Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu anasaka kura kwenye 20 percent ya wapiga wa mjiniKwenye Ukweli lazima tuseme mwaka huu mgombea Wangu hashindi ila 2025 Njia nyeupe kabisa
Unajua kunakitu hamfahamu nikua watu wanataka mbadiliko ya uongozi ata ungegombea ww ingebidi upite ili mabadiliko yatokee hakuna haja ya kampeni kila mtu amechoka anataka mabadilikoLisu anasaka kura kwenye 20 percent ya wapiga wa mjini
Wapambe wake waotaji hewa wanasema atapata asilimia 80 ya kura!!!
Kimahesabu ukichukua asilimia 80 ya kura asilimia 20 za mijini jibu ni kiwa atapata asilimia 16 tu ya kura zote zotakazopigwa nchi nzima
Mabadiliko Lowasa, Lowasa mabadiliko aliyoimba hadi Lisu tena kwa hamasa kubwa hadi anaweweseka 2015 iliishia wapi?Unajua kunakitu hamfahamu nikua watu wanataka mbadiliko ya uongozi ata ungegombea ww ingebidi upite ili mabadiliko yatokee hakuna haja ya kampeni kila mtu amechoka anataka mabadiliko
Lissu mgombea urais wa mijini anayezunguka town to town kampeni akiacha asilimia 80 ya wapiga kura waishio vijijini.
Lisu ni wakili kakulia mjini ndio maana siasa zake za kimjini mjini zaidi, kwake inayo matter kwake ni asilimia 20 ya wapiga kura waishio mijini. Kawekeza sana kwenye miji. Twaweza sema ni mgombea anayetafuta kura kwa watoto wa mjini tu ingawa wengine kura zao hataki kama za wasanii nk
Hiyo asilimia 20 ndio anatembea nayo kwa mbwe mbwe na kujiaminisha ushindi tayari !!! ha haha mbavu zangu wacha nicheke.
So far anafuta ushindi kwenye asilimia 20 ya wapiga kura that is nonsense .Haihitaji political science analysist kujua tayari keshashindwa uchaguzi sababu hiyo asilimia 20 vyama vyote vina watu kwenye hiyo miji na CCM ikiwemo na ina lion's share kwenye hiyo miji ambayo after all hata hivyo Lisu hajaifikia yote kaenda michache tu.
Kwa hii simple analysis tu ni kuwa hata kura zingepigwa sasa hivi Lisu uchaguzi angeshindwa vibaya mno.
Halafu anazidi kujiaminisha kuwa atashinda uchaguzi huu. Akamuulize John John kwa nini kaachia kiti cha pale kwenye ma- interchange? Anadhani hii ni ngoma ya watoto, wakati wowote ataacha kufanya kampeni kwa sababu ya "UKATA" lakini atasingizia kuumwa mguu na eti anarudi Ubelgiji kwa matibabu. Ngojeni mtaona!Lissu mgombea urais wa mijini anayezunguka town to town kampeni akiacha asilimia 80 ya wapiga kura waishio vijijini.
Lisu ni wakili kakulia mjini ndio maana siasa zake za kimjini mjini zaidi, kwake inayo matter kwake ni asilimia 20 ya wapiga kura waishio mijini. Kawekeza sana kwenye miji. Twaweza sema ni mgombea anayetafuta kura kwa watoto wa mjini tu ingawa wengine kura zao hataki kama za wasanii nk
Hiyo asilimia 20 ndio anatembea nayo kwa mbwe mbwe na kujiaminisha ushindi tayari !!! ha haha mbavu zangu wacha nicheke.
So far anafuta ushindi kwenye asilimia 20 ya wapiga kura that is nonsense .Haihitaji political science analysist kujua tayari keshashindwa uchaguzi sababu hiyo asilimia 20 vyama vyote vina watu kwenye hiyo miji na CCM ikiwemo na ina lion's share kwenye hiyo miji ambayo after all hata hivyo Lisu hajaifikia yote kaenda michache tu.
Kwa hii simple analysis tu ni kuwa hata kura zingepigwa sasa hivi Lisu uchaguzi angeshindwa vibaya mno.
Lissu mgombea urais wa mijini anayezunguka town to town kampeni akiacha asilimia 80 ya wapiga kura waishio vijijini.
