Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
chama kinakwenda kukosa nidhamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani sidhani kama huu mziki atauwezaNimeanza kumwonea huruma Mzee Wasira na ule umri wake
Wengine wanaona ni Lissu, wengine wanaona Simba
Hapa kachokonolewa lucas mwashamba .........atakuja mbioo huyooooWamechokoza mbeyaaa..
Intro
Tumekumiss romaa....rudi nyumbani romaa.. uwatetee ndugu zakoo....///
Verse
Sijui nianzie wap kichwa kimebeba mengii...
Lissu kafanya dharau kubwa ni jibu tosha kwa WASSIRA na Wana CCM wapiga mapambio na kujiziba fikra / upofu wa fikra ZAO...
😔😔😔😔
☺️😊☺️😊
Na Lisu ukimgusa kidogo tu hachelewi kuzunguka dunia nzima kuongea na Donors fund watunyime maburungutu😂.Kama walishindwa kumtuliza kipindi kile hana cheo kwa sasa watapambana nae kivingine, labda kuwatuliza watu wake wa karibu ila sio yeye binafsi, hilo wamelishindwa.
Mwenyeketi wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema wao kama chama kikuu cha upinzani hawamutegemea Steven Wasira kwa ajili ya mabadiliko bali watapambana na Rais na serikali.
Hakika CHADEMA ilichelewa sana kupata Mwenyeketi mwenye msimamo thabiti.
View: https://x.com/GillyBonnyTv/status/1882764134925619305?t=lvqkLxLhlohnxTnFLRpsFg&s=19
Kazi imeanza mkuu safi kabisa💯Kazi imeanza rasmi 😀
kenge weweKatafute ht akili ya kuazima
Mwenyeketi wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema wao kama chama kikuu cha upinzani hawamutegemea Steven Wasira kwa ajili ya mabadiliko bali watapambana na Rais na serikali.
Hakika CHADEMA ilichelewa sana kupata Mwenyeketi mwenye msimamo thabiti.
View: https://x.com/GillyBonnyTv/status/1882764134925619305?t=lvqkLxLhlohnxTnFLRpsFg&s=19
Lissu ni wakwenda nae taratibu sana yule mtuKama ilishindikana kutulia kwa Magu sembuse kwa huyu mpemba
Dozeee dozeeeeLissu baba wapelekee moto hao 🤸♀️
Show show 😹
Mkuu Retired hasemi nataka bali waajiri (wananchi) wanataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.Ebu let us define your terms:
1. Kutaka unamaanisha nini? anakwenda na kusema nataka katiba, nataka tume huru, nataka bensaanane apatikane...... sasa hivvi toa usipotoa......huko ndiko kutaka 😀 😀 😀
Hakuna aliyekunywa chai, hakuna. Mbowe was very serious with these issues! Alitumia approach ya political diplomacy/dialogue, ikashindwa, akajaribu ya Nguvu ya UMMA, wewe na mimi na yule hatukutokea. Akatokea yeye na mwanae. Lisu yuko belgium. yeye afanyeje? If it were you, what would you have done!Mkuu Retired hasemi nataka bali waajiri (wananchi) wanataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Akikataa, basi atalirudisha kwa waliomtuma kuwa kakataa anataka tukae tunywe Chai kama siku zilizopita.
Chinno wangu 😻😻Dozeee dozeeee
Una kina chino wanakutegemea.