Kazi imeanza rasmi πMwenyeketi wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema wao kama chama kikuu cha upinzani hawamutegemea Steven Wasira kwa ajili ya mabadiliko bali watapambana na Rais na serikali.
Hakika CHADEMA ilichelewa sana kupata Mwenyeketi mwenye msimamo thabiti.
View: https://x.com/GillyBonnyTv/status/1882764134925619305?t=lvqkLxLhlohnxTnFLRpsFg&s=19
atatulia kama walivyotulia wenzie this is TANZANIA
Amesema kabisa, hawawezi kukaa na Wasira atawapotezea muda...mabadiliko yanafanywa na SERIKALI, kwanini waongee na Mzee Wassira?
Nyie watu mnajichanganya sasa kama alimdhihaki Mbowe kwenda Ikulu, yeye anatafuta nini Ikulu?Mwenyeketi wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema wao kama chama kikuu cha upinzani hawamutegemea Steven Wasira kwa ajili ya mabadiliko bali watapambana na Rais na serikali.
Hakika CHADEMA ilichelewa sana kupata Mwenyeketi mwenye msimamo thabiti.
View: https://x.com/GillyBonnyTv/status/1882764134925619305?t=lvqkLxLhlohnxTnFLRpsFg&s=19
Nyie watu mnajichanganya sasa kama alimdhihaki Mbowe kwenda Ikulu, yeye anatafuta nini Ikulu?
Kama walishindwa kumtuliza kipindi kile hana cheo kwa sasa watapambana nae kivingine, labda kuwatuliza watu wake wa karibu ila sio yeye binafsi, hilo wamelishindwa.atatulia kama walivyotulia wenzie this is TANZANIA
Jidanganyeni. Msiishi kwa mazoeaatatulia kama walivyotulia wenzie this is TANZANIA
Hapana, hakuna cha timing, yeye hataki mtu kwenda kufanya majadiliano, amsema wazi kuwa ni mshike mshike mwaka huu..nadhani alihoji timing, na faida, za Mbowe kwenda Ikulu.
..utakumbuka hata wakati wa JK Chadema walikwenda Ikulu, na matokeo yake tukapata Tume ya Warioba, na bunge maalum la katiba.