Uchaguzi 2020 Lissu mnyang'anye Magufuli advantage ya vyombo vya habari vya umma na wasanii

Lisu ni galasa tu.......anapoteza muda kutimiza matakwa ya mabwana zake wa ulaya. Watanzania hawajawa wajinga kiasi hicho kukubali kuongozwa na beberu jeusi
Wewe ni nani unamuita mfadhili beberu? Ukweli unajua kuwa mwenyekiti ni jiwe na mtu kujifananisha na kitu kisichokua na uhai maana hakina utashi.
 
Pia apige spana ya jiwe kuongeza mishahara ktk kipindi hili cha kampeni maana ni sawa na rushwa...alikuwa wapi zamani?
 
Kiukweli kabisa bila wasanii wakubwa na vyombo vya habari vya umma leo kampeni za Magufuli zingekuwa nusu kaputi.

Kiufupi kampeni za Magufuli za mwaka 2020 ni sawasawa na kampeni za Magufuli za mwaka 2015, hotuba ni zilezile yaani hakuna jipya.

Ila Magufuli ameifanya TBC kama TV yake binafsi, inamrusha yeye tu, wala haina mpango wa kurusha wagomnea wengine wa upinzani tishio kwake kama Lissu mwenyewe.

Pamoja na TBC kumsaidia Magufuli kusikika zaidi kuliko wagombea wengine kinyume cha sheria za Uchaguzi, upendeleo huo wa kupita kiasi kwa Magufuli dhidi ya wagombea wengine pia unawafanya wananchi Waikinai hiyo TV na hivyo indirectly kuanza Kumkinai Mgombea wa CCM.

Sasa Lissu anatakiwa afanye yafuatayo ili kumuondolea Magufuli advantage ya vyombo vya umma kwake

1. Discredit TBC, ichongee sana kwa umma kwenye kila mkutano wa kampeni, yaani ishushe thamani mpaka watu waidharau

Kila chombo cha habari kinapenda kukubalika, kuheshimika na kupata watazamaji au wasikilizaji. Kwa hiyo Lissu hapa anatakiwa aishushue, ailaani TBC TV na redio yake, aichongee mbele ya wananchi, aiite haifanyi kazi kwa weledi, aeleze jinsi inavyovunja sheria za uchaguzi, aeleze jinsi ilivyo na upendeleo na awatake wananchi Waipuuze mpaka wajirekebishe. Akifanya hivi Wananchi hawatoichukulia TBC serious na kwa hivyo ile advantage ambayo Magufuli anaipata kwenye hiyo TV na redio itapunguzwa sana. Lissu kuna haja ya kuiattack TBC verbally tena kwa nguvu nyingi sana mbele ya wananchi. Wakijiona wanapoteza mtaji wa watu kwa watu kuwapuuza watajirekebisha.

2. Kwa upande wa wasanii, endelea kumpiga vijembe Magufuli kwa kuwaletea watu disko badala ya kunadi sera za kusaidia kuboresha maslahi ya wafanyakazi, kuondoa kitambulisho cha wamachinga, kuleta katiba mpya, etc.

Wasanii wana nguvu, kuna haja ya kutengeneza Meseji ya Kuponda performance za wasanii zilizopitiliza kwenye kampeni za Magufuli. Hapa meseji iwe ni kuwa uchaguzi huu ni uchaguzi wa masuala yanayogusa maisha ya wananchi, elimu yao, afya yao, ugali wao mezani, pensheni zao, siyo kuletewa watu wa kukatakata viuno majukwaani eti iwe ndiyo sera ya kuombea kura.
Wakumbushe wananchi kisa cha mwanamuziki mkubwa Bob Marley aliyekataa katakata kumuendorse mgombea yeyote wa siasa huko Jamaica miaka ya 70 kitendo kilichomjengea heshima zaidi kwa watu wa Jamaica, Sembuse hawa akina Diamond? - Ni nani kati ya hao kafikia star power ya Bob?

Elezea kwa wananchi jinsi Wasanii hawa wasivyo na maono ya kuwasaidia wao wenyewe au kuwasaidia wenzao, Eleza jinsi BASATA ilivyowatesa wasanii kwa kufungia kazi zao mbalimbali lakini leo wako busy kuitetea CCM.

Kuna haja kubwa ya kuwadiscredit hawa wasanii mbele ya umma, lengo la kuwadiscredit siyo kwamba wananchi wasiwapende la hasha, Lengo ni wananchi wasilink performance zao majukwaani na kumpigia kura Magufuli. Lengo hapa ni kudiscredit political undertone katika performance za hao wasanii majukwaani.

Naamini ikiandaliwa meseji nzuri ya kuwakaanga TBC na wasanii mbele ya wananchi mpaka wananchi wakawaona kuwa ni adui wa mabadiriko wanayoyataka, Wasanii wakishaanza kuona wananchi hawana time nao kwenye ushawishi wa kisiasa isipokuwa burudani tu, Tutakuwa tumemnyang'anya Magufuli kete mbili anazodhani zinamsaidia kisiasa!

