Uchaguzi 2020 Lissu mgombea Urais wa Mijini anayezunguka town to town kampeni akiacha asilimia 80 ya wapiga kura waishio Vijijini

Kapita na gari kwenye barabara nzuri alizojennga Magufuli hajaingia vijijii kwenye barabara za vumbi

Ni lami na yeye ,yeye na lami
We ng'o,mbe acha uzwazwa basi kua na akili angalau kidogo....hakuna barabara alizojenga magufuli....wamejenga watz kwa kodi zao. Hata kipindi cha ukoloni barabara zilikuwepo
 
We ng'o,mbe acha uzwazwa basi kua na akili angalau kidogo....hakuna barabara alizojenga magufuli....wamejenga watz kwa kodi zao. Hata kipindi cha ukoloni barabara zilikuwepo
Yaani huyu nilikuwa namuona anajitambua lakini ni zwazwa la kutupa
 
Kuna kijiji kinaitwa mdaburo kipo mufindi mkoani iringa. Alipoenda iringa alienda mpaka huko mdaburo

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Hivi unajua Tz inavijiji vingapi? Hata kama ni wewe unaweza tembelea vijiji vingapi hapa Tz kwa siku 60?
 

Unagusa mishipa ya fahamu ya uchaguzi, lakini kwa kuwa kuna wanaotegemea maajabu na wanajiaaminisha hivyo watakataa.

Muda utafika wenye kufanaya siasa za uchaguzi ambao wanataka ushindi watafuata haya maoni yako na wataona matokea yake.

Bado chama kina waota ndoto na sio wapigania ushindi wa kweli wa upinzani.
 

Hya leo hiyo..... Hapa ni mjini pia?
 
Maneno ya dhihaka na siasa mara nyingi huenda pamoja. Tusubiri matokeo ya uchaguzi tuone mustakabali wa chama, hata hivyo tayari vijijini chama kimeimarika. Sura mpya.
Mkuu uko pessimistic sana.... Irrespective ya matokeo lakini chama kimejitahidi sana katika mazingira ya siasa miaka hii 5 kupambana na popular president ambaye kila siku yupo kwenye TV it's not an easy thing.
Lissu kajitahidi sana kuneutralize nguvu ya Magufuli mpaka imeonakana kuwa inawezekana kabisa kumuangusha. Kwa hilo tu tuwape hongera mkuu otherwise wangetimkia CCM wote hao kuokoa vyeo vyao
 
kijiji gani Magufuli amekwenda kwenye kampeni hiz. Msitutayarishe kisaikolojia kuiba kura halafu mnasema eti vyama vya upinzai havina wapiga kura vijijini.
 

Mimi siku zote nipo optimistic taabu hupata kuhusu ground organisation. Jaribu kufikiria hali hii ingekutana na well prepared ground what the results would be? , pia najitahidi sana kuchangia hata kama kwa wakati ni mgumu.
 
Bado huyu ni mgombea was mjini au msimamo na mtazamo wako umebadilika Hadi wakati huu.
 
Mimi siku zote nipo optimistic taabu hupata kuhusu ground organisation. Jaribu kufikiria hali hii ingekutana na well prepared ground what the results would be? , pia najitahidi sana kuchangia hata kama kwa wakati ni mgumu.
Naelewa madhaifu yapo hasa kwenye organization lakini kila learning is a process. Nafahamu ww ni msomi haswaa kuna nadharia inaitwa Continous Learning Process Model ndio inatumika na makampuni kubuni bidhaa mpya.

Unaambiwa bidhaa mpya zote 70% hufeli lakini kupitia failure hizo ndio zinaleta successful products huko mbele. Hata ukiona i phone ina trend sokoni ni matokeo ya kujifunza kutoka na kufeli kupata soko ya device za apple toka miaka ya 90!!

Nachosema ni kwamba kila uchaguzi CHADEMA wanazidi kujifunza na kupata uzoefu mpya. Kwahiyo kuliko kukatishana tamaa walau tu appreciate hatua walizopiga, hvi kuna chama cha upinzani kimepita majimbo mengi kuliko CHADEMA? Kusimamisha wagombea?

Mkuu Mbowe kapiga sana kazi, hata kma sio mtu wa jukwaani ila background huko kafight sana kuanzia kutafuta pesa mpaka kujenga mfumo wa chama hadi majimboni. Kwa hayo madogo tupongeze na kuwa wamoja mengine yanajirekebisha taratibu.

Yangu ni hayo tu
 
Lets wait and see, tunaomba mema lakini lazima tubadilike, Big brains zinahama kwa kuwa hatubaliki. Timu za ushindi inaendelea zinapungua. Tarehe 29/10, chama kitakuwa tayari kimeimarika.
 
Bado huyu ni mgombea was mjini au msimamo na mtazamo wako umebadilika Hadi wakati huu.
Msimamo wangu uko pale pale Lisu mgombea wa mijini mzurura mijini kuomba kura
 
Hivi unajua Tz inavijiji vingapi? Hata kama ni wewe unaweza tembelea vijiji vingapi hapa Tz kwa siku 60?
CCM tumeweza vyote na tuna matawi ya CCM vijiji vyote hata asipikanyaga Raisi tuna vi cover vyote hapo hapo.kupitia viongozi wa chama wa matawi

Chadema matawi wanayo mijini tu tens machache mengi yalishafungwa Sikh nyingi ushahidi jiji la Dar es salaam vitawi koko vilivyofunguliwa 2015 vingi vilishafungwa

CCM matawi hufungukiwa kila kona hakuna mtaa wala kijiji ambacho tawi LA CCM halipo Tanzania

Wajumbe wa nyumba kumi wa CCM wako nchi nzima na wanashiriki kampeni nchi nzima kwenye nyumba zao kumi

Coverage yetu CCM ya kampeni ni mitaa na vijiji vyote Tanzania na si ya kupita tu kamkutano na kuondoka tupo hapo hapo na wananchi kupitia party branch network zetu na kupitia wajumbe wa nyumba kumi ambao wanaishi na wapiga kura na wako pamoja kwenye shida na raha za kila siku na wanafahamiana kwa majina na wanapoishi

Tarehe 28 kazi moja piga chini mbelgiji Arudi kwao ubelgiji akichechemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…