Uchaguzi 2020 Lissu: Magufuli usidanganye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki

umeamini kweli hakina jina?
Kuna shida ya kuwa muumini...

Ninacho kina jina...

Viva Magu 2020 to 2030
Jibu hoja ya Lissu kuhusu kitambulisho kisichokuwa na Jina Picha wala Sahihi unaweza kwenda kukikopea Benki ?..mwacheni Lissu amkimbize mwizi wake
 
Uongo tena wa hali juu
Ukisajili hata simu tu kwa kitambulisho cha NIDA unakopesheka sana tu uliza watu kibao tena uswahilini wasiokanyaga hata shule wanakopa.MIMI nakopesheka hadi milioni tano sihitaji dhamana wala mdhamini kwenye simu

Muulize yeyeo hata kwenye daladala tu au stendi ya basiu kuwa je mtu aweza kopa kwa tigopesa,Mpesa,AIRTEL money nk akapata pesa taslimu bila dhamana wala mdhamini

CHADEMA tuwe wakweli ufahamu wenu wa mambo nyie wenyewe na huyo mgombea wenu ni mdogo mno kuliko hata wa mwananchi wa kawaida kabisa wa uswahilini na vijijini

hebu fikiria mfano wewe mwenyewe angalia upumbavu ulioandika huo .SIKUSHANGAI NDIO MAANA UKO CHADEMA SABABU kule ni mkusanyiko wa wapumbavu kama wewe
Siyo kila anayehoji ni CHADEMA, niambie bank gani nikakope leo
 
Unaelewa vigezo vya kupata mkopo benki au unaongea kwasababu bwana mkubwa wako kapigwa nyundo na Mh.Lissu!
Siku hizi kuna mobile banking huhitaji hata kukanyaga benko kujaza fomu kuomba mkopo naona uko enzi za kale na ujinga wa kujaza mifomu kwenye ofisi na kuambatanisha mifomu kibao na mihati ya mali nk kibao

Mambo yamerahisishwa machinga simu wanazo na vitambulkisho vya machinga wanavyo ambavyo viko linked na kitambulisho cha taifa waweza operate mobile banking wakakopa bila shida yeyote wala kukanyaga ofisi ya benki

Wewe na LISU wako mko kundi moja la wajinga fulani hivi ambao wameparamia kugombea uraisi bila kujiandaa kiakili.Anafikiri mtu aweza kugombea uraisi toka kijiweni Ubelgiji akashika nchi
 
Uongo tena wa hali juu
Ukisajili hata simu tu kwa kitambulisho cha NIDA unakopesheka sana tu uliza watu kibao tena uswahilini wasiokanyaga hata shule wanakopa.MIMI nakopesheka hadi milioni tano sihitaji dhamana wala mdhamini kwenye simu

Muulize yeyeo hata kwenye daladala tu au stendi ya basiu kuwa je mtu aweza kopa kwa tigopesa,Mpesa,AIRTEL money nk akapata pesa taslimu bila dhamana wala mdhamini

CHADEMA tuwe wakweli ufahamu wenu wa mambo nyie wenyewe na huyo mgombea wenu ni mdogo mno kuliko hata wa mwananchi wa kawaida kabisa wa uswahilini na vijijini

hebu fikiria mfano wewe mwenyewe angalia upumbavu ulioandika huo .SIKUSHANGAI NDIO MAANA UKO CHADEMA SABABU kule ni mkusanyiko wa wapumbavu kama wewe
we endelea kukopeshwa na TIGO ila tunacho jua huyo mgombea wenu meko ni mwongo kile kipande huwezi pewa mkopo benki hataufanyeje,labda mukopeshane kwenye saccos yenu ya hapo lumumba
 
Kumsema mtu jukwaani badala ya kunadi sera kisiasa ni sawa na kumpigia kampeni mwenzako. Unajionesha isingekuwa wao huna cha kuongea, ndiyo maana kila muda unataja mgombea wao.. Ni kuharibu hadhi
 
Siyo kila anayehoji ni CHADEMA, niambie bank gani nikakope leo
Wala huhitaji kwenda benki fungua upesi moblie banking au sim banking anza kuweka hizo pesa zako za kimachinga halafu utakopa bila shida au anza kukopa airtelmoney,tigo pesa ,mpesa nk muulize hata jirani yako wanakopaje
 
