Uchaguzi 2020 Lissu: Magufuli usidanganye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki

Uchaguzi 2020 Lissu: Magufuli usidanganye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki

Uongo tena wa hali juu
Ukisajili hata simu tu kwa kitambulisho cha NIDA unakopesheka sana tu uliza watu kibao tena uswahilini wasiokanyaga hata shule wanakopa.MIMI nakopesheka hadi milioni tano sihitaji dhamana wala mdhamini kwenye simu

Muulize yeyeo hata kwenye daladala tu au stendi ya basiu kuwa je mtu aweza kopa kwa tigopesa,Mpesa,AIRTEL money nk akapata pesa taslimu bila dhamana wala mdhamini

CHADEMA tuwe wakweli ufahamu wenu wa mambo nyie wenyewe na huyo mgombea wenu ni mdogo mno kuliko hata wa mwananchi wa kawaida kabisa wa uswahilini na vijijini

hebu fikiria mfano wewe mwenyewe angalia upumbavu ulioandika huo .SIKUSHANGAI NDIO MAANA UKO CHADEMA SABABU kule ni mkusanyiko wa wapumbavu kama wewe
Hivi MPESA, AIRTEL MONEY, TIGOPESA nazo ni benk?

Na ukienda benk kama Nmb Crdb na nyinginezo unaweza kutumia hicho kitambulisho kujipatia mkopo?

Nitoeni ujinga wakuu.
 
Lugha anazotumia Mh. Lissu kwa mpinzani wake hazijakaa vizuri.
Kwa sababu mpinzani mwenyewe hajakaa vizuri.
BTW hivi magu kuwaambia watu wasimchanganyie mara wakijichanganya hawataletewa maendeleo imekaa vizuri?
 
Duh naona huyu punguani anazidi tu kuvuka mstari mwekundu, haya yetu macho huyu kibwengo atakapoishia maana 28.10.2020 lazima atoswe. Suala la vitambulisho na kukopa ni initiatives za CRDB na Kigamboni na watu wamekopeshwa kwa kutumia hivyo vitambulisho na ushahidi upo, sasa huyu punguani anayeanguka kifafa anataka kudanganya watu kuwa haiwezekani wakati waliokopa wapo na wanaendelea wengine kukopa, mwambieni watu wake kuwa kachemsha!
Tutajie bank ambayo Inatoa mkopo kwa kutumia vikaratasi alivyotoa Magufuli maana hivyo sio vitambulisho
 
Mgombea urais chama cha demokrasia na maendeleo Tundu Lissu leo akiwa Singida amesema Magufuli aache kudanganya sisi siyo washamba kama yeye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki.
benki zinakopesha vikundi bila karatasi lolote itakua hicho kitambulisho?
lissu amenasa kwenye mtego anajikuta anamjibu Magufuli tu
 
Ulitumia kitambulisho cha Magufuli kukopa?
Hapa inaongelewa kukopa benki.
Kwanini nilaimike kuwa kwenye kikundi wakati Mimi nataka kufanya biashara zangu binafsi?
Utakuta na wewe ni graduate wa chuo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana Mkuu Sijasoma Mimi Elimu yangu ni Darasa la Saba tuu Nimesoma Lukozi huko, Magh'amba TANGA

ila Hongera Wewe GRaduate unaeshinda Mtandaoni kuilaumu SERIKALI yako
Hanithi ya akili wewe. Kakojoe ulale.
Asante mkuu
Tunalipuzia miaka 5 ya ukimya wetu

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Sio kuombea mkopo benki,bali hata kufungulia tu akaunti benki hakina sifa.
We mwache abishe.si mjuaji
yani kikundi upewe mkopo bila jina wala anuani wala picha?
Kwa hiyo?

Unaweza kukopea mikopo hiyo kwa kitambulisho hicho?

By the way, huyu Jiwe na CCM wote wanaelewa maana ya "kitambulisho" kweli?

Kitambulisho unapewa ili kikutambulishe kuanzia jina lako, mahali unapoishi, umri wako na taarifa zingine zote.

