Lissu: Makampuni yaliyotunyonya tangu 90's hayapo kwenye sheria ya madini

Hatoagiii anasema ye ndo alichaguliwa kutusombeleaa kwenye Lori lakeee mpakaa kuleeeee !!!!!
Hata vile vichwa vya treni visivyo na mwenyewe inatosha kuendelezea fani maana kukaa bila noa noma.
 
Tumuache Raisi wetu afanye Kazi
Ya kufuga wazungu
 
Tulimwambia aje kutoa maoni akakimbia sasa hivi anakuja kujivua nguo na porojo zake za MIGA

Porojo gani mkuu maana kinajadiliwa na kuitishwa hakiusiani na mikataba ya sasa ya ACACIA bali wawekazaji wajao?
Sasa sijui tunawadhibiti vipi ili watulipe yale mamilioni???
 
Wakati tunajadili na kuchukua maoni ya wadau hakuwepo leo hii anatujia na porojo!!

HII NI HABARI NJEMA KWA WAZUNGUSHA MIKONO...LISSU KESHAJUA VILAZA WANARAKA NINI...NA ATAWAPA NA KUENDELEA KUWAPA HIKO MNACHOKITAKA. ..

Namkubali Rugemeleza
Ulisema lissu kakaa kimya!!
 
Tundu Lissu kuonyesha yuko vizuri angewapa ushauri wa bure na technicalities ya vipi tutanasuka katika hili
Si Rais wenu anajitia kujua??? fanyeni hayo wenyewe!
 
Kama ndio hivyo dharula ilihusu kitu gani sasa, kwa nini watanzania wasipewe muda kujadili mustakabari wa mali zao,nasema tena hapakuhitajika dharula katika hili, aissee aah hapana bwana
 
Ninavoelewa ni kwamba majadiliano bado hayajafanyika na ktk majadiliano kutakua na wini-win situation. Na hizi sheria zinaweza kuingizwa ktk hayo maafikiano watakayokubaliana. Leo hii unaingia kwenye meza ya majadiliano na sheria zilezile mbovu je mkikubaliana mrekebishe baadhi ya sheria mtatumia vifungu gani?
Kwahiyo hizi sheria naamn kabisa kama kutakua nà maridhiano bas baadhi zitatusaidia.

Kingine ambacho nashindwa kuelewa ni aina gani ya uzalendo alionao lisu.sijawahi ona chapisho lake lolote akielezea namna gani tunaweza kutoka zaid ya kuwa ni mkosoaji tu.

Ukiwa na kakumbukumbu hata kadogo hutapata taabu kumjua lisu ni mtu wa aina gani.Huyuhuyu ndie aliyeleta habar za MIGA na kututisha TUTASHITAKIWA. Lkn hadi leo hakuna kesì yyt mahakaman.Naweza sema lisu ni mpira ramli akiyepata kundi kubwa la wafuasi wasio na LOGICAL REASONING. Saiz kaja na ramli za kuwa makinikia yataachiwa kimyakimya. MUDA NI MWALIMU tusubir hayo makinikia yakiachiwa kimyakimya.
 
Tulijua toka mwanzo ilikua ni kiki kma pikipiki yani vespa aka bata vuziiiii
 
Ndugu yangu Salary Slip umemaliza kila kitu sina nyongeza. Hongera sana kwa uchambuzi wako makini.
 
Tujiondoe kwenye MIGA kwanza ili tufanye yetu pia hamtaki mkidhani Lissu atashinda; zungukeni wee mtarudi palepale kwa Lissu. Akina Paramagamba wanakufa na ushauri kifuani kisa the Boss ataki kusikia yaliyosemwa na Lissu ndo yamechukuliwa.
Mikataba mingapi hapa Tz inasimamiwa na MIGA?au ni acacia tu?kamà iko mingi huoni kuwa ni ujuha kujitoa MIGA kwa ajil ya kampuni moja tu?Wamesema pande mbili zitakaa wafikie muafaka lkn ww bado unakariri MIGA tu.Hii ni vita unapambana na mabepari wa dunia sio mashamba ya mbowe. Mimi nafikiri jpm na kamati yake wanaona mbali mno kuliko mnavodhani.na msijidanganye kwamba hiyo MIGA serikal haiijui zaid ya lisu tu.
 
Muswada wa sheria uliopita kwa hati ya dharura Lisu anautambua, na hapa anasema ..
" Muswada unaojadiliwa leo umetamka wazi kuwa mikataba ya uendelezaji madini iliyopo sasa itaendelea." na
"Muswada wa leo unafanya mabadiliko makubwa ya kisheria kwa makampuni yatakayokuja miaka ijayo."
-> Hilo sharti la kufanyiwa marekebisho ili kuendana na sheria ya Mapitio na Majadiliano kuhusu Masharti Hasi ktk Mikataba ya 2017, ni mwekezaji gani aliyekuwepo na ambaye bado yupo kwa mujibu wa mkataba wa awali atakubali kuendelea kuwepo na kufanya marekebisho ya mkataba ili kuendana na huu wa 2017? Na kama umefanyiwa marekebisho asilimia za mrahaba zitapanda kutoka 3%/4% mpaka 50% au zaidi?
 
Lissu sijui hakumuelewa Magu au ndo muendelezo wake wa kuponda kila kitu? Rais alisema Acacia na timu ya wataalam wa TZ watakaa warekebishe mkataba ili kuwe na win-win situation, hajasema bunge ndo litafanya kazi hiyo
Tunataka mikataba iwekwe waz,hzo swaga unazoleta ww ndo zle zle za zaman,hv ww unaamin vp kuwa hlo litafankiwa na hali ya kuwa hlo suala lilianza kwa waz then leo liishe kwa kificho,how come?
 
Utawala wa baba jesca unatupeleka jahanam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…