Lisu ni wakili kakulia mjini ndio maana siasa zake za kimjini mjini zaidi, kwake inayo matter kwake ni asilimia 20 ya wapiga kura waishio mijini. Kawekeza sana kwenye miji. Twaweza sema ni mgombea anayetafuta kura kwa watoto wa mjini tu ingawa wengine kura zao hataki kama za wasanii nk
Hiyo asilimia 20 ndio anatembea nayo kwa mbwe mbwe na kujiaminisha ushindi tayari !!! ha haha mbavu zangu wacha nicheke.
So far anafuta ushindi kwenye asilimia 20 ya wapiga kura that is nonsense .Haihitaji political science analysist kujua tayari keshashindwa uchaguzi sababu hiyo asilimia 20 vyama vyote vina watu kwenye hiyo miji na CCM ikiwemo na ina lion's share kwenye hiyo miji ambayo after all hata hivyo Lisu hajaifikia yote kaenda michache tu.
Kwa hii simple analysis tu ni kuwa hata kura zingepigwa sasa hivi Lisu uchaguzi angeshindwa vibaya mno.
Wewe dada mjinga sana uliona ile ya Katoro? Ukiona kile Kyerwa? Huko ni mjini? Uliona kule Nyehunge? Kule ni mjini? Safari hii tunawagegeda wakavuwakavu pumbavu nyie! Na mkijidai ujinga wa kuiba kura tunaingiza raia mtaani!Lissu mgombea urais wa mijini anayezunguka town to town kampeni akiacha asilimia 80 ya wapiga kura waishio vijijini.
Lisu ni wakili kakulia mjini ndio maana siasa zake za kimjini mjini zaidi, kwake inayo matter kwake ni asilimia 20 ya wapiga kura waishio mijini. Kawekeza sana kwenye miji. Twaweza sema ni mgombea anayetafuta kura kwa watoto wa mjini tu ingawa wengine kura zao hataki kama za wasanii nk
Hiyo asilimia 20 ndio anatembea nayo kwa mbwe mbwe na kujiaminisha ushindi tayari !!! ha haha mbavu zangu wacha nicheke.
So far anafuta ushindi kwenye asilimia 20 ya wapiga kura that is nonsense .Haihitaji political science analysist kujua tayari keshashindwa uchaguzi sababu hiyo asilimia 20 vyama vyote vina watu kwenye hiyo miji na CCM ikiwemo na ina lion's share kwenye hiyo miji ambayo after all hata hivyo Lisu hajaifikia yote kaenda michache tu.
Kwa hii simple analysis tu ni kuwa hata kura zingepigwa sasa hivi Lisu uchaguzi angeshindwa vibaya mno.
Katoro na kyerwa ni vijijini? Ni mijiWewe dada mjinga sana uliona ile ya Katoro? Ukiona kile Kyerwa? Huko ni mjini? Uliona kule Nyehunge? Kule ni mjini? Safari hii tunawagegeda wakavuwakavu pumbavu nyie! Na mkijidai ujinga wa kuiba kura tunaingiza raia mtaani!
Dada punguani wewe!Katoro na kyerwa ni vijijini? Ni miji
Nyehunge ni makao makuu ya wilaya mpya ni mji
Lissu mgombea urais wa mijini anayezunguka town to town kampeni akiacha asilimia 80 ya wapiga kura waishio vijijini.
Lisu ni wakili kakulia mjini ndio maana siasa zake za kimjini mjini zaidi, kwake inayo matter kwake ni asilimia 20 ya wapiga kura waishio mijini. Kawekeza sana kwenye miji. Twaweza sema ni mgombea anayetafuta kura kwa watoto wa mjini tu ingawa wengine kura zao hataki kama za wasanii nk
Hiyo asilimia 20 ndio anatembea nayo kwa mbwe mbwe na kujiaminisha ushindi tayari !!! ha haha mbavu zangu wacha nicheke.
So far anafuta ushindi kwenye asilimia 20 ya wapiga kura that is nonsense .Haihitaji political science analysist kujua tayari keshashindwa uchaguzi sababu hiyo asilimia 20 vyama vyote vina watu kwenye hiyo miji na CCM ikiwemo na ina lion's share kwenye hiyo miji ambayo after all hata hivyo Lisu hajaifikia yote kaenda michache tu.
Kwa hii simple analysis tu ni kuwa hata kura zingepigwa sasa hivi Lisu uchaguzi angeshindwa vibaya mno.