Sasa hiki cha Magufuli kinamtambulisha nani maana hakina vyote hivyo? Hiko ni kipande cha karatasi kisicho na maana yoyote..

Kimetumika kuiba pesa za watu tu hicho, NOTHING MORE, NOTHING LESS...

Hicho hata ukija kwangu au ukienda kwenye kikundi chochote hawakihesabu kama kitambulisho!!!
Ulitaka. Kwa hiyo hukunufaika.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Labda Nitoe Ufafanuzi Kidogo

Kuhusu Kutumia VITAMBULISHO VYA MAGUFULI kupata MIKOPO Mimi Sijui

ila ipo MIKOPO ya Wajasiriamali

Nimewahi Elekezwa kwenda Ofisi za kata kuwa kuna mikopo inatolewa kwa akina Mama na Vijana Wajasiliamali kupitia Bank ya DCB
Nimefika Nika kutana na Afisa Maendeleo wa kata Bahat nzuri Siku hiyo hiyo ndio ilikua Siku ya Marejesho, hivyo walikuepo watu waliokwisha chukua hiyo mikopo pamoja na Afsa Mikopo wa hiyo Bank na ndie alienipa Sifa na taratibu zoote za mikopo
 
Hapana Mkuu Sijasoma Mimi Elimu yangu ni Darasa la Saba tuu Nimesoma Lukozi huko, Magh'amba TANGA

ila Hongera Wewe GRaduate unaeshinda Mtandaoni kuilaumu SERIKALI yako Asante mkuu .
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Labda Nitoe Ufafanuzi Kidogo

Kuhusu Kutumia VITAMBULISHO VYA MAGUFULI kupata MIKOPO Mimi Sijui

ila ipo MIKOPO ya Wajasiriamali

Nimewahi Elekezwa kwenda Ofisi za kata kuwa kuna mikopo inatolewa kwa akina Mama na Vijana Wajasiliamali kupitia Bank ya DCB
Nimefika Nika kutana na Afisa Maendeleo wa kata Bahat nzuri Siku hiyo hiyo ndio ilikua Siku ya Marejesho, hivyo walikuepo watu waliokwisha chukua hiyo mikopo pamoja na Afsa Mikopo wa hiyo Bank na ndie alienipa Sifa na taratibu zoote za mikopo

Umeng'ang'ana weee kutetea kisichoteteeka

Huwezi kutetea jambo lililowazi kabisa kwa mtu yeyote mwenye ufahamu na akili timamu...

Mimi ninacho hicho vitambulisho. Nililazimika kulipa Tshs 20,000 kuondoa usunbufu kwa kuwa mtendaji wa mtaa wangu alikuwa anaviuza huku akiwa ameambatana na migambo, hakuna kubisha vinginevyo, utakuwa unapingana na AMRI YA RAIS MAGUFULI.

Sikupewa risiti na bado tozo zingine zote za huduma kama ushuru ktk halmashauri na mtaa wetu nk tunalipa. Sikupenda kupata taabu kwa sbb ya 20,000. Nilitoa lakini huku nikijua naibiwa!!

Kama usemacho hapa ni kweli, hebu fanya mpango uje unipeleke kwenye hiyo benki sujui ya DCB ili na mimi nichukue huo mkopo kwa kutumia kitambulisho hicho uone kama ni wajinga kama ninyi kuwapa fedha zao kwa kitambulisho hiki feki kisicho hata na jina la mwenye nacho!
 
Maswala ya kindungu yanakuhusu nini kama hujashilikishwa

Mpumbavu na wapumbavu wenzio hao ni Ndugu Wewe Unahusikaje ?
Uvccm tulitegemea mda huu muwe mshafika kilimanjaro kukabiliana na moto, Sasa huo uzalendo pori wenu ni wa kuimba mapambio na kumsifu meko tu, linapokuja suala linalohitaji uzalendo mnajificha kama mnadaiwa kodi na faza house mzaramo [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata kadi za crdb hazina picha, ulishashindwa kutoa pesa kwenye atm? huyu jamaa alishawaona majuha kweli
Ile accout no kwenye kadi yako ya crdb ikiwekwa katika systeam kuna detail zako zote mapaka ulichokula ndio tofauti iliyopo, zile kadi zenu hazina record unapigwa elfu20 jua kali halafu unalala mbele, hakuna risiti wala mavi ya nini
 
Umeng'ang'ana weee kutetea kisichoteteeka

Huwezi kutetea jambo lililowazi kabisa kwa mtu yeyote mwenye ufahamu na akili timamu...