Acha utapeli wewe
 
WTF...
Mobile bank bila kukanyaga ofisini ina uhusiano gani na kukopa !!
Mbona sasa mshageuka na kusema sio vya lazima.. ? Vilikuwa linked lini na sangoma wepi ?
QUOTE="YEHODAYA, post: 36977059, member: 315573"]
Siku hizi kuna mobile banking huhitaji hata kukanyaga benko kujaza fomu kuomba mkopo naona uko enzi za kale na ujinga wa kujaza mifomu kwenye ofisi na kuambatanisha mifomu kibao na mihati ya mali nk kibao

Mambo yamerahisishwa machinga simu wanazo na vitambulkisho vya machinga wanavyo ambavyo viko linked na kitambulisho cha taifa waweza operate mobile banking wakakopa bila shida yeyote wala kukanyaga ofisi ya benki

Wewe na LISU wako mko kundi moja la wajinga fulani hivi ambao wameparamia kugombea uraisi bila kujiandaa kiakili.Anafikiri mtu aweza kugombea uraisi toka kijiweni Ubelgiji akashika nchi
[/QUOTE]
 
Mgombea urais chama cha demokrasia na maendeleo Tundu Lissu leo akiwa Singida amesema Magufuli aache kudanganya sisi siyo washamba kama yeye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki.

"Kitambulisho hakina jina, anwani na unaponunua haina hata risiti halafu anasema unaweza kutumia kukopa, mwambieni sisi siyo washamba kama yeye."
Hivyo vitambulisho wataombea mikopo hawa mamluki wa CCM wenye shida na njaa mpaka wanatupigia magoti na kulia lia majukwaani.. [emoji116]
Screenshot_20201011-203519.jpg

Sent from my Infinix X5514D using JamiiForums mobile app
 
we endelea kukopeshwa na TIGO ila tunacho jua huyo mgombea wenu meko ni mwongo kile kipande huwezi pewa mkopo benki hataufanyeje,labda mukopeshane kwenye saccos yenu ya hapo lumumba
mobile banking wanakopesa

Tigo pesa nk ni sehemu ya mobile banking kama hujui,.Tigo pesa ni mawakala wa Benki wanaingia mikataba na mabenki kumpunguzia usumbufu tu mteja

Kubali tu wewe na Lisu wako ni mambumbu tu
 
CCM imejaa watu janjajnja sn
Sisiem haina watu wajanja mkuu, kuna wapumbavu wengi ila ndio wanatafuta wajinga ili wawafanye wapumbavu kama wao kitu ambacho hakiwezekani...
......Tutawashangaza Oct 28 acha wajipe matumaini ya flayiova, esigiala, meli na bombadia wanafikiri sie washamba kama wao...

Sent from my Infinix X5514D using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi kuna mobile banking huhitaji hata kukanyaga benko kujaza fomu kuomba mkopo naona uko enzi za kale na ujinga wa kujaza mifomu kwenye ofisi na kuambatanisha mifomu kibao na mihati ya mali nk kibao

Mambo yamerahisishwa machinga simu wanazo na vitambulkisho vya machinga wanavyo ambavyo viko linked na kitambulisho cha taifa waweza operate mobile banking wakakopa bila shida yeyote wala kukanyaga ofisi ya benki

Wewe na LISU wako mko kundi moja la wajinga fulani hivi ambao wameparamia kugombea uraisi bila kujiandaa kiakili.Anafikiri mtu aweza kugombea uraisi toka kijiweni Ubelgiji akashika nchi
Hehehe...ona ulivyozidi kuwa mjinga unaelekea kwenye upumbavu...

Boss wako kazungumzia kitambulisho cha mjasiriamali. Wewe unasema habari za kitambulisho cha NIDA. una akili kweli?
 
Duh naona huyu punguani anazidi tu kuvuka mstari mwekundu, haya yetu macho huyu kibwengo atakapoishia maana 28.10.2020 lazima atoswe. Suala la vitambulisho na kukopa ni initiatives za CRDB na Kigamboni na watu wamekopeshwa kwa kutumia hivyo vitambulisho na ushahidi upo, sasa huyu punguani anayeanguka kifafa anataka kudanganya watu kuwa haiwezekani wakati waliokopa wapo na wanaendelea wengine kukopa, mwambieni watu wake kuwa kachemsha!
labda hiyo CRDB ya kigamboni waliingia mkataba na ccm wakiitumia kama sampo, inamaana hizi CRDB zingine siyo za nchi hii wacha kujitoa ufahamu wewe,watu tumeenda na siyo mara moja hakuna kitu kama hicho huku mikoani na wilayani
 
Back
Top Bottom