Lissu: "Mimi huwa nachelewa kuamka asubuhi, naamka saa 4 asubuhi au zaidi." Je, akikabidhiwa nchi si italala kimaendeleo?

Kuna shida gani akilala saa kumi usiku na kuamke saa 4 asubuhi?
 
Mrema wa Impala, mwamba alitafuna watoto saba aisee ila hata kama kafariki stil kaifaidi Dunia


Mkuu jokakuu akawa anaona ni uchapakazi wakati Mrema alikuwa kushinda ofisi za hoteli anakesha usiku ndio zile za wafanyakazi wa kike na ma bosi
 
Kuamka saa nne ni dharau kubwa sana kimaisha. Iwe mwanaume iwe mwanamke, uwe tajiri uwe masikini unaamkaje saa nne kwa mfano. Imechelewa sana ni saa mbili.

Saa nne kwa raha gani ulale hivyo.
 
Kuamka saa nne ni dharau kubwa sana kimaisha. Iwe mwanaume iwe mwanamke, uwe tajiri uwe masikini unaamkaje saa nne kwa mfano. Imechelewa sana ni saa mbili.

Saa nne kwa raha gani ulale hivyo.

..inategemea umelala saa ngapi.

..pia ukisikiliza hoja zake anaonekana yuko vizuri kuliko wengi wanaoamka alfajiri.
 
Huyu amejiajiri mwenyewe, kazi zake huzifanya usiku kukiwa kumetulia na mchana hufanya siasa.
 
Kakudanganya Nani.
Kamuulize P Kagame kabla na Baada ya kupata kiti kubwa.
 
Putin anaamka saa sita mchana Je Tz na Urusi ipi ina Maendeleo?
 
Kazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…