Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Mkuu mbona unanipa Chama kabisa...Fortilo wewe ni ccm kwa nini unapinga lissu kuwa mwenyekiti chadema? Unawaonea huruma chadema?
Kwa record ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona unanipa Chama kabisa...Fortilo wewe ni ccm kwa nini unapinga lissu kuwa mwenyekiti chadema? Unawaonea huruma chadema?
Kwa nini sasa hivi ufiche chama chako wakati ulikua unakiweka wazi?Mkuu mbona unanipa Chama kabisa...
Kwa record ipi?
Wewe nawe ndiyo wale wale waongo waongo kama walivyo CCM.Mkuu mbona unanipa Chama kabisa...
Kwa record ipi?
Kajisahau huko nyuma alikua anajitambulisha yeye ni ccmWewe nawe ndiyo wale wale waongo waongo kama walivyo CCM.
Hongera sana kwa kuweka wazi uongo wa huyo Fortilo .Kwa nini sasa hivi ufiche chama chako wakati ulikua unakiweka wazi?
View attachment 3194205
Kama ni hivyo, kwa nini Mbowe hataki kugombea?
Amandla...
Kilichomfanya abadili mawazo ni kutimiza matakwa ya maridhiano yake bonafsi na Samia....
1; Ahakikishe upinzani unakuwa dormant na wasidai katiba mpya
2:;Samia asiwekewe mpinzani toka katika chama pinzani chenye nguvu.
Ina maana katika kuhakikisha hayo ni lazima yeye abaki kuwa mwenyekiti kwa miaka hii 5 mingine
Naam Jamaa ana mkataza lissu asigombee ili Aje apige hela kama alivyo Fanya Kwa Lowasa , Yule macho kumchuzi mjanja mjanja sanaNafasi ya mgombea uRais pale Chadema ni biashara
Kwa Sasa wanawavizia February na Dr Naniliu PhD 😂😂😂
Wakuu
Kimeumana CHADEMA, Tundu Lissu amvaa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe baada ya kurejea Tanzania kutoka nchini Ubeligiji.
Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuulizwa kuhusu alichokisema Mbowe kuwa walishauriana asigombee Uenyekiti CHADEMA, pengine baadae angegombea Urais
Soma, Pia: Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa
"Kwanza hili niliseme kwa masikitiko, kwasababu si jambo nzuri kusema Mwenyekiti (Freeman Mbowe) amesema uongo, kwenye hili amesema uongo. Tulikutana kwa siku tatu hapa Msimbazi, Kanisani tukipatanishwa, tukizungumza juu ya hiki kinyang’anyiro na kwa siku tatu zote Mwenyekiti alisema yeye hajaamua kugombea nafasi yoyote [kwa siku tatu], Katibu Mkuu John Mnyika ni shahidi…."
View attachment 3194110
Hamna kitu kibaya hapa duniani kama kuwa upande wa pili wa Lissu( Na uzuri wa Lissu huwa hana konakona, hata ukimwambia hii ni siri kuna siku utaikuta gazetini)
Amen mtumishi.Nina wajibu wa kumuombea Tundu, nawakubali wawazi, wasio wanafiki.
YESU ndiye BWANA&MWOKOZI
Nimemuona kila sehemu ni wa kwanza kuandiika maneno mengi kana kwamba ana uchungu sana na chadema
mkuu naona huko Equatorial Guinea unatupata vilivyo!Nimemuona kila sehemu ni wa kwanza kuandiika maneno mengi kana kwamba ana uchungu sana na chadema
Hii itoshe kuwapa alert watu ni nani wanampinga sana Lissu
Vyema vyema nipo le equatorialmkuu naona huko Equotorial Guinea unatupata vilivyo!
Rushwa hupofusha macho, Lissu ametufungua macho sanaTAL ukisema uwongo tu kwenye jambo mlikubaliana anakuanika
FAM Kaamua ipoteza heshima yake mwenyewe kwa tamaa