na udikteta wao.
Nyalandu nae ni mwana mageuzi aliyeamua kuacha ubunge kwa ajili ya ndoto ya Urais ili awatumikie watanzania. Nyalandu ina aminika ana hela nyingi, za kwake na za wazungu wake huko Marekani na Ulaya. Nyalandu ana mtaji wa kampeni ndivyo wajumbe wanavyoaminishwa.
Sasa je Wajumbe watakwenda na Lissu waendelee na kampeni za kujitoa Mali zao na muda wao? Lissu mwenyewe ana sifa ya Uchoyo na Ubahili kama Mnyika. Apate asipate hakumbuki wenzie.
Au wampe Nyalandu anayeonekana Mlokole Fulani na aliyekulia CCM kwenye siasa za Ukarimu na Takrima? Pia kwa Nyalandu matumaini ya kampeni zenye afueni ni makubwa sana maana inaaminika ana hela na mtandao mkubwa.
Tunawasubiri wajumbe kesho kutwa.
Kwani mbowe ana kura zote peke yake?Yale ya 2015 ya lowasa yakifanyika Tena na kumpitisha Nyarandu.... Chadema inaenda kuchuja kwa kasi.
Na hapo nitaona Chadema chini ya Mbowe Ni wapo kwa maslahi ya CCM...
Sio kila ninachoandika ni mawazo yangu mimi! Mengine ni mawazo ya wajumbe na wapambe wa wagombeaAre you kidding us Mr Loser? Magufuli na Lissu ni nani yuko fit? Laiti viongozi wetu wangekuwa wawazi juu ya afya zao usingeandika chochote juu ya afya ungebaki mdomo wazi
Kuna mwingine ana kibetri kwenye moyo...huyu sudden death sio surprise.Mmoja mzima mwingine mlemavu.
Kazi kwa wajumbe
Kwa hilo umekosea, ukisema Lissu hana sifa nitakuelewa.Hakuna nchi ambayo mlemavu amewahi kugombea kuwa rais
Kumbuka tunamchagua Amiri Jeshi mkuu
unatembea umefumba macho wewe!!! waulize wenzako nini kilitokea 2015 UKAWA ukasambaratika.Hiyo ni sera ya Mataga Ccm na sio Chadema.
Masoud Kipanya katika kipindi cha Cloud Plus wakati wa kura za maoni za CCM nilimnukuu akisema Wajumbe wa CCM huenda hawakupewa rushwa kabisa lakini walikuwa wanajua Mgombea yupi ana hela kwamba wakimpitisha anaweza kujawashukuru kwa namna yoyote siku za baadae kwa hiyo yeye Masoud aliwapa nafasi kubwa Wagombea Matajiri kuwa watashinda. Na kweli 90% ya walioshinda ni Matajiri na wenye nafasi kubwa serikalini.
Pia walijua Matajiri hawatakuwa na kampeni za kufunga mkanda bali kampeni za kula bata tofauti na maskini ambaye anawaahidi akipata mtakula wote matokeo yake wanawaacha solemba!
Sasa wajumbe wa CHADEMA nao wana mtihani siku chache zijazo! Je wamchague Lissu kupeperusha bendera yao au wamchague Nyalandu?
Lissu ni maarufu sana na mzalendo wa nchi yake. Pamoja na marisasi bado hajakimbilia uhamishoni amerudi nyumbani kama ni kufa afie Tanzania ila hana hela ya kampeni kabisa! Kampeni yake ni wananchi wamchangie. Lakini Chama na viongozi wake hawaaminiki tena kwenye michango. Lissu aunde timu yake ya kampeni haraka yenye watu wanaoaminika kwenye masuala ya fedha sio Mbowe, Mrema na Reggy hawa hawaaminiki na wakiwepo nitaongoza kampeni ya kuzuia michango maana tunawajua.
Changamoto nyingine ya Lissu inaweza kuwa afya. Je ana nguvu na uimara wa kukimbia na magari kwa siku hizi 90+ za kampeni na kutafuta wadhamini? Au atahitaji chopa ambayo ni very expensive na hela hana na Chama pia hakina hela?
Afadhali nyingine ya Lissu ni kuwa Wabunge wanataka kumtumia jina lake kurudi kwenye nafasi zao kwa maslahi yao japo hawamwamini na huenda hata hawampendi ila Baniani mbaya sasa watafanyaje?maana Mbowe na Chama wameshapoteza moral authority kwenye jamii yetu kwa ufisadi na udikteta wao.
Nyalandu nae ni mwana mageuzi aliyeamua kuacha ubunge kwa ajili ya ndoto ya Urais ili awatumikie watanzania. Nyalandu ina aminika ana hela nyingi, za kwake na za wazungu wake huko Marekani na Ulaya. Nyalandu ana mtaji wa kampeni ndivyo wajumbe wanavyoaminishwa.
Sasa je Wajumbe watakwenda na Lissu waendelee na kampeni za kujitoa Mali zao na muda wao? Lissu mwenyewe ana sifa ya Uchoyo na Ubahili kama Mnyika. Apate asipate hakumbuki wenzie.
Au wampe Nyalandu anayeonekana Mlokole Fulani na aliyekulia CCM kwenye siasa za Ukarimu na Takrima? Pia kwa Nyalandu matumaini ya kampeni zenye afueni ni makubwa sana maana inaaminika ana hela na mtandao mkubwa.
Tunawasubiri wajumbe kesho kutwa.
WanaCDM wataonesha umahiri kwenye demokrasia.Masoud Kipanya katika kipindi cha Cloud Plus wakati wa kura za maoni za CCM nilimnukuu akisema Wajumbe wa CCM huenda hawakupewa rushwa kabisa lakini walikuwa wanajua Mgombea yupi ana hela kwamba wakimpitisha anaweza kujawashukuru kwa namna yoyote siku za baadae kwa hiyo yeye Masoud aliwapa nafasi kubwa Wagombea Matajiri kuwa watashinda. Na kweli 90% ya walioshinda ni Matajiri na wenye nafasi kubwa serikalini.