Anatumia chama kujinufaisha binafsiHivi kwanini Mbowe anang'ang'ania pale? Kwani kuna nini hasa?
Hahahaha Hakika..Hamna kitu kibaya hapa duniani kama kuwa upande wa pili wa Lissu( Na uzuri wa Lissu huwa hana konakona, hata ukimwambia hii ni siri kuna siku utaikuta gazetini)
umeongea pointless aisee..Anasema ana mdomo mpana,
Wanaomshabikia kuna siku atawarudia..
Kama hata vikao vya sir anaropoka mpaka eneo walilofanyia.. imagine ni top boss wa CDM.....
Siasa za upinzani kuendesha chama sio kazi rahisi .
Kuendesha chama kwa kusema tu?
Tupo
Mifano ya waropokaji;Labda nikujibu kwa kirefu ili upate shule kidogo,
Tofauti kati ya mtu muwazi na mropokaji ni kama ifuatavyo:
Mtu Muwazi
- Maana: Huyu ni mtu anayesema ukweli kwa uwazi, lakini kwa hekima na kwa kufuata mipaka ya kile kinachostahili kusemwa.
- Tabia:
- Anaelezea mawazo au hisia zake kwa uwazi na kwa njia inayoheshimu wengine.
- Hutoa maelezo pale inapohitajika bila kuzidisha.
- Huzingatia faragha ya watu wengine na mazingira yanayomzunguka.
- Anakuwa mkweli na wa moja kwa moja, lakini bila kuumiza hisia za watu.
- Madhara:
- Mara nyingi anapendwa kwa sababu ya uaminifu wake.
- Anaaminika na watu kwa sababu ya uwazi wake wa kufikiria na kusema.
Mropokaji
Kwa ufupi, muwazi ni mwenye busara katika kusema, wakati mropokaji hana mipaka wala umakini. Tofauti kubwa ni hekima na uangalifu katika mawasiliano.
- Maana: Huyu ni mtu anayesema mambo bila kufikiria mara mbili, mara nyingine bila kuzingatia athari za maneno yake.
- Tabia:
- Hutoa habari nyingi, hata zile zisizo na umuhimu au zinazoweza kusababisha madhara.
- Hajali mipaka ya faragha ya wengine au athari za maneno yake.
- Anaweza kusema vitu vya siri, visivyotakiwa au vya kufedhehesha.
- Husema bila kufikiria, mara nyingine akiongea kwa haraka.
- Madhara:
- Mara nyingi huonekana kama mtu asiyeaminika au asiyejali hisia za wengine.
- Huwa chanzo cha migogoro, fitina, au kutokuaminiana.
- Anaweza kupoteza heshima kwa sababu ya tabia yake ya kuropoka bila busara.
Sasa kama ni hivyo kwanini amzuie Lissu asigombee chochote kati ya uenyekiti au urais?Sidhani kama Mbowe anataka kugombea urais. Na inawezekana kuwa ni kweli alikuwa hajaamua kugombea uenyekiti. Mimi nahisi alifanya uamuzi wa kugombea baada ya lugha za kebehi dhidi yake kusheheni mitandaoni. Naamini alikuwa chini ya presha kubwa kutoka kwa ndugu na jamaa za kumtaka asigombee. Ni zile alizoita character assassinations ndio zilimsukuma afanye huo uamuzi.
Kazi sasa ni kwa wapiga kura. Ukweli haya mambo ya vijembe yanasikitisha na yanachosha.
Amandla...
Mkuu, unani kumbusha enzi hizo huko Malawi. "Aliekuwa Rais wa Malawi Mh H.K. Banda - RIP, alifunguliwa mashitaka; wakati anasomewa mashitaka yake na Mheshimiwa Jaji kwamba " Unashitakiwa na Rais wa Malawi kwa makosa ya .........." Rais Banda alishutuka sana na aka wauliza mawakili wake kwamba, huyo ni Rais gani tena! wakati mimi sijui jambo hilo" Kwa heshima mawakili walimtuliza na kumtaka atulie ....; Mkuu, haya ndio madhara ya kukaa madarakani bila kufuata taratibu na sheria muda mrefu na hivyo kujiona wewe ni wewe tu hamna mwingine zaidi yako. Haya ndio leo tuna yaona sasa, ndani CHADEMA hii.Mbowe anaamini kabisa kuwa CHADEMA ni chama CHAKE BINAFSI.
Ngoja tuone hii movie ya kutisha itaendeleaje.