Bora yeye wengine hamjulikana ata mlikoLissu mgombea urais wa mijini anayezunguka town to town kampeni akiacha asilimia 80 ya wapiga kura waishio vijijini.
Lisu ni wakili kakulia mjini ndio maana siasa zake za kimjini mjini zaidi, kwake inayo matter kwake ni asilimia 20 ya wapiga kura waishio mijini. Kawekeza sana kwenye miji. Twaweza sema ni mgombea anayetafuta kura kwa watoto wa mjini tu ingawa wengine kura zao hataki kama za wasanii nk
Hiyo asilimia 20 ndio anatembea nayo kwa mbwe mbwe na kujiaminisha ushindi tayari !!! ha haha mbavu zangu wacha nicheke.
So far anafuta ushindi kwenye asilimia 20 ya wapiga kura that is nonsense .Haihitaji political science analysist kujua tayari keshashindwa uchaguzi sababu hiyo asilimia 20 vyama vyote vina watu kwenye hiyo miji na CCM ikiwemo na ina lion's share kwenye hiyo miji ambayo after all hata hivyo Lisu hajaifikia yote kaenda michache tu.
Kwa hii simple analysis tu ni kuwa hata kura zingepigwa sasa hivi Lisu uchaguzi angeshindwa vibaya mno.
Na katoro ni mjini?Lissu mgombea urais wa mijini anayezunguka town to town kampeni akiacha asilimia 80 ya wapiga kura waishio vijijini.
Lisu ni wakili kakulia mjini ndio maana siasa zake za kimjini mjini zaidi, kwake inayo matter kwake ni asilimia 20 ya wapiga kura waishio mijini. Kawekeza sana kwenye miji. Twaweza sema ni mgombea anayetafuta kura kwa watoto wa mjini tu ingawa wengine kura zao hataki kama za wasanii nk
Hiyo asilimia 20 ndio anatembea nayo kwa mbwe mbwe na kujiaminisha ushindi tayari !!! ha haha mbavu zangu wacha nicheke.
So far anafuta ushindi kwenye asilimia 20 ya wapiga kura that is nonsense .Haihitaji political science analysist kujua tayari keshashindwa uchaguzi sababu hiyo asilimia 20 vyama vyote vina watu kwenye hiyo miji na CCM ikiwemo na ina lion's share kwenye hiyo miji ambayo after all hata hivyo Lisu hajaifikia yote kaenda michache tu.
Kwa hii simple analysis tu ni kuwa hata kura zingepigwa sasa hivi Lisu uchaguzi angeshindwa vibaya mno.
Mnahangaika sana kumbe sindano zinaingiaLissu mgombea urais wa mijini anayezunguka town to town kampeni akiacha asilimia 80 ya wapiga kura waishio vijijini.
Lisu ni wakili kakulia mjini ndio maana siasa zake za kimjini mjini zaidi, kwake inayo matter kwake ni asilimia 20 ya wapiga kura waishio mijini. Kawekeza sana kwenye miji. Twaweza sema ni mgombea anayetafuta kura kwa watoto wa mjini tu ingawa wengine kura zao hataki kama za wasanii nk
Hiyo asilimia 20 ndio anatembea nayo kwa mbwe mbwe na kujiaminisha ushindi tayari !!! ha haha mbavu zangu wacha nicheke.
So far anafuta ushindi kwenye asilimia 20 ya wapiga kura that is nonsense .Haihitaji political science analysist kujua tayari keshashindwa uchaguzi sababu hiyo asilimia 20 vyama vyote vina watu kwenye hiyo miji na CCM ikiwemo na ina lion's share kwenye hiyo miji ambayo after all hata hivyo Lisu hajaifikia yote kaenda michache tu.
Kwa hii simple analysis tu ni kuwa hata kura zingepigwa sasa hivi Lisu uchaguzi angeshindwa vibaya mno.
Hii ndio ccm inayokubalika vijijiniMijini anakozurura vyama vyote tupo hiyo asilimia 20 haituumizi vichwa humo tuna asilimia kubwa tu na vijijini tuna competitive advantage ambayo Tanzania hakuna chama cha siasa chaweza tufikia tuko kila mahali hata uende porini vipi CCM tupo tuwaonyeshe kipigo cha mbwa koko October 28