Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Jibu hoja ya Lissu kuhusu kitambulisho kisichokuwa na Jina Picha wala Sahihi unaweza kwenda kukikopea Benki ?..mwacheni Lissu amkimbize mwizi wake
Wamejaa ulagai lagaiHawa MATAGA ni wa kuwaonea huruma tu. Hamnazo kichwani.
ili watanzania wajue ni tapeli tu na hafai ni mtu mwongo sana yule,eti kale ka kipande ukopeshwe na benki labda saccos ya akina polepole wakukopesheIli iweje?
Siyo kila anayehoji ni CHADEMA, niambie bank gani nikakope leoUongo tena wa hali juu
Ukisajili hata simu tu kwa kitambulisho cha NIDA unakopesheka sana tu uliza watu kibao tena uswahilini wasiokanyaga hata shule wanakopa.MIMI nakopesheka hadi milioni tano sihitaji dhamana wala mdhamini kwenye simu
Muulize yeyeo hata kwenye daladala tu au stendi ya basiu kuwa je mtu aweza kopa kwa tigopesa,Mpesa,AIRTEL money nk akapata pesa taslimu bila dhamana wala mdhamini
CHADEMA tuwe wakweli ufahamu wenu wa mambo nyie wenyewe na huyo mgombea wenu ni mdogo mno kuliko hata wa mwananchi wa kawaida kabisa wa uswahilini na vijijini
hebu fikiria mfano wewe mwenyewe angalia upumbavu ulioandika huo .SIKUSHANGAI NDIO MAANA UKO CHADEMA SABABU kule ni mkusanyiko wa wapumbavu kama wewe
CCM imejaa watu janjajnja snili watanzania wajue ni tapeli tu na hafai ni mtu mwongo sana yule,eti kale ka kipande ukopeshwe na benki labda saccos ya akina polepole wakukopeshe
Siku hizi kuna mobile banking huhitaji hata kukanyaga benko kujaza fomu kuomba mkopo naona uko enzi za kale na ujinga wa kujaza mifomu kwenye ofisi na kuambatanisha mifomu kibao na mihati ya mali nk kibaoUnaelewa vigezo vya kupata mkopo benki au unaongea kwasababu bwana mkubwa wako kapigwa nyundo na Mh.Lissu!
Huyu mpumbavu Tundu Lissu ataacha upuuzi lini?
we endelea kukopeshwa na TIGO ila tunacho jua huyo mgombea wenu meko ni mwongo kile kipande huwezi pewa mkopo benki hataufanyeje,labda mukopeshane kwenye saccos yenu ya hapo lumumbaUongo tena wa hali juu
Ukisajili hata simu tu kwa kitambulisho cha NIDA unakopesheka sana tu uliza watu kibao tena uswahilini wasiokanyaga hata shule wanakopa.MIMI nakopesheka hadi milioni tano sihitaji dhamana wala mdhamini kwenye simu
Muulize yeyeo hata kwenye daladala tu au stendi ya basiu kuwa je mtu aweza kopa kwa tigopesa,Mpesa,AIRTEL money nk akapata pesa taslimu bila dhamana wala mdhamini
CHADEMA tuwe wakweli ufahamu wenu wa mambo nyie wenyewe na huyo mgombea wenu ni mdogo mno kuliko hata wa mwananchi wa kawaida kabisa wa uswahilini na vijijini
hebu fikiria mfano wewe mwenyewe angalia upumbavu ulioandika huo .SIKUSHANGAI NDIO MAANA UKO CHADEMA SABABU kule ni mkusanyiko wa wapumbavu kama wewe
Wala huhitaji kwenda benki fungua upesi moblie banking au sim banking anza kuweka hizo pesa zako za kimachinga halafu utakopa bila shida au anza kukopa airtelmoney,tigo pesa ,mpesa nk muulize hata jirani yako wanakopajeSiyo kila anayehoji ni CHADEMA, niambie bank gani nikakope leo
Acha utapeli weweWala huhitaji kwenda benki fungua upesi moblie banking au sim banking anza kuweka hizo pesa zako za kimachinga halafu utakopa bila shida au anza kukopa airtelmoney,tigo pesa ,mpesa nk muulize hata jirani yako wanakopaje
Anaipaisha familia yakoNa si kila anayeona ukweli jinsi JPM anavyoipaisha Tanzania ni CCM
Hivyo vitambulisho wataombea mikopo hawa mamluki wa CCM wenye shida na njaa mpaka wanatupigia magoti na kulia lia majukwaani.. [emoji116]Mgombea urais chama cha demokrasia na maendeleo Tundu Lissu leo akiwa Singida amesema Magufuli aache kudanganya sisi siyo washamba kama yeye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki.
"Kitambulisho hakina jina, anwani na unaponunua haina hata risiti halafu anasema unaweza kutumia kukopa, mwambieni sisi siyo washamba kama yeye."
ahahahahaa ndo maana wakamlazimisha kupitia NEC apumzike kwa siku7 mzee meko angalu apumueKuna mtu humu alitoa onyo kuwa siku 60 ni nyingi sana kumpa mtu kama Lissu ila hawakumsikiliza.
mobile banking wanakopesawe endelea kukopeshwa na TIGO ila tunacho jua huyo mgombea wenu meko ni mwongo kile kipande huwezi pewa mkopo benki hataufanyeje,labda mukopeshane kwenye saccos yenu ya hapo lumumba
Sisiem haina watu wajanja mkuu, kuna wapumbavu wengi ila ndio wanatafuta wajinga ili wawafanye wapumbavu kama wao kitu ambacho hakiwezekani...CCM imejaa watu janjajnja sn
Hehehe...ona ulivyozidi kuwa mjinga unaelekea kwenye upumbavu...Siku hizi kuna mobile banking huhitaji hata kukanyaga benko kujaza fomu kuomba mkopo naona uko enzi za kale na ujinga wa kujaza mifomu kwenye ofisi na kuambatanisha mifomu kibao na mihati ya mali nk kibao
Mambo yamerahisishwa machinga simu wanazo na vitambulkisho vya machinga wanavyo ambavyo viko linked na kitambulisho cha taifa waweza operate mobile banking wakakopa bila shida yeyote wala kukanyaga ofisi ya benki
Wewe na LISU wako mko kundi moja la wajinga fulani hivi ambao wameparamia kugombea uraisi bila kujiandaa kiakili.Anafikiri mtu aweza kugombea uraisi toka kijiweni Ubelgiji akashika nchi
Jinga hilo.Siyo kila anayehoji ni CHADEMA, niambie bank gani nikakope leo
labda hiyo CRDB ya kigamboni waliingia mkataba na ccm wakiitumia kama sampo, inamaana hizi CRDB zingine siyo za nchi hii wacha kujitoa ufahamu wewe,watu tumeenda na siyo mara moja hakuna kitu kama hicho huku mikoani na wilayaniDuh naona huyu punguani anazidi tu kuvuka mstari mwekundu, haya yetu macho huyu kibwengo atakapoishia maana 28.10.2020 lazima atoswe. Suala la vitambulisho na kukopa ni initiatives za CRDB na Kigamboni na watu wamekopeshwa kwa kutumia hivyo vitambulisho na ushahidi upo, sasa huyu punguani anayeanguka kifafa anataka kudanganya watu kuwa haiwezekani wakati waliokopa wapo na wanaendelea wengine kukopa, mwambieni watu wake kuwa kachemsha!