Uchaguzi 2020 Lissu Maarufu, Nyalandu ana hela, kazi kwa wajumbe

Uchaguzi 2020 Lissu Maarufu, Nyalandu ana hela, kazi kwa wajumbe

Wewe unajuaje maswala ya mtu kwamba ana hela au hana wakati wewe sio cashier wake wala sio mke wake.

Acheni uongo kwani Magufuli ni tajiri mbona yeye hujamwambia aache kugombea kwa sababu sio tajiri.

Kugombea urais mpaka uwe tajiri, mbona Obama alishinda awamu mbili na hakuwa tajiri. Huna hoja wewe, subirini tume yenu iwabebe.
Naomba kuuliza swali

Hivi USA inawezekana akaingia White house Rais masikini...!?
 
Naomba kuuliza swali

Hivi USA inawezekana akaingia White house Rais masikini...!?
Swali lako umebugi, hapa ni Tz sio USA hatuangalii utajiri wa mgombea.
Katiba yetu ya kijamaa, maraisi wote waliopita hata JPM hawakupimwa kwa utajiri wao!!
 
Kwa akila zangu kabisa timamu nilichogundua kwa dkk chache tu kupitia comment za hi habari ni kuwa ccm ndo wanamkubali nyalandu lkn chadema kamwe hawawezi mkubali nyalandu wanajua kiluchotokea 2015 vzr kbsa
 
Swali lako umebugi, hapa ni Tz sio USA hatuangalii utajiri wa mgombea.
Katiba yetu ya kijamaa, maraisi wote waliopita hata JPM hawakupimwa kwa utajiri wao!!
Usikurupuke Mzee...! Angalia swali langu limetokana na Comment gani au nime ( Quote ) kwa nani

Kua makini
 
Tundu liau anakubalika Sana na ni tumaini Sana huku mtaan kwa watu wanaoitwa wanyonge yaan walionyongwa na miaka hii 5 sio wafnyabiashara wala watumishi tupo ofisini na tunaujua ukweli
 
Naomba kuuliza swali

Hivi USA inawezekana akaingia White house Rais masikini...!?
umasikini upi unaouongelea hapa?.
WH kinachotakiwa ni utajiri wa akili sio pesa tu.
ndo maana kwenye idadi ya marais wa USA yumo hadi fundi cherehani.

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna nchi ambayo mlemavu amewahi kugombea kuwa rais
Kumbuka tunamchagua Amiri Jeshi mkuu
Mwai Kibaki wa Kenya aligombea urais akiwa amelemaa baada ya kupata ajali. Alichaguliwa vivyo hivyo. Alikuja kuimarika afya angali anaendelea kuongoza nchi.
 
Kiafya Nyalandu Ni presidential material pia imagine Ikulu imevamiwa .Wanajeshi wanamwambia Lisu Amiri jeshi mkuu kimbia na sisi kuokoa maisha yako anabaki kuvuta miguu!!

Chadema msirudie ya Lowasa pitisheni mtu ambaye ni physcally fit .Mjue mnapitisha mgombea ambaye anaweza kuwa amiri jeshi mkuu wa majeshi akitokea kupata kura

Chadema chagueni my ambaye Ni physically fit, financially fit mwenye siasa Safi msimamia sera za chadema Sio Kujitangaza kibinafsi

Tundu Lisu akiongea kila muda kidogo utamsikia Mimi Mimi Mimi ooh Mimi kilienda kinarudi.Lisu speech has so many mimis Hadi inakera.Hakijengi na kukiongelea Chama anajinadi individually as Mimi Mimi mimi . Nyalandu hajikiti kwenye u Mimi anajikita zaidi kwenye kuelezea chama.Kujikita zaidi kwenye sera za Chadema Sio ohh Mimi Mimi mimi

we jamaa unahisi sifa sana kwa ujinga unaoandika et? au unajiona mjanja kutafuta umaarufu mtandaoni? Jitafakari we ni mtu mzima
 