Mimi ninacho hicho vitambulisho. Nililazimika kulipa Tshs 20,000 kuondoa usunbufu kwa kuwa mtendaji wa mtaa wangu alikuwa anaviuza huku akiwa ameambatana na migambo, hakuna kubisha vinginevyo, utakuwa unapingana na AMRI YA RAIS MAGUFULI.

Sikupewa risiti na bado tozo zingine zote za huduma kama ushuru ktk halmashauri na mtaa wetu nk tunalipa. Sikupenda kupata taabu kwa sbb ya 20,000. Nilitoa lakini huku nikijua naibiwa!!

Kama usemacho hapa ni kweli, hebu fanya mpango uje unipeleke kwenye hiyo benki sujui ya DCB ili na mimi nichukue huo mkopo kwa kutumia kitambulisho hicho uone kama ni wajinga kama ninyi kuwapa fedha zao kwa kitambulisho hiki feki kisicho hata na jina la mwenye nacho!

Aaaahhh Mbona unakua KING'ANG'ANIZI Mkuu Au Wewe ni MPUMBAVU ????

Nikupeleke kufanya Nini Chief
(Nikupeleke kwa Mpalange ? ntake radhi kaka [emoji23][emoji23])

Nimesha andika MKOPO KWA KITAMBULISHO CHA MAGUFURI HILO SIJUI

NINACHO KIJUA NA NILICHOSEMA MIMI MIKOPO YA WAJASIRILIAMALI IPO NA HAKUKUA NA KITAMBULISHO CYA WAJASIRIAMALI BASI !!!

SIJAZUNZUNGUMZIA MKOPO KWA KITAMBULISHO CHA MAGUFURI
 
Duh naona huyu punguani anazidi tu kuvuka mstari mwekundu, haya yetu macho huyu kibwengo atakapoishia maana 28.10.2020 lazima atoswe. Suala la vitambulisho na kukopa ni initiatives za CRDB na Kigamboni na watu wamekopeshwa kwa kutumia hivyo vitambulisho na ushahidi upo, sasa huyu punguani anayeanguka kifafa anataka kudanganya watu kuwa haiwezekani wakati waliokopa wapo na wanaendelea wengine kukopa, mwambieni watu wake kuwa kachemsha!
Ukitukana umamaana gani.
 
Hapana Mkuu Sijasoma Mimi Elimu yangu ni Darasa la Saba tuu Nimesoma Lukozi huko, Magh'amba TANGA

ila Hongera Wewe GRaduate unaeshinda Mtandaoni kuilaumu SERIKALI yako
Lazima ushinde mitandaoni kuwaona wanaoshinda kwenye mitandao. Hata kama utatumia utafiti, basi kwa kiasi fulani na wewe utashinda tu kwenye mitandao kwani utafiti hauna mwisho.
 
Lazima ushinde mitandaoni kuwaona wanaoshinda kwenye mitandao. Hata kama utatumia utafiti, basi kwa kiasi fulani na wewe utashinda tu kwenye mitandao kwani utafiti hauna mwisho.
Yani Alimradi tuu Uni'quote Hatakam Sijakujibu Wewe Ausio ??

Ni KWELI Hata Mimi Nashinda Mitandaoni kama Ninyi Lakini Sishindi KUILAUMU SERIKALI Lather than Being Positive for what they are doing HAKUNA MKAMILIFU Wala MZALENDO Wa kweli zaidi ya KATIBA ya Nchi tuu Hata Huyo TUNDU LISSU Sio Malaika Au Mtume kwamba Ataleta MIUJIZA Kwenye Maisha Yetu
 
Back
Top Bottom