Hivyo ndivyo ulivyomuelewa Lissu. Lissu alitangaza nia ya kugombea urais kitambo tu na sijamsikia kiongozi yeye akimkemea kwenye hilo. Mbowe hana tatizo na Lissu kugombea urais. Alichosema kuwa unahitajika muda ni yeye kuamua kama anataka kugombea urais kama ambavyo Lissu alipendekeza. Hivyo hivyo kwenye kugombea Uenyekiti. Hapa shida ilikuwa ni Lissu kutaka kugombea nafasi hiyo tu. Kwa maneno yake mwenyewe, yeye ndiye alimtaka Mbowe agombee urais na Uenyekiti amuachie yeye. Hapo nani kazuiwa? Lissu haaminiki.Sasa kama ni hivyo kwanini amzuie Lissu asigombee chochote kati ya uenyekiti au urais?
Huyo Yericko Nyerere kuna kitu Cha maana anachofahamu? Lile ni bumunda, yuko pale kwa mbowe akisubiri atupiwe chochote kitu ili maisha yaende, huwa naona aibu mie kwa nwanaune mtu mzima kujidhalilisha nanna hiyo, kama yeye (Yericko) anakuwa na njaa namna hiyo, vipi wa Tanzania wengi wanaoishi maisha magumu! Huyo akiambiwa kuolewa si atakubali ili maisha yaende.Dah! Jabali la siasa za upinzani anapelekewa moto sio poa na huyu mnyampaa.... tusubiri kauli ya Mbowe kupitia Yericko Nyerere na wenzae Ntobi.
Lissu ni "STATEMAN".Ukiniuliza unapenda jambo gani kwa Lissu nitakwambia kuwa napenda uwazi wake na kutomuonea mtu aibu katika kusema ukweli
usiogope mremboNgoja tuone hii movie ya kutisha itaendeleaje.
Kwa nini usiamini maneno ya Lissu wakati keshasema wakati wa viako hivyo vyote 3, John Mnyika ni shahidi?Nani ataamini?
Mkuu, kwenda Shule muhimu, hivi atakuchezeaje mtu umemzidi elimu.Mbowe alitaka kabisa kummaliza Lissu kihuni kabisa.
Lissu kafanya vyema sana kuonyesha tabia halisi ya Mbowe.
Mlishaambiwa mapema ila watu hamkuwa attentive tu.Hivi kwanini Mbowe anang'ang'ania pale? Kwani kuna nini hasa?
Makonda alisema walikuwa wanamkwepa kwenye vikaoHamna kitu kibaya hapa duniani kama kuwa upande wa pili wa Lissu( Na uzuri wa Lissu huwa hana konakona, hata ukimwambia hii ni siri kuna siku utaikuta gazetini)
Hii uliyoandika ndio ukweli na hali halisi ilivyo.Hapana, Lissu anatambua vyema kipi ni siri ila hauwezi ukayatumia ya sirini kutaka kumpiga halafu yeye akae kimya.
Mbowe hakupaswa kumshambulia Lissu kuwa anataka vyote na kwamba uamuzi wake wa kugombea ulikuwa ni wa 'ghafla sana' wakati akijua walikutana faragha na kulikuwa na makubaliano.
Kwanini aongee uongo? Kama Lissu angekuwa ni mtoa siri basi hili angeliongea tangu wakati ule anachukua form.
LIssu ameongea na kuhojiwa mara nyingi sana lakini hakuwahi kuonyesha dalili yoyote kwamba kulikuwa na maongezi yoyote baina yao, ni Mbowe ambaye katekenywa kidogo tu, anatoa kauli zinzopelekea yaliyo sirini kuvuja sababu alitaka kuutumia usiri ule kujiweka salama akijifanya 'Mr. Smart'.
Lissu hakuwahi kumshambulia Mbowe, ila inaonekana Mbowe hawezi kujieleza akaeleweka bila ya kumshambulia Lissu
Lazima ang'ang'anie ili kutimiza matakwa ya asali nzito aliyopewa.Hivi kwanini Mbowe anang'ang'ania pale? Kwani kuna nini hasa?
Fortilo wewe ni ccm kwa nini unapinga lissu kuwa mwenyekiti chadema? Unawaonea huruma chadema?Anasema ana mdomo mpana,
Wanaomshabikia kuna siku atawarudia..
Kama hata vikao vya sir anaropoka mpaka eneo walilofanyia.. imagine ni top boss wa CDM.....
Siasa za upinzani kuendesha chama sio kazi rahisi .
Kuendesha chama kwa kusema tu?
Tupo