Uchaguzi 2020 Lissu mgombea Urais wa Mijini anayezunguka town to town kampeni akiacha asilimia 80 ya wapiga kura waishio Vijijini

Kwenye Ukweli lazima tuseme mwaka huu mgombea Wangu hashindi ila 2025 Njia nyeupe kabisa
Lisu anasaka kura kwenye 20 percent ya wapiga wa mjini

Wapambe wake waotaji hewa wanasema atapata asilimia 80 ya kura!!!

Kimahesabu ukichukua asilimia 80 ya kura asilimia 20 za mijini jibu ni kiwa atapata asilimia 16 tu ya kura zote zotakazopigwa nchi nzima
 
Unajua kunakitu hamfahamu nikua watu wanataka mbadiliko ya uongozi ata ungegombea ww ingebidi upite ili mabadiliko yatokee hakuna haja ya kampeni kila mtu amechoka anataka mabadiliko
 
Unajua kunakitu hamfahamu nikua watu wanataka mbadiliko ya uongozi ata ungegombea ww ingebidi upite ili mabadiliko yatokee hakuna haja ya kampeni kila mtu amechoka anataka mabadiliko
Mabadiliko Lowasa, Lowasa mabadiliko aliyoimba hadi Lisu tena kwa hamasa kubwa hadi anaweweseka 2015 iliishia wapi?
 
Ila kwa utandawazi wa saiv hakuna habari za kijijin Tena , maana upatkanaj wa taarifa umeongezeka, shule watu wengi wamesoma
 
Kiongozi wa ibada ameanzisha uzi ili kwenye dini yake apate faraja.
Sasa subiri wafuasi waje waanze ibada zao ndio utajua katika awamu zote zimizotangulia hakuna awamu yenye kundi la wajinga ndani ya chama kama awamu hii.
 
Halafu
Halafu anazidi kujiaminisha kuwa atashinda uchaguzi huu. Akamuulize John John kwa nini kaachia kiti cha pale kwenye ma- interchange? Anadhani hii ni ngoma ya watoto, wakati wowote ataacha kufanya kampeni kwa sababu ya "UKATA" lakini atasingizia kuumwa mguu na eti anarudi Ubelgiji kwa matibabu. Ngojeni mtaona!
 

usituongopee, Urbanization TZ ni zaidi ya 20%
 
Wewe dada mjinga sana uliona ile ya Katoro? Ukiona kile Kyerwa? Huko ni mjini? Uliona kule Nyehunge? Kule ni mjini? Safari hii tunawagegeda wakavuwakavu pumbavu nyie! Na mkijidai ujinga wa kuiba kura tunaingiza raia mtaani!
 
Wewe dada mjinga sana uliona ile ya Katoro? Ukiona kile Kyerwa? Huko ni mjini? Uliona kule Nyehunge? Kule ni mjini? Safari hii tunawagegeda wakavuwakavu pumbavu nyie! Na mkijidai ujinga wa kuiba kura tunaingiza raia mtaani!
Katoro na kyerwa ni vijijini? Ni miji
Nyehunge ni makao makuu ya wilaya mpya ni mji
 

Acha uongo na kujipa moyo. Mimi nimezumguka naye Geita na Bukoba. Jamaa anasimama kila kituo kwenye center ya kila Kijiji. Hayo ni maeneo very deep rural. Anasimamisha kila mahali.

Kwani Jiwe kaenda wapi vijijini zaidi ya alikopita Lissu.

Tafute hoja nyingine. Msitengeneze precedence ya kuiba mkisingizia kura vijijini. This time mnapigwa potepote, mijini na vijijini.
 
Bora yeye wengine hamjulikana ata mliko
 
Na katoro ni mjini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgombea wako kaita wakurugenzi wanini dodoma?
 
Mnahangaika sana kumbe sindano zinaingia
 
Hii ndio ccm inayokubalika vijijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…