Hizo ndo hoja,maana tuliaminishwa kuwa tunaweza kwenda benki na kupewa mikopoHakuna hoja yoyote hapo.Jamaa hana sera,kazi kumpakazia Magu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ndo hoja,maana tuliaminishwa kuwa tunaweza kwenda benki na kupewa mikopoHakuna hoja yoyote hapo.Jamaa hana sera,kazi kumpakazia Magu.
Kuna mikopo ya vikundi ya Wajasiriamali kwa akina Mama na Vijana kutoka Serikalin
Nimewah kutaka kuwa Mnufaika
Tunalipuzia miaka 5 ya ukimya wetuJiwe inabidi atajwe mara milioni na zaidi ktk kampeni hizi. Ni dikteta mshamba sana
Hivi MPESA, AIRTEL MONEY, TIGOPESA nazo ni benk?Uongo tena wa hali juu
Ukisajili hata simu tu kwa kitambulisho cha NIDA unakopesheka sana tu uliza watu kibao tena uswahilini wasiokanyaga hata shule wanakopa.MIMI nakopesheka hadi milioni tano sihitaji dhamana wala mdhamini kwenye simu
Muulize yeyeo hata kwenye daladala tu au stendi ya basiu kuwa je mtu aweza kopa kwa tigopesa,Mpesa,AIRTEL money nk akapata pesa taslimu bila dhamana wala mdhamini
CHADEMA tuwe wakweli ufahamu wenu wa mambo nyie wenyewe na huyo mgombea wenu ni mdogo mno kuliko hata wa mwananchi wa kawaida kabisa wa uswahilini na vijijini
hebu fikiria mfano wewe mwenyewe angalia upumbavu ulioandika huo .SIKUSHANGAI NDIO MAANA UKO CHADEMA SABABU kule ni mkusanyiko wa wapumbavu kama wewe
We ni zombie au binadam?hiv hvyo vitambulisho umeviona we kibwengu?Ama kweli nchi yetu chini ya jiwe ina maajabu ya binadam wasio na akiliHakuna hoja yoyote hapo.Jamaa hana sera,kazi kumpakazia Magu.
Kama Mitigator,amekosa akili kbsWe ni zombie au binadam?hiv hvyo vitambulisho umeviona we kibwengu?Ama kweli nchi yetu chini ya jiwe ina maajabu ya binadam wasio na akili
Kwa sababu mpinzani mwenyewe hajakaa vizuri.Lugha anazotumia Mh. Lissu kwa mpinzani wake hazijakaa vizuri.
Tutajie bank ambayo Inatoa mkopo kwa kutumia vikaratasi alivyotoa Magufuli maana hivyo sio vitambulishoDuh naona huyu punguani anazidi tu kuvuka mstari mwekundu, haya yetu macho huyu kibwengo atakapoishia maana 28.10.2020 lazima atoswe. Suala la vitambulisho na kukopa ni initiatives za CRDB na Kigamboni na watu wamekopeshwa kwa kutumia hivyo vitambulisho na ushahidi upo, sasa huyu punguani anayeanguka kifafa anataka kudanganya watu kuwa haiwezekani wakati waliokopa wapo na wanaendelea wengine kukopa, mwambieni watu wake kuwa kachemsha!
Lipuuzi wewKama Mitigator,amekosa akili kbs
benki zinakopesha vikundi bila karatasi lolote itakua hicho kitambulisho?Mgombea urais chama cha demokrasia na maendeleo Tundu Lissu leo akiwa Singida amesema Magufuli aache kudanganya sisi siyo washamba kama yeye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa benki.
Kuna mikopo ya vikundi ya Wajasiriamali kwa akina Mama na Vijana kutoka Serikalin
Nimewah kutaka kuwa Mnufaika
Ulitumia kitambulisho cha Magufuli kukopa?
Hapa inaongelewa kukopa benki.
Kwanini nilaimike kuwa kwenye kikundi wakati Mimi nataka kufanya biashara zangu binafsi?
Hapana Mkuu Sijasoma Mimi Elimu yangu ni Darasa la Saba tuu Nimesoma Lukozi huko, Magh'amba TANGAUtakuta na wewe ni graduate wa chuo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mkuuHanithi ya akili wewe. Kakojoe ulale.
Sio kuombea mkopo benki,bali hata kufungulia tu akaunti benki hakina sifa.
We mwache abishe.si mjuaji
yani kikundi upewe mkopo bila jina wala anuani wala picha?
Kwa hiyo?
Unaweza kukopea mikopo hiyo kwa kitambulisho hicho?
By the way, huyu Jiwe na CCM wote wanaelewa maana ya "kitambulisho" kweli?
Kitambulisho unapewa ili kikutambulishe kuanzia jina lako, mahali unapoishi, umri wako na taarifa zingine zote.
Sasa hiki cha Magufuli kinamtambulisha nani maana hakina vyote hivyo? Hiko ni kipande cha karatasi kisicho na maana yoyote..
Kimetumika kuiba pesa za watu tu hicho, NOTHING MORE, NOTHING LESS...
Hicho hata ukija kwangu au ukienda kwenye kikundi chochote hawakihesabu kama kitambulisho!!!
.Ulitaka. Kwa hiyo hukunufaika.
Ukiwaambia ukweli wanaishia kutukanaEgo.... ana enjoy sifa bila ku focus kwenye kujieleza sera zake.....
Soon watalia tumeibiwa kura..
Viva Magu 2020 to 2030
Hapana Mkuu Sijasoma Mimi Elimu yangu ni Darasa la Saba tuu Nimesoma Lukozi huko, Magh'amba TANGA
ila Hongera Wewe GRaduate unaeshinda Mtandaoni kuilaumu SERIKALI yako Asante mkuu .
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Labda Nitoe Ufafanuzi Kidogo
Kuhusu Kutumia VITAMBULISHO VYA MAGUFULI kupata MIKOPO Mimi Sijui
ila ipo MIKOPO ya Wajasiriamali
Nimewahi Elekezwa kwenda Ofisi za kata kuwa kuna mikopo inatolewa kwa akina Mama na Vijana Wajasiliamali kupitia Bank ya DCB
Nimefika Nika kutana na Afisa Maendeleo wa kata Bahat nzuri Siku hiyo hiyo ndio ilikua Siku ya Marejesho, hivyo walikuepo watu waliokwisha chukua hiyo mikopo pamoja na Afsa Mikopo wa hiyo Bank na ndie alienipa Sifa na taratibu zoote za mikopo
Uvccm tulitegemea mda huu muwe mshafika kilimanjaro kukabiliana na moto, Sasa huo uzalendo pori wenu ni wa kuimba mapambio na kumsifu meko tu, linapokuja suala linalohitaji uzalendo mnajificha kama mnadaiwa kodi na faza house mzaramo [emoji3][emoji3]Maswala ya kindungu yanakuhusu nini kama hujashilikishwa
Mpumbavu na wapumbavu wenzio hao ni Ndugu Wewe Unahusikaje ?
Ile accout no kwenye kadi yako ya crdb ikiwekwa katika systeam kuna detail zako zote mapaka ulichokula ndio tofauti iliyopo, zile kadi zenu hazina record unapigwa elfu20 jua kali halafu unalala mbele, hakuna risiti wala mavi ya ninihata kadi za crdb hazina picha, ulishashindwa kutoa pesa kwenye atm? huyu jamaa alishawaona majuha kweli
Umeng'ang'ana weee kutetea kisichoteteeka
Huwezi kutetea jambo lililowazi kabisa kwa mtu yeyote mwenye ufahamu na akili timamu...
Mimi ninacho hicho vitambulisho. Nililazimika kulipa Tshs 20,000 kuondoa usunbufu kwa kuwa mtendaji wa mtaa wangu alikuwa anaviuza huku akiwa ameambatana na migambo, hakuna kubisha vinginevyo, utakuwa unapingana na AMRI YA RAIS MAGUFULI.
Sikupewa risiti na bado tozo zingine zote za huduma kama ushuru ktk halmashauri na mtaa wetu nk tunalipa. Sikupenda kupata taabu kwa sbb ya 20,000. Nilitoa lakini huku nikijua naibiwa!!
Kama usemacho hapa ni kweli, hebu fanya mpango uje unipeleke kwenye hiyo benki sujui ya DCB ili na mimi nichukue huo mkopo kwa kutumia kitambulisho hicho uone kama ni wajinga kama ninyi kuwapa fedha zao kwa kitambulisho hiki feki kisicho hata na jina la mwenye nacho!
Ukitukana umamaana gani.Duh naona huyu punguani anazidi tu kuvuka mstari mwekundu, haya yetu macho huyu kibwengo atakapoishia maana 28.10.2020 lazima atoswe. Suala la vitambulisho na kukopa ni initiatives za CRDB na Kigamboni na watu wamekopeshwa kwa kutumia hivyo vitambulisho na ushahidi upo, sasa huyu punguani anayeanguka kifafa anataka kudanganya watu kuwa haiwezekani wakati waliokopa wapo na wanaendelea wengine kukopa, mwambieni watu wake kuwa kachemsha!
Lazima ushinde mitandaoni kuwaona wanaoshinda kwenye mitandao. Hata kama utatumia utafiti, basi kwa kiasi fulani na wewe utashinda tu kwenye mitandao kwani utafiti hauna mwisho.Hapana Mkuu Sijasoma Mimi Elimu yangu ni Darasa la Saba tuu Nimesoma Lukozi huko, Magh'amba TANGA
ila Hongera Wewe GRaduate unaeshinda Mtandaoni kuilaumu SERIKALI yako
Yani Alimradi tuu Uni'quote Hatakam Sijakujibu Wewe Ausio ??Lazima ushinde mitandaoni kuwaona wanaoshinda kwenye mitandao. Hata kama utatumia utafiti, basi kwa kiasi fulani na wewe utashinda tu kwenye mitandao kwani utafiti hauna mwisho.