Lissu: Mabadiliko hayatatokana na Steven Wasira, Wasira ni debe tupu.

Lissu: Mabadiliko hayatatokana na Steven Wasira, Wasira ni debe tupu.

1737742803493.jpg
 
Ccm tunaomba watu wajibizane kwa hoja, kama una kichwa kilicho jaa makamasi tunaomba usubiri kidogo mpaka wakati mwingine. Kipindi hiki wabaki watu wenye ubongo tu.
 
Wamechokoza mbeyaaa..

Intro

Tumekumiss romaa....rudi nyumbani romaa.. uwatetee ndugu zakoo....///

Verse

Sijui nianzie wap kichwa kimebeba mengii...

Lissu kafanya dharau kubwa ni jibu tosha kwa WASSIRA na Wana CCM wapiga mapambio na kujiziba fikra / upofu wa fikra ZAO...
😔😔😔😔
☺️😊☺️😊
Hapa kachokonolewa lucas mwashamba .........atakuja mbioo huyoooo
 
Mwenyeketi wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema wao kama chama kikuu cha upinzani hawamutegemea Steven Wasira kwa ajili ya mabadiliko bali watapambana na Rais na serikali.

Hakika CHADEMA ilichelewa sana kupata Mwenyeketi mwenye msimamo thabiti.


View: https://x.com/GillyBonnyTv/status/1882764134925619305?t=lvqkLxLhlohnxTnFLRpsFg&s=19

WATU AWAMJUI WASIRA .....😁😁😁😁 WASIRA NDIYO FISADI WA KWANZA MKUBWA TANZANIA ALIWAI KUFICHA MAFEDHA YA WIZI KWENYE ENEO AMBALO KWA SASA LIMEJENGWA KANISA KATOLOKI KULE STAKISHARI POLISI ALIKUWA ANAISHI HAPO
 
Ebu let us define your terms:
1. Kutaka unamaanisha nini? anakwenda na kusema nataka katiba, nataka tume huru, nataka bensaanane apatikane...... sasa hivvi toa usipotoa......huko ndiko kutaka 😀 😀 😀
Mkuu Retired hasemi nataka bali waajiri (wananchi) wanataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Akikataa, basi atalirudisha kwa waliomtuma kuwa kakataa anataka tukae tunywe Chai kama siku zilizopita.
 
Mkuu Retired hasemi nataka bali waajiri (wananchi) wanataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Akikataa, basi atalirudisha kwa waliomtuma kuwa kakataa anataka tukae tunywe Chai kama siku zilizopita.
Hakuna aliyekunywa chai, hakuna. Mbowe was very serious with these issues! Alitumia approach ya political diplomacy/dialogue, ikashindwa, akajaribu ya Nguvu ya UMMA, wewe na mimi na yule hatukutokea. Akatokea yeye na mwanae. Lisu yuko belgium. yeye afanyeje? If it were you, what would you have done!

Fine, ngoja Lisu afanye tuone mbadiliko. Kila la heri kwake,

Labda kwenda kwenye press conferences, hizo anazimudu sana.
 
Back
Top Bottom