Uchaguzi 2020 Lissu Maarufu, Nyalandu ana hela, kazi kwa wajumbe

Kiafya Nyalandu Ni presidential material pia imagine Ikulu imevamiwa .Wanajeshi wanamwambia Lisu Amiri jeshi mkuu kimbia na sisi kuokoa maisha yako anabaki kuvuta miguu!!

Chadema msirudie ya Lowasa pitisheni mtu ambaye ni physcally fit .Mjue mnapitisha mgombea ambaye anaweza kuwa amiri jeshi mkuu wa majeshi akitokea kupata kura

Chadema chagueni my ambaye Ni physically fit, financially fit mwenye siasa Safi msimamia sera za chadema Sio Kujitangaza kibinafsi

Tundu Lisu akiongea kila muda kidogo utamsikia Mimi Mimi Mimi ooh Mimi kilienda kinarudi.Lisu speech has so many mimis Hadi inakera.Hakijengi na kukiongelea Chama anajinadi individually as Mimi Mimi mimi . Nyalandu hajikiti kwenye u Mimi anajikita zaidi kwenye kuelezea chama.Kujikita zaidi kwenye sera za Chadema Sio ohh Mimi Mimi mimi
 
Are you kidding us Mr Loser? Magufuli na Lissu ni nani yuko fit? Laiti viongozi wetu wangekuwa wawazi juu ya afya zao usingeandika chochote juu ya afya ungebaki mdomo wazi
Lisu anawaza piga push up? Au kukimbia ikitokea hatari ?
 
Mmoja mzima mwingine mlemavu.
Kazi kwa wajumbe
Hiyo si hoja kampeini ni tiba ya kuaminika sote tuliona na kupata wasiwasi mgombea kupiga push-up jukwaani na kushinda Uchaguzi kwa kishindo. Mwaka huu tena tutaona mgombea yuleyule kwenye kampeini akifanya push-up ya mkono mmoja lakini kama atashinda kwa kishindo na kupata nafasi ya kupiga push-up ya mkono mmoja na mguu mmoja mwaka 2025 matokeo tusubiri. Kuchechemea na push-up ni ushindani bora kwa wananchi kuliko kuiga utamaduni wa CCM wa kutembeza mabulungutu ya fedha kuwagawia wapiga kura. Lissu is as fit as a fiddle!
 
Kuwa na afya nzuri ni zaidi ya kukimbia inapotokea hatari au kupiga push-up.
Amiri jeshi mkuu anatakiwa na afya.nzuri ya kuweza kukimbia

Kukimbia Ni sifa nambo moja ya afya ya amiri jeshi mkuu
 
Kwa siasa za wastani Nyarandu ni bora kuliko Lissu, pia naamini kiushindani na CCM, Nyarandu ni bora kuliko Lissu!
 
TunduLissu ni mtaji kwa chama chochote cha siasa. Kama Chadema hawatalielewa hilo watapoteana baada ya uchaguzi wa mwaka huu.

Hilo ndio Chaguo la CCM, hatujui kuna nini wameona ambacho Chadema hawajakiona. Tundu Lissu Oyeeeeeeeeeeeeeee.
 
Mnaosema nyalandu anahela hamsemi utajiri wake ni kiasi gani na umetokana na nn?

Wengi watetezi wa hoja hii ni ccm ambao wanataka kuchochea kuni ili moto uwake.

Wapuuzwe.
 
 
Huo ndiyo ukweli watatukera sana mamilioni ya Watanzania ambao tunataka Lissu tu ndiye apeperushe bendera ya Chadema na kama kura zitahesabiwa hadharani yesu wa ligola ni lazima alambe mchanga.

Waislamu nao wameshaanza kudai kura za uchaguzi huu ujao ZIHESABIWE HADHARANI na wakristo wakitoa kauli hiyo mbona patakuwa patamu!!

Nyie mkifanya makosa hapa basi tena.. hakuna tena Chadema kama si Lissu.
 
Jambo LA msingi haki itendeke, nawashauri chadema waige toka ccm, kila mgombea ahesabu kura zake mwenyewe, atakayeshinda aungwe mkono na wote, kwangu binafsi asipopitishwa lissu sipigi kura kamwe.Anayepaswa kumkabili Jpm Ni lissu pekee
Lissu asipopita nitaendelea kuchangia campaign yake kwa safari yake ya kisiasa. Uchaguzi nitaufuatilia kama taarifa ya habari.
 
Katika uamuzi ambao CDM kama hawatakuwa makini, basi ni huu unaanzia siku ya kesho. Itakuja kuwaghalimu vya kutosha pale watakapokosa busara za kumpata mpeperusha bendera sahihi wa kuweza kupambana na yule wa chama tawala.

Kiu ya wana CDM na umma ya Watanzania walio kuwa wengi inafahamika juu ya yule ambaye walimsubiri kwa muda mrefu na hata kuonyesha kwa uwazi kuwa wanamuunga mkono na kumkubali. Sasa ni mbivu ama mbichi juu ya uamuzi wenu ndani ya vikao vyenu toka tarehe 02/08/2020 mpaka 04/08/2020. Any silly mistake will cost you a lot.
 
Wakati mwingine huwa mnafikiria kwa kutumia makalio!
mkuu ni kweli hua sipendi matusi but wenda ukawa umempa jibu sahii , naona jukwaa kwa sasa limeanza kuingiliwa hivi ajui kuwa zipo nchi zimewai ongozwa na rais ambaye yupo kwenye wheel chair so anapata wapi nguvu za kumsema lissu ni kirema hata mimi binafsi ni kirema mtarajiwa maana mungu ndo hupanga haya yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…