Uchaguzi 2020 Lissu: Magufuli usidanganye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki

Uchaguzi 2020 Lissu: Magufuli usidanganye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki

Jiwe labda alimaanisha kitambulisho Cha kupigia kura!
 
Mgombea urais chama cha demokrasia na maendeleo Tundu Lissu leo akiwa Singida amesema Magufuli aache kudanganya sisi siyo washamba kama yeye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki.

"Kitambulisho hakina jina, anwani na unaponunua haina hata risiti halafu anasema unaweza kutumia kukopa, mwambieni sisi siyo washamba kama yeye."
Duh naona huyu punguani anazidi tu kuvuka mstari mwekundu, haya yetu macho huyu kibwengo atakapoishia maana 28.10.2020 lazima atoswe. Suala la vitambulisho na kukopa ni initiatives za CRDB na Kigamboni na watu wamekopeshwa kwa kutumia hivyo vitambulisho na ushahidi upo, sasa huyu punguani anayeanguka kifafa anataka kudanganya watu kuwa haiwezekani wakati waliokopa wapo na wanaendelea wengine kukopa, mwambieni watu wake kuwa kachemsha!
 
sku izi chadema hawaonyeshi nyomi lao, wanabaki kuonyesha akiwa anahutubia
1602459559941.png

nidenelee kuwakera ama niishie apa
 
Tangaza sera sio ku mtaja mwanaume wa kazi
 
Acheni kukurupuka! Hivi huyo mungu wenu ilikuwaje akapigwa risasi mkono wa kulia wakati alikuwa amekaa kushoto kwa dereva? Hamuoni huyo anawalisha matango pori tu. Acheni kumshabikia maana 28/10 mtapata BP atakavyogaragazwa
Muulize aliyemfyatulia hizo risasi.
 
Acheni kukurupuka! Hivi huyo mungu wenu ilikuwaje akapigwa risasi mkono wa kulia wakati alikuwa amekaa kushoto kwa dereva? Hamuoni huyo anawalisha matango pori tu. Acheni kumshabikia maana 28/10 mtapata BP atakavyogaragazwa
Hivi uelewi kuwa angle ya mtutu wa bunduki ndio ina-determine sehemu gani ya mwili itaumia?

Mafiningo
 
Hivi uelewi kuwa angle ya mtutu wa bunduki ndio ina-determine sehemu gani ya mwili itaumia?

Mafiningo
Huyo ni mpuuzi na mjinga grade ya Lumumba ni wa kupuuzwa sana... Ndio maana umeona hata watu hawana time nae sabu kaonyesha IQ yake ni ndogo kiwango cha flayiova za baba ake..

Sent from my Infinix X5514D using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom