Uchaguzi 2020 Lissu Maarufu, Nyalandu ana hela, kazi kwa wajumbe

Kwani wewe ni mjumbe?
 
Reactions: BAK
Wewe ni mke au mchepuko wa Nyarandu ?
 
Mkuu jamaa kaniudhi nikajikuta Sina neno jingine gum!
Anajiona yeye hawezi kufa wala kuwa kilema!
Jamaa jinga Sana!
 
Tunajaribu kuchor bila kaboni
Tingira Bro, naona mtu fulani toka mahali fulani anajaribu kutengeneza formular Au theory fulani ili atutoe kwenye reli!!
Namwambia mleta mada atulie mradi Lissu karudi, wajumbe watatupa mgombea!!
Hizo mbinu za kampeini CDM ina wadau hadi nje watasuport hizo shughuli!!
Acha kutuyumbisha ndg safari ndo imeanza!!
 
Mueleze mueleze mueleze huyo mnyima Uhuru wa watu kuishi.
In Pompi's voice.
 
You’re not alone and I’ll stop talking about politics once and for all. It won’t be easy but I have to force myself to stop and return my membership card ASAP. After all I am not a politician and I have no intention to become one but I am not satisfied at all on what is going on in our beloved country and that’s the main reason of my participation.

Lissu asipopita nitaendelea kuchangia campaign yake kwa safari yake ya kisiasa. Uchaguzi nitaufuatilia kama taarifa ya habari.
 
Ukisoma mada bila mihemko unaokota kitu hata kama hutaki. Tatizo kuna watu washaset akili zao hawasikii kinyume na wanavyotaka. Kazi zenu hizo za kisiasa mimi sihusiki.
Siasa sio akili ndugu,siasa ni ushabiki tu,na mtu mwenye washabiki wengi hushinda.
Hela Ni kwa ajili ya kuhonga.
Na mpinzani akihonga TAKUKURU hawamwachi.
 
Kwa hilo umekosea, ukisema Lissu hana sifa nitakuelewa.
Frank D. Roosevelt : US President 1933. - 1945.
The longest serving US president. Alikuwa mlemavu kwenye wheelchair.
Anajua nini Kilaza huyo
Anajiita IFRS wakati mweupe tu kichwani.

International Financial Reporting STD mzima hajui hayo,hii Ni hatari kwa nchi.
 
Kwa afya ya akili TL Ni Bora kuliko wote.

Wewe CCM unapendekezaje CDM waweke mgombe Mzuri NYalandu ili awashinde,kwa Nini usiwaache wakamchagua Lisu dhaifu ili iwe rahisi kwenu kuishinda?
 
Kuna wakubwa wanamwogopa LISSU kila uchao wanatunga na kutuma vijana kuja na viji-thread vya kumuondoa LISSU kwenye track ya Urais, wasijidanganye wanatakiwa kujua ya kwamba Kwa sasa TUNDU LISSU ndiye mtanzania pekee anaependwa na watz wengi kuliko mtu yeyote.
Hakuna cha makomeo wala ma bawaba Lissu ndiyo habari ya mjini.
 
Kwa siasa za wastani Nyarandu ni bora kuliko Lissu, pia naamini kiushindani na CCM, Nyarandu ni bora kuliko Lissu!
Mbinu zenu zote zimefeli, mlimpiga marisasi Mungu amemponya huyo kaja!!
SaSa mnakuja na swala la afya, hakuna atakaye wasikilza, Lissu for Prezidence period!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…