Uchaguzi 2020 Lissu: Magufuli usidanganye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki

Uchaguzi 2020 Lissu: Magufuli usidanganye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki

Unaelewa unachoongea?

Hivyo vitambulisho vya mjasiriamali vilitengenezwa kwa ajili ya boss wako apate hela maana hazina ipo hoi.

Uliwahi kujiuliza ni kwanini kitambulisho cha NIDA tunakipata BURE lakini cha mjasiriamali kinauzwa TZS 20,000/-?.
Ilikuwa ni njia ya kuongeza kipato lakini Lissu kalibumisha.
 
Amesema akiwa Singida ktk mwendelezo wa kampeni zake za uchaguzi

Amesema hivyo vinavyoitwa "vitambulisho vya wajasiriamali wadogo" ni ufisadi na wizi mtupu

Na kamwe haviwezi kutumika kuombea mkopo ktk taasisi ya fedha yoyote wala kwa jirani kwa sababu;

1. Kitambulisho hicho hakina jina la mwenye nacho

2. Hakina anuani ya makazi ya mwenye nacho

3. Hakina taarifa zote muhimu kumhusu mwenye nacho

Aidha kuthibitisha kuwa ni wizi mtupu na ufisadi unaofanywa na Ikulu yq Magufuli, watu wanatoa fedha zao lakini hawakatiwi risiti huku serikali kupitia TRA siku zote inahimiza wafanyabiashara KUTOA RISITI na mnunuzi KUDAI RISITI anaponunua kitu chochote!

Tazama na sikiliza mwenyewe video hii fupi akisisitiza hilo akiwa Singida jana tarehe 11/10/2020

 
Ili alaaniwe kwa mauaji, udhalilishaji, utekaji, kifilisi Wafanyabiashara, kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa Kijijini kwake, kuteka watu, na mambo maovu mengine mengi.
Keyboard zinawadanganya sana kujitia mna akili, kafanyeni kazi mtabaki kulia lia tu.
 
Muulize yeyeo hata kwenye daladala tu au stendi ya basiu kuwa je mtu aweza kopa kwa tigopesa,Mpesa,AIRTEL money nk akapata pesa taslimu bila dhamana wala mdhamini
Unajinyesha ulivyo mtupu.

Umetoka kwenye takataka ya kitambulisho cha Machinga hadi kwenye M-Pesa, Tigo-pesa. Wewe huoni tofauti kati ya vitu hivyo viwili?
 
Mgombea urais chama cha demokrasia na maendeleo Tundu Lissu leo akiwa Singida amesema Magufuli aache kudanganya sisi siyo washamba kama yeye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki.

"Kitambulisho hakina jina, anwani na unaponunua haina hata risiti halafu anasema unaweza kutumia kukopa, mwambieni sisi siyo washamba kama yeye."
Lugha anazotumia Mh. Lissu kwa mpinzani wake hazijakaa vizuri.
 
Keyboard zinawadanganya sana kujitia mna akili, kafanyeni kazi mtabaki kulia lia tu.
Wewe mbona umekubali kulipwa buku 7? Kama unajua thamani ya kufanya kazi ungekaa korido za Lumumba?
 
"Kitambulisho hakina jina, anwani na unaponunua haina hata risiti halafu anasema unaweza kutumia kukopa, mwambieni sisi siyo washamba kama yeye."
ha ha ha !!
 
Wewe mbona umekubali kulipwa buku 7? Kama unajua thamani ya kufanya kazi ungekaa korido za Lumumba?
Hivi zile buku 7 enzi za nape kuwa katibu mwenezi hadi leo inaendelea?
 
Ego.... ana enjoy sifa bila ku focus kwenye kujieleza sera zake.....

Soon watalia tumeibiwa kura..

Viva Magu 2020 to 2030
Kumsema mtu jukwaani badala ya kunadi sera kisiasa ni sawa na kumpigia kampeni mwenzako. Unajionesha isingekuwa wao huna cha kuongea, ndiyo maana kila muda unataja mgombea wao.. Ni kuharibu hadhi
 
Tofauti kati ya JPM na TAL ni kuwa JPM ana mwaga sera zake kwa wana nchi ila TAL ana mwaga vihoja badala ya sera zake kwa wana nchi

JPM sj muumini wa vihoja, ila sera na ukweli halisi katka majukwaa yake haijalishi kuwa wahusika watampa kura au la kulingana na ukweli na misimamo yake.

TAL anatumia jukwaa kumchafua JPM kwa vihoja badala ya kuteta sera shawishi kwa raia badala yake anajaribu kupanda chuki kwa raia dhidi ya JPM

Kifupi JPM anajikita zaidi kwenye sera zake na kuomba kura kwa raia wote na kwa makundi yote bila kujali ushabiki wa vyama

TAL anajaribu kuleta tension tu ya kusikilizwa na raia kwa njia ya vijembe kuiponda serikali yao
Na ndio maana watu wanajaribu kumfuatilia kujua nini kasema leo ama la

Si unajua tena wabongo tulivyo kwenye habari tatanishi na za kutunga kuliko zile za ukweli wa mambo😂😂

Ni hayo tu
 
Bora hata buku 7 ingeendelea. Jiwe nasikia Kisha lzipunguza mpk bkkufukia buku 5
Kweli vijana wa lumumba wanapitia wakati mgumu ,wanafanya hiyo kazi kwa vile hamna ajira
 
Kuna mikopo ya vikundi ya Wajasiriamali kwa akina Mama na Vijana kutoka Serikalin
Nimewah kutaka kuwa Mnufaika
Kwanini nilaimike kuwa kwenye kikundi wakati Mimi nataka kufanya biashara zangu binafsi?
 
Kumbe vile vitambulisho havina jina wala picha?
kumbe kuna kazi kweli kweli ya kuelimishana nadhan ata pole pole hajui kama vile vitambulisho havina picha wala jina
 
Back
Top Bottom