Guse
Member
- May 30, 2017
- 40
- 21
Hiyo ndo ile akili ya kuambiwa siyo ya mtu Mwenye kumiliki smart phoneTumuache Raisi wetu afanye Kazi
Hiyo ndo ile akili ya kuambiwa siyo ya mtu Mwenye kumiliki smart phoneTumuache Raisi wetu afanye Kazi
Magazeti wanaogopa KUFUNGIWA baada ya KUTISHWA MAJUKWAANI NA KWENYE HOTUBA KALI.Narudia kusema,watu aina ya Tundu Lissu hakupaswa kuzaliwa katika nchi kama hii bali walipaswa kuzaliwa katika nchi za wenzetu ambako bila shaka wangekuwa wameshapata recognition.
Bahati mbaya sana maoni haya ya kina Lissu yanaishia tu mitandaoni ila ya bwana yule ndio yanatangazwa dunia muzima na bahati mbaya sana sisi binadamu wengi hatutafuti habari za siasa na wanasiasa kama tunavyotafuta habari zinazohusu gossip,sex,soccer,jokes,etc na badala yake tunasubiri kuletewa/kutangaziwa habari hizi na bahati mbaya zaidi kwa hapa kwetu habari zinazotangazwa zaidi na media ni zile za watawala na sio hizi za kina Lissu tunazopaswa kuzitafuta mitandaoni na kwingineko.
Angalieni hata magazeti yetu siku hizi yalivyojaa ushabiki.
Tundu Lissu nakushauri angalia uwezekano wa kuongea na wahariri wa vyombo vya habari ili wakusaidie kufikisha kwa wananchi haya unayosema na kuyaandika mitandaoni maana wengi hayawafikii.
Hata familia yake imemshinda kuiongoza kwa weledi, badala yake anawatandika makofi na mateke.Imekuingia kisawasawa, mzalendo asiyetumia mikakati sahihi ni mtu anayepoteza muda. Tunao wazalendo wengi nchi hii ila shida ni pale tunapotaka mzalendo na kiongozi. Poor magu! Alitakiwa aongoze familia yake pekee lakin sasa ni rais
Nimeona tu jinsi unavyomchukia lissu, unataman umfyatue risasi hadharan, labda maisha yako yatakuwa ya furaha.Makampuni ya madini kama Barrick na mtoto wao Acacia walishaingia mkataba na Tanzania.Ili Tanzania iweze kubadili mikataba iliyosainiwa huko nyuma ni lazima kwanza ubadili baadhi ya vifungu vya sheria inayosimamia sekta ya madini. Hiki ndicho kitachofuata baada ya muswada kuwa sheria, kwamba Tanzania itaanza majadiliano na makampuni ya madini kuhusu TERMS OF BUSINESS. Huwezi kufanya mazungumzo - negotiate new terms of business - kama sheria zako hazikupigi wigo wa kufanya hivyo.
Wakati mwingine inatia kinyaa kuona arrogance ya Lissu so publicly displayed. Ni kwanini Lissu anakosa mipaka ya kudharau Watanzania (kwa ujumla wao) kwa kujiona kuwa yeye ndiye anayelewa mambo zaidi ya wengine.
Kama kweli alikuwa mwerevu, ni kwanini tangu ashike usukani CHADEMA, kama Chama kimekosa mwelekeo? Zitto pamoja na mapungufu yake bado ameweza kuongoza ADC kuchambua miswada na kuwasilisha michango yao. CHADEMA na huyo 'learned brother' wao wamebakia kubuni rangi ya mavazi ya kuvaa bungeni! Very unfortunate. Hata kwenye hili?
Tundu Lisu hatakiwi kuonekanika hata anazungumza maana Ngosha wa Chato atashindwa kula hela zake kilaini....Tundu Lissu kuonyesha yuko vizuri angewapa ushauri wa bure na technicalities ya vipi tutanasuka katika hili
Kumbe ulikuwa DOM, we mtu wa serikali ndio maana unaungua matako kama pasi (kushabikia kwa hali ya juu sana)Wakati tunajadili na kuchukua maoni ya wadau hakuwepo leo hii anatujia na porojo!!
