Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
atatulia kama walivyotulia wenzie this is TANZANIA
Je! katiba mpya ilipatikana!?..nadhani alihoji timing, na faida, za Mbowe kwenda Ikulu.
..utakumbuka hata wakati wa JK Chadema walikwenda Ikulu, na matokeo yake tukapata Tume ya Warioba, na bunge maalum la katiba.
Kabisa mkuu kuna uzi ulisema umeniona?Huo ndo Mwendo hakuna kubembelezana wakiweka TUNAWEKA!!
Kaka! Ulitaka aende msituni? Ikulu atakwenda sio kwa maridhiano bali kutaka utekelezaji wa yanayopaswa kufanywa na serikali!Nyie watu mnajichanganya sasa kama alimdhihaki Mbowe kwenda Ikulu, yeye anatafuta nini Ikulu?
Je! katiba mpya ilipatikana!?
Usimlishe maneno. Hakuna mtu asiyetaka mazungumzo.Hapana, hakuna cha timing, yeye hataki mtu kwenda kufanya majadiliano, amsema wazi kuwa ni mshike mshike mwaka huu
Hizi hapa responses kutoka kwa wasomaji kuhus Lissu kusema sasa ni siasa za mshike mshike, siyo maridhiano tena
Lissu: "Hakuna kuimbiana maridhiano yasiyokuwepo, hakuna tena habari ya kualikana kwenye vikao vya kuzungumza mambo yasiyojulikana. Bali ni muda wa mapambano ya kudai mabadiliko ya kimsingi ya nchi yetu na zinatakuwa siasa za mshike mshike kweli kweli" Tundu Lisu , Makamu Mwenyekiti Bara wa...www.jamiiforums.com
Lissue akisema tunaingia barabara mimi nitakuwa mbeli kwani najuwa atakuwa amemanisha. Sio kina lmbowe, zito,cheyo, lipumba wanakwambia twende barabarani huku wakiwa wana ongea na watu wa ikulu.Kazi imeanza rasmi 😀
Kama ilishindikana kutulia kwa Magu sembuse kwa huyu mpembaatatulia kama walivyotulia wenzie this is TANZANIA
Hapana, hakuna cha timing, yeye hataki mtu kwenda kufanya majadiliano, amsema wazi kuwa ni mshike mshike mwaka huu
Hizi hapa responses kutoka kwa wasomaji kuhus Lissu kusema sasa ni siasa za mshike mshike, siyo maridhiano tena
Lissu: "Hakuna kuimbiana maridhiano yasiyokuwepo, hakuna tena habari ya kualikana kwenye vikao vya kuzungumza mambo yasiyojulikana. Bali ni muda wa mapambano ya kudai mabadiliko ya kimsingi ya nchi yetu na zinatakuwa siasa za mshike mshike kweli kweli" Tundu Lisu , Makamu Mwenyekiti Bara wa...www.jamiiforums.com
Kila mmoja anaitaka, lakini Lisu anasema hakuna cha mjadiliano, ni mshike mshike.Hivi kuna tatizo gani kuunda Tume Huru ya Uchaguzi?
Kuonana na Rais lengo ni kufanya maridhiano.Alipinga maridhiano huyuNyie watu mnajichanganya sasa kama alimdhihaki Mbowe kwenda Ikulu, yeye anatafuta nini Ikulu?
exactlyKuonana na Rais lengo ni kufanya maridhiano.Alipinga maridhiano huyu
Mwenyeketi wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema wao kama chama kikuu cha upinzani hawamutegemea Steven Wasira kwa ajili ya mabadiliko bali watapambana na Rais na serikali.
Hakika CHADEMA ilichelewa sana kupata Mwenyeketi mwenye msimamo thabiti.
View: https://x.com/GillyBonnyTv/status/1882764134925619305?t=lvqkLxLhlohnxTnFLRpsFg&s=19
Kila mmoja anaitaka, lakini Lisu anasema hakuna cha mjadiliano, ni mshike mshike