Lissu piga spana kisawasawa hivi vitu viwili kwenye kila mkutano, Hii itasaidia sana wapiga kura kufuta ushawishi wowote waliokwishajengewa na hivi vitu viwili, lakini pia itaweka kigingi kusaidia vitu hivi visiwe effective katika siku zifuatazo za kampeni.
Media za Tanzania nyingi zinakosa weledi kutokana na mbinyo was kisiasa na zile Sheria za hati za dharura,Ila kwa zile zinazoendeshwa kwa Kodi za watanzania hazina kisindizio zaidi ya kufanya makusudi kwa kuegemea upande was watawala,Lakini yote ya yote wanaojihusisha na media Kama biashara wanashuhudia hasara kutokana na sera mbaya ,kanuni na Sheria za habari.
 
Kiukweli kabisa bila wasanii wakubwa na vyombo vya habari vya umma leo kampeni za Magufuli zingekuwa nusu kaputi.

Kiufupi kampeni za Magufuli za mwaka 2020 ni sawasawa na kampeni za Magufuli za mwaka 2015, hotuba ni zilezile yaani hakuna jipya.

Ila Magufuli ameifanya TBC kama TV yake binafsi, inamrusha yeye tu, wala haina mpango wa kurusha wagomnea wengine wa upinzani tishio kwake kama Lissu mwenyewe.

Pamoja na TBC kumsaidia Magufuli kusikika zaidi kuliko wagombea wengine kinyume cha sheria za Uchaguzi, upendeleo huo wa kupita kiasi kwa Magufuli dhidi ya wagombea wengine pia unawafanya wananchi Waikinai hiyo TV na hivyo indirectly kuanza Kumkinai Mgombea wa CCM.

Sasa Lissu anatakiwa afanye yafuatayo ili kumuondolea Magufuli advantage ya vyombo vya umma kwake

1. Discredit TBC, ichongee sana kwa umma kwenye kila mkutano wa kampeni, yaani ishushe thamani mpaka watu waidharau

Kila chombo cha habari kinapenda kukubalika, kuheshimika na kupata watazamaji au wasikilizaji. Kwa hiyo Lissu hapa anatakiwa aishushue, ailaani TBC TV na redio yake, aichongee mbele ya wananchi, aiite haifanyi kazi kwa weledi, aeleze jinsi inavyovunja sheria za uchaguzi, aeleze jinsi ilivyo na upendeleo na awatake wananchi Waipuuze mpaka wajirekebishe. Akifanya hivi Wananchi hawatoichukulia TBC serious na kwa hivyo ile advantage ambayo Magufuli anaipata kwenye hiyo TV na redio itapunguzwa sana. Lissu kuna haja ya kuiattack TBC verbally tena kwa nguvu nyingi sana mbele ya wananchi. Wakijiona wanapoteza mtaji wa watu kwa watu kuwapuuza watajirekebisha.

2. Kwa upande wa wasanii, endelea kumpiga vijembe Magufuli kwa kuwaletea watu disko badala ya kunadi sera za kusaidia kuboresha maslahi ya wafanyakazi, kuondoa kitambulisho cha wamachinga, kuleta katiba mpya, etc.

Wasanii wana nguvu, kuna haja ya kutengeneza Meseji ya Kuponda performance za wasanii zilizopitiliza kwenye kampeni za Magufuli. Hapa meseji iwe ni kuwa uchaguzi huu ni uchaguzi wa masuala yanayogusa maisha ya wananchi, elimu yao, afya yao, ugali wao mezani, pensheni zao, siyo kuletewa watu wa kukatakata viuno majukwaani eti iwe ndiyo sera ya kuombea kura.
Wakumbushe wananchi kisa cha mwanamuziki mkubwa Bob Marley aliyekataa katakata kumuendorse mgombea yeyote wa siasa huko Jamaica miaka ya 70 kitendo kilichomjengea heshima zaidi kwa watu wa Jamaica, Sembuse hawa akina Diamond? - Ni nani kati ya hao kafikia star power ya Bob?

Elezea kwa wananchi jinsi Wasanii hawa wasivyo na maono ya kuwasaidia wao wenyewe au kuwasaidia wenzao, Eleza jinsi BASATA ilivyowatesa wasanii kwa kufungia kazi zao mbalimbali lakini leo wako busy kuitetea CCM.

Kuna haja kubwa ya kuwadiscredit hawa wasanii mbele ya umma, lengo la kuwadiscredit siyo kwamba wananchi wasiwapende la hasha, Lengo ni wananchi wasilink performance zao majukwaani na kumpigia kura Magufuli. Lengo hapa ni kudiscredit political undertone katika performance za hao wasanii majukwaani.

Naamini ikiandaliwa meseji nzuri ya kuwakaanga TBC na wasanii mbele ya wananchi mpaka wananchi wakawaona kuwa ni adui wa mabadiriko wanayoyataka, Wasanii wakishaanza kuona wananchi hawana time nao kwenye ushawishi wa kisiasa isipokuwa burudani tu, Tutakuwa tumemnyang'anya Magufuli kete mbili anazodhani zinamsaidia kisiasa!

Lissu piga spana kisawasawa hivi vitu viwili kwenye kila mkutano, Hii itasaidia sana wapiga kura kufuta ushawishi wowote waliokwishajengewa na hivi vitu viwili, lakini pia itaweka kigingi kusaidia vitu hivi visiwe effective katika siku zifuatazo za kampeni.
Kwa maoni yangu TBC inatakiwa ifanyiwe mabadiliko makubwa Sana ya kimfumo na kiutendani
 