HII NI HABARI NJEMA KWA WAZUNGUSHA MIKONO...LISSU KESHAJUA VILAZA WANARAKA NINI...NA ATAWAPA NA KUENDELEA KUWAPA HIKO MNACHOKITAKA. ..
Namkubali Rugemeleza
Lissu sijui hakumuelewa Magu au ndo muendelezo wake wa kuponda kila kitu? Rais alisema Acacia na timu ya wataalam wa TZ watakaa warekebishe mkataba ili kuwe na win-win situation, hajasema bunge ndo litafanya kazi hiyo
Naunga mkono hojaNarudia kusema,watu aina ya Tundu Lissu hakupaswa kuzaliwa katika nchi kama hii bali walipaswa kuzaliwa katika nchi za wenzetu ambako bila shaka wangekuwa wameshapata recognition.
Bahati mbaya sana maoni haya ya kina Lissu yanaishia tu mitandaoni ila ya bwana yule ndio yanatangazwa dunia muzima na bahati mbaya sana sisi binadamu wengi hatutafuti habari za siasa na wanasiasa kama tunavyotafuta habari zinazohusu gossip,sex,soccer,jokes,etc na badala yake tunasubiri kuletewa/kutangaziwa habari hizi na bahati mbaya zaidi kwa hapa kwetu habari zinazotangazwa zaidi na media ni zile za watawala na sio hizi za kina Lissu tunazopaswa kuzitafuta mitandaoni na kwingineko.
Angalieni hata magazeti yetu siku hizi yalivyojaa ushabiki.
Tundu Lissu nakushauri angalia uwezekano wa kuongea na wahariri wa vyombo vya habari ili wakusaidie kufikisha kwa wananchi haya unayosema na kuyaandika mitandaoni maana wengi hayawafikii.
Kawaje aisee?Tundu Lisu hatakiwi kuonekanika hata anazungumza maana Ngosha wa Chato atashindwa kula hela zake kilaini....
Kwa ufupi angalia kilichomkuta mkuu wa mkoa wa Mwanza sahiv kisa kufatilia miradi ya wakubwa kupitia Bashite
Atawapaje ushauri wakati kila mtu anayesema tofauti na wao anaambiwa kuwa amehongwa pesa!! Na sio mzalendo wa nchi.Tundu Lissu kuonyesha yuko vizuri angewapa ushauri wa bure na technicalities ya vipi tutanasuka katika hili
Mkuu umenifurahisha sana.Bora Lissu anatumia muda wake wa ziada kutufunulia yale tusiyoyajua na kuyaona.
Inashangaza wakata mauno wa Lumumba wao kazi yao kubwa ni kusikiliza kipenga kisha waanza kukata shanga..
Jinga kweli kweli jingalaoWakati tunajadili na kuchukua maoni ya wadau hakuwepo leo hii anatujia na porojo!!
HII NI HABARI NJEMA KWA WAZUNGUSHA MIKONO...LISSU KESHAJUA VILAZA WANARAKA NINI...NA ATAWAPA NA KUENDELEA KUWAPA HIKO MNACHOKITAKA. ..
Namkubali Rugemeleza
Chombo/Mhimili upi unaotunga sheria, pamoja na hizo za mikataba?Lissu sijui hakumuelewa Magu au ndo muendelezo wake wa kuponda kila kitu? Rais alisema Acacia na timu ya wataalam wa TZ watakaa warekebishe mkataba ili kuwe na win-win situation, hajasema bunge ndo litafanya kazi hiyo
matusi ya nini? unatabia kama za lissu kutukana wenzie,sikushangai mkawekwa sero mnaanza kulia liaTuma picha tukuunge mkono. Kweli simpendi Lisu ila kama huna ushaidi usiwe kama Sh..o ..ga. Maana hiyo ni Tabia mbaya sana
Wenzio walishamaliza maeneo yenye mashapo makubwa ya dhahabu iliyobaki ni maeneo ambayo tutachimba sisi wadogo na vikampuni vidogo
Kwenye sheria wameruhusu mchimbaji ndogo kuajiri kampuni la kigeni kwa maana ya kuchimba na kwenye mikataba hayataguswa kwani mwenye leseni ni mchimbaji mdogo
Ipi?! Hamna hata haya!!Tumuache Raisi wetu afanye Kazi