Tingira Bro, naona mtu fulani toka mahali fulani anajaribu kutengeneza formular Au theory fulani ili atutoe kwenye reli!!
Namwambia mleta mada atulie mradi Lissu karudi, wajumbe watatupa mgombea!!
Hizo mbinu za kampeini CDM ina wadau hadi nje watasuport hizo shughuli!!
Acha kutuyumbisha ndg safari ndo imeanza!!
Dah!!! Anaemlipa mpiga zumari ndie anayechagua wimbo najiuliza hao watakaosuport hiyo shughul watataka kufaidika na nin kwa hiyo support yao
 
Masoud Kipanya katika kipindi cha Cloud Plus wakati wa kura za maoni za CCM nilimnukuu akisema Wajumbe wa CCM huenda hawakupewa rushwa kabisa lakini walikuwa wanajua Mgombea yupi ana hela kwamba wakimpitisha anaweza kujawashukuru kwa namna yoyote siku za baadae kwa hiyo yeye Masoud aliwapa nafasi kubwa Wagombea Matajiri kuwa watashinda. Na kweli 90% ya walioshinda ni Matajiri na wenye nafasi kubwa serikalini.

Pia walijua Matajiri hawatakuwa na kampeni za kufunga mkanda bali kampeni za kula bata tofauti na maskini ambaye anawaahidi akipata mtakula wote matokeo yake wanawaacha solemba!

Sasa wajumbe wa CHADEMA nao wana mtihani siku chache zijazo! Je wamchague Lissu kupeperusha bendera yao au wamchague Nyalandu?

Lissu ni maarufu sana na mzalendo wa nchi yake. Pamoja na marisasi bado hajakimbilia uhamishoni amerudi nyumbani kama ni kufa afie Tanzania ila hana hela ya kampeni kabisa! Kampeni yake ni wananchi wamchangie. Lakini Chama na viongozi wake hawaaminiki tena kwenye michango. Lissu aunde timu yake ya kampeni haraka yenye watu wanaoaminika kwenye masuala ya fedha sio Mbowe, Mrema na Reggy hawa hawaaminiki na wakiwepo nitaongoza kampeni ya kuzuia michango maana tunawajua.

Changamoto nyingine ya Lissu inaweza kuwa afya. Je ana nguvu na uimara wa kukimbia na magari kwa siku hizi 90+ za kampeni na kutafuta wadhamini? Au atahitaji chopa ambayo ni very expensive na hela hana na Chama pia hakina hela?

Afadhali nyingine ya Lissu ni kuwa Wabunge wanataka kumtumia jina lake kurudi kwenye nafasi zao kwa maslahi yao japo hawamwamini na huenda hata hawampendi ila Baniani mbaya sasa watafanyaje?maana Mbowe na Chama wameshapoteza moral authority kwenye jamii yetu kwa ufisadi na udikteta wao.

Nyalandu nae ni mwana mageuzi aliyeamua kuacha ubunge kwa ajili ya ndoto ya Urais ili awatumikie watanzania. Nyalandu ina aminika ana hela nyingi, za kwake na za wazungu wake huko Marekani na Ulaya. Nyalandu ana mtaji wa kampeni ndivyo wajumbe wanavyoaminishwa.

Sasa je Wajumbe watakwenda na Lissu waendelee na kampeni za kujitoa Mali zao na muda wao? Lissu mwenyewe ana sifa ya Uchoyo na Ubahili kama Mnyika. Apate asipate hakumbuki wenzie.

Au wampe Nyalandu anayeonekana Mlokole Fulani na aliyekulia CCM kwenye siasa za Ukarimu na Takrima? Pia kwa Nyalandu matumaini ya kampeni zenye afueni ni makubwa sana maana inaaminika ana hela na mtandao mkubwa.

Tunawasubiri wajumbe kesho kutwa.
Lowassa alikua na vyote na bado akatoka kapa
 
Wewe mwenyewe happy no mlemavu myarajiwa Tena utakatika miguu yote kwa ajali ya gari yako.
Yes, moja mlemavu wa kiungo lkn mwingine ni mlemavu wa akili. Yupi ana nafuu..?? Ndivyo itakavyokuwa kwenye uchaguzi wa Oktoba.
 
Back
Top Bottom