Lissu: Mabadiliko hayatatokana na Steven Wasira, Wasira ni debe tupu.

Nyie watu mnajichanganya sasa kama alimdhihaki Mbowe kwenda Ikulu, yeye anatafuta nini Ikulu?
Kaka! Ulitaka aende msituni? Ikulu atakwenda sio kwa maridhiano bali kutaka utekelezaji wa yanayopaswa kufanywa na serikali!
Unakumbuka Sudani yalifanyika makubwa bila maridhiano na Ikulu?
Sasa Wassira na CCM yake wanahusiana vipi hapo?
Wakikataa basi yeye atalirudisha jambo hilo kwa wananchi ili ili yuamue! Kuendelea kuwa mazombie au kuchukua hatua.
Lakini akumbuke kama General El bashir au Gabgo walivaa prison uniforms hakuna tofauti. Hakuna excuses kuwa ni lady! kwake kujikuta one day kavaa sketi ya manjano huku wanao mdanganya wako kitaa na wake au waume zao wanakula mzigo huku wakimkana.
Ukikaza shingo sana huwa inavunjika,
 
Usimlishe maneno. Hakuna mtu asiyetaka mazungumzo.
Cha msingi mazungumzo yasiwe ya hila
 

..Ni mshike-mshike wa kufanya mabadiliko, kwani sote tunajua kuwa muda ni mchache.

..Hivi kuna tatizo gani kuunda Tume Huru ya Uchaguzi?

..Watanzania tutapata hasara gani tukiwa na mifumo mizuri, ya wazi, ya haki, inayosimamia uchaguzi?

..Tundu Lissu sio mtu mbaya, kama tukijipa nafasi kumsikiliza, na tukiweka maslahi ya taifa mbele.
 
Hiki ni kifaa kweli kweli.😂😂 imagine jeshi la polisi limepongezwa kwa kulinda vizuri mkutano wa uchaguzi wa CDM lakini wenye mkutano wao wamekaushiwa😂😂😂
 
Kila mmoja anaitaka, lakini Lisu anasema hakuna cha mjadiliano, ni mshike mshike


..Naamini kauli za Lissu ni reflection ya dissapointments za nafasi ya majadiliano kutokuchukuliwa kwa umuhimu wake.

..Kama majadiliano yangekuwa yametoa matokeo mazuri, wanaharakati kama Lissu, na siasa zao, wasingekuwa na nafasi katika siasa zetu.

..Tuweke maslahi ya nchi mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…