Naelewa madhaifu yapo hasa kwenye organization lakini kila learning is a process. Nafahamu ww ni msomi haswaa kuna nadharia inaitwa Continous Learning Process Model ndio inatumika na makampuni kubuni bidhaa mpya.
Unaambiwa bidhaa mpya zote 70% hufeli lakini kupitia failure hizo ndio zinaleta successful products huko mbele. Hata ukiona i phone ina trend sokoni ni matokeo ya kujifunza kutoka na kufeli kupata soko ya device za apple toka miaka ya 90!!
Nachosema ni kwamba kila uchaguzi CHADEMA wanazidi kujifunza na kupata uzoefu mpya. Kwahiyo kuliko kukatishana tamaa walau tu appreciate hatua walizopiga, hvi kuna chama cha upinzani kimepita majimbo mengi kuliko CHADEMA? Kusimamisha wagombea?
Mkuu Mbowe kapiga sana kazi, hata kma sio mtu wa jukwaani ila background huko kafight sana kuanzia kutafuta pesa mpaka kujenga mfumo wa chama hadi majimboni. Kwa hayo madogo tupongeze na kuwa wamoja mengine yanajirekebisha taratibu.
Yangu ni hayo tu