Mimi sijawahi kuzungusha mikono yangu popote wala kuitika ndio mahali popote,Lakini maoni haya ya Lisu yameniingia barabara kama mwenye nchi yangu,sasa wewe unaejaribu kutetea tumbo lako utaniambia nini nisiye zungusha mikono alaf nimuelewa.Wakati tunajadili na kuchukua maoni ya wadau hakuwepo leo hii anatujia na porojo!!
HII NI HABARI NJEMA KWA WAZUNGUSHA MIKONO...LISSU KESHAJUA VILAZA WANARAKA NINI...NA ATAWAPA NA KUENDELEA KUWAPA HIKO MNACHOKITAKA. ..
Namkubali Rugemeleza
haya soma sheria hizo kisha tupatie tafsiri sahihi ya vifungu husika kuhusiana na suala hili."itaendelea kutambuliwa kwa sharti la kufanyiwa marekebisho"
Hiyo tafsiri unaipata wapi?
Tundu Lissu kuonyesha yuko vizuri angewapa ushauri wa bure na technicalities ya vipi tutanasuka katika hili
Moja ya silaha za Lissu ni matumizi ya lugha kali. Lazima watu waamke.'Professorial rubbish' ... hili neno ni la kuudhi lakini kama vile lina ukweli
Taarifa iliyotoka siku ile ni kulipwa mwekezaji alitubu na kukiri kutuibia au hajapewa A/C ya malipo?Lissu sijui hakumuelewa Magu au ndo muendelezo wake wa kuponda kila kitu? Rais alisema Acacia na timu ya wataalam wa TZ watakaa warekebishe mkataba ili kuwe na win-win situation, hajasema bunge ndo litafanya kazi hiyo
Wenzio walishamaliza maeneo yenye mashapo makubwa ya dhahabu iliyobaki ni maeneo ambayo tutachimba sisi wadogo na vikampuni vidogoSwali. ACACIA wakitaka kuchimba kwenye mgodi mwingine, let say, upo Kigoma, ina maana mabadiliko haya hayatawagusa??
Huyu ndio Tundu Antipasi Lissu ninaye mfahamu
Huwezi kuona. Mambo yanayotaka matumizi ya akili huwezi kutumia masaburi ukafanikiwalissu haeleweki yupo upande gani kutwa nzima anaongea na CEO wa acacia alafu anajifanya kuishauri serikali,lissu ni kibaraka wa acacia!sioni mashiko yoyote kwenye andiko lake,
Nimemuelewa vizuri, kaongea mantiki ila tunasubiri pia la kushtakiwa na acacia kama alivyoshadadia mwanzo!!
Sheria zinatumika kinyume kinyume?
Shame upon youTumuache Raisi wetu afanye Kazi
Imekuingia kisawasawa, mzalendo asiyetumia mikakati sahihi ni mtu anayepoteza muda. Tunao wazalendo wengi nchi hii ila shida ni pale tunapotaka mzalendo na kiongozi. Poor magu! Alitakiwa aongoze familia yake pekee lakin sasa ni raisupuuzi tu..mtu unajidai msomi unashusha mistari ya kibongo fleva kumkejeli rais mzalendo kama magufuli. kibarua acacia wanakulipa bei gani..mtu mzima ovyoooo.
Walishaweka pamba skioni, hawataki kuskia yanayotoka kwa lissu, hawataki hata kidogo, wanaamin atapata promo kisiasaMimi nilidhani, kwasababu Lissu ni mbunge angetoa huo mchango wake kwanza kule bungeni. Kama hawakumsikiliza ndio aje huku. Nafikiri ndio ingekuwa busara.
Ndugu yangu usisumbuke bure, Watanzania hawana sababu ya kutafuta ukweli au weledi wa kujua kinachoendelea ndani ya Taifa lao, Watanzania wamebakia kuwa washangiliaji hata kwa yale ambayo yanawaumiza direct, kwa sababu wengi ya Watz ni MENTAL DISORDERS.Narudia kusema,watu aina ya Tundu Lissu hakupaswa kuzaliwa katika nchi kama hii bali walipaswa kuzaliwa katika nchi za wenzetu ambako bila shaka wangekuwa wameshapata recognition.
Bahati mbaya sana maoni haya ya kina Lissu yanaishia tu mitandaoni ila ya bwana yule ndio yanatangazwa dunia muzima na bahati mbaya sana sisi binadamu wengi hatutafuti habari za siasa na wanasiasa kama tunavyotafuta habari zinazohusu gossip,sex,soccer,jokes,etc na badala yake tunasubiri kuletewa/kutangaziwa habari hizi na bahati mbaya zaidi kwa hapa kwetu habari zinazotangazwa zaidi na media ni zile za watawala na sio hizi za kina Lissu tunazopaswa kuzitafuta mitandaoni na kwingineko.
Angalieni hata magazeti yetu siku hizi yalivyojaa ushabiki.
Tundu Lissu nakushauri angalia uwezekano wa kuongea na wahariri wa vyombo vya habari ili wakusaidie kufikisha kwa wananchi haya unayosema na kuyaandika mitandaoni maana wengi hayawafikii.