maoni ya nini? mko tayari kuyachukua anyway...ninyi chukueni maoni ya kina msukuma kina mlinga na kina lusinde yanawatoshaTulimwambia aje kutoa maoni akakimbia sasa hivi anakuja kujivua nguo na porojo zake za MIGA
Acacia wangetushataki kama hiyo sheria mpya ingetumika kwao. Ndiyo maana TL alisema toka mwanzo ili kuwashughulikia hawa waliopo ni lazima tujiondoe MIGA and other bilateral trade agreements na ndiyo maana ukiosoma hapo kina sehemu anasema jpm kashindwa kama alivyotabiri. Hii ndiyo wazungu husema means justify ends, TL aliona means na intention za jpm akaona lazima tutaangukia kushtakiwa, JPM kukwepa hilo kasema hawa sheria haiwagusi. Kijana fungua akili yakoNimemuelewa vizuri, kaongea mantiki ila tunasubiri pia la kushtakiwa na acacia kama alivyoshadadia mwanzo!!
Halafu hawa bavicha wanashangilia utafikiri watoto wadogo waliotupiwa pipi.Tulimwambia aje kutoa maoni akakimbia sasa hivi anakuja kujivua nguo na porojo zake za MIGA
Mkuu wa nchi kaita watu majizi na kuamuru waliosaidia majizi wawajibishwe na kufanyiwa uchunguzi kuitafuta jinai wewe unasema kitu gani hapa!Lissu sijui hakumuelewa Magu au ndo muendelezo wake wa kuponda kila kitu? Rais alisema Acacia na timu ya wataalam wa TZ watakaa warekebishe mkataba ili kuwe na win-win situation, hajasema bunge ndo litafanya kazi hiyo
Muswada mpya wa madini hautahusu migodi inayoendelea - Kabudi .Kwa hiyo mnamuamini sana Lissu kuwa mikataba iliyopo haitarekebishwa? Duu! watanzania tumerogwa sana
Kwan yeye si Mtanzania mpaka a one kutoa ushauri mzuri kwa Taifa ni hsan. .kashkwa pabaya nlkua namkubali sana lakin amedhiirsha kua si mzalendo na ni cheap ana beiTundu Lissu kuonyesha yuko vizuri angewapa ushauri wa bure na technicalities ya vipi tutanasuka katika hili
Tafsiri ya kifungu hiki ni kuwa mikataba ya madini ambayo taifa liliingia huko nyuma na ambayo inaendelea kuishi hadi sasa imewekewa sharti la kufanyiwa marekebisho ili kuendana na Sheria ya Mapitio na Majadiliano kuhusu Masharti Hasi katika Mikataba inayohusu Maliasili za Nchi, 2017 iliyopitishwa bungeni jana. Soma PART III kifungu cha 6 na 7 katika sheria hiyo.
wewe vipi, sheria tayari zimepitishwa tangu jana.Hii unayosema ni kweli endapo hao wawekezaji ni vilaza. Si watawahi kukimbilia kushitaki kabla sheria hazijapitishwa?
ripoti ya kwanza ilipotoka tundu Lissu aliipinga na kutishiwa kuwa kama nchi tutashitakiwa ilo likapita ,ikatoka ripoti ya pili na sasa miswada imepelekwa bungeni kwa hati ya dharula tofauti na vipindi vya nyuma ambacho miswada ya dharula ililenga kuwanufaisha watu wachache safari hii imelenga kulinda maslahi ya nchi.Tundu Lissu badala ya kukaa bungeni na kutoa mchango wake bado amekaa huku nje na kupiga porojo na bahati mbaya ameambukiza watu wengi hii tabia ya kupingapinga
wewe vipi, sheria tayari zimepitishwa tangu jana.
wewe vipi, sheria tayari zimepitishwa tangu jana.Hii unayosema ni kweli endapo hao wawekezaji ni vilaza. Si watawahi kukimbilia kushitaki kabla sheria hazijapitishwa?
hawataki sasa kisa ni mpinzani na rais wa TLSTundu Lissu kuonyesha yuko vizuri angewapa ushauri wa bure na technicalities ya vipi tutanasuka katika hili
Ni Bahati mbaya kabisa kuwa watu huwa hawamweewi Lissu.Alishasema kama tunataka kufanikiwa katika hili,sharti tujiondoe kwenye mikataba ya kimataifa inayolinda haki za wawekezaji,ndipo tutunge sheria mpya.Tundu Lissu kuonyesha yuko vizuri angewapa ushauri wa bure na technicalities ya vipi tutanasuka katika hili
Samahani wewe ni slow slow sababu hili uliliongea juzi ITV 😀😀😀Ninavoelewa ni kwamba majadiliano bado hayajafanyika na ktk majadiliano kutakua na wini-win situation. Na hizi sheria zinaweza kuingizwa ktk hayo maafikiano watakayokubaliana. Leo hii unaingia kwenye meza ya majadiliano na sheria zilezile mbovu je mkikubaliana mrekebishe baadhi ya sheria mtatumia vifungu gani?
Kwahiyo hizi sheria naamn kabisa kama kutakua nà maridhiano bas baadhi zitatusaidia.
Kingine ambacho nashindwa kuelewa ni aina gani ya uzalendo alionao lisu.sijawahi ona chapisho lake lolote akielezea namna gani tunaweza kutoka zaid ya kuwa ni mkosoaji tu.
Ukiwa na kakumbukumbu hata kadogo hutapata taabu kumjua lisu ni mtu wa aina gani.Huyuhuyu ndie aliyeleta habar za MIGA na kututisha TUTASHITAKIWA. Lkn hadi leo hakuna kesì yyt mahakaman.Naweza sema lisu ni mpira ramli akiyepata kundi kubwa la wafuasi wasio na LOGICAL REASONING. Saiz kaja na ramli za kuwa makinikia yataachiwa kimyakimya. MUDA NI MWALIMU tusubir hayo makinikia yakiachiwa kimyakimya.
Lissu anawadanganya sana nyumbu!! Akisema tu wanashangilia kama kawaida yao. Kwanza mikataba yote ipashwa kufanyiwa review kila baada ya miaka mitano hii ni kwa mujibu wa sheria ya madini ya 2010. Sasa anaposema sheria zilizopitishwa haziwahusu Acacia ana wadanganya nyumbu tu. Review ya existing mikataba ipo pale pale kwa maana nyingine wakati wa review hii mikataba automatically sheria hizi mpya ndiyo sitatumika na wala si vifungu vya sheria ya zamani ambavyo vimefutwa na sheria hii. Jamani tumieni akili kidogo basi si kila kitu anachosema TL mnashangilia!Acacia wangetushataki kama hiyo sheria mpya ingetumika kwao. Ndiyo maana TL alisema toka mwanzo ili kuwashughulikia hawa waliopo ni lazima tujiondoe MIGA and other bilateral trade agreements na ndiyo maana ukiosoma hapo kina sehemu anasema jpm kashindwa kama alivyotabiri. Hii ndiyo wazungu husema means justify ends, TL aliona means na intention za jpm akaona lazima tutaangukia kushtakiwa, JPM kukwepa hilo kasema hawa sheria haiwagusi. Kijana fungua akili yako