Uchaguzi 2020 Lissu Maarufu, Nyalandu ana hela, kazi kwa wajumbe

tutampitisha mwenye 'mpunga' huyo masikini akae pembeni. Mkono mtupu haulambwi historia inatukumbusha ya 2015

Yale ya 2015 ya lowasa yakifanyika Tena na kumpitisha Nyarandu.... Chadema inaenda kuchuja kwa kasi.

Na hapo nitaona Chadema chini ya Mbowe Ni wapo kwa maslahi ya CCM...

Jiandae kisaikolojia. Mbowe kampeni kwake ni mradi. Sasa dili isiyolipa hawezi kuipenda sana
 
Sasa Chadema hawa pigi kura kwa kupewa rushwa.. Hiyo iko Ccm..
 
unaweza kuiambia dunia kiasi cha pesa alichonacho Nyalandu ?
 
Changamoto nyingine ya Lissu inaweza kuwa afya. Je ana nguvu na uimara wa kukimbia na magari kwa siku hizi 90+ za kampeni na kutafuta wadhamini? Au atahitaji chopa ambayo ni very expensive na hela hana na Chama pia hakina hela?
Are you kidding us Mr Loser? Magufuli na Lissu ni nani yuko fit? Laiti viongozi wetu wangekuwa wawazi juu ya afya zao usingeandika chochote juu ya afya ungebaki mdomo wazi
 
wajumbe hela watavuta na bado they'll pick the candidate of their liking!
 
Yale ya 2015 ya lowasa yakifanyika Tena na kumpitisha Nyarandu.... Chadema inaenda kuchuja kwa kasi.

Na hapo nitaona Chadema chini ya Mbowe Ni wapo kwa maslahi ya CCM...
Kwani mbowe ana kura zote peke yake?
 
Are you kidding us Mr Loser? Magufuli na Lissu ni nani yuko fit? Laiti viongozi wetu wangekuwa wawazi juu ya afya zao usingeandika chochote juu ya afya ungebaki mdomo wazi
Sio kila ninachoandika ni mawazo yangu mimi! Mengine ni mawazo ya wajumbe na wapambe wa wagombea
 
Hakuna nchi ambayo mlemavu amewahi kugombea kuwa rais
Kumbuka tunamchagua Amiri Jeshi mkuu
Kwa hilo umekosea, ukisema Lissu hana sifa nitakuelewa.
Frank D. Roosevelt : US President 1933. - 1945.
The longest serving US president. Alikuwa mlemavu kwenye wheelchair.
 
Hongera kwa kurudisha akili yako. Nyalandu hastahili kupeperusha bendera ya Chadema na itakuwa ni makosa makubwa kumpitisha Nyalandu ambaye kwanza kampeni yake itakuwa very boring na iliyojaa WOGA.

WanaCDM wataonesha umahiri kwenye demokrasia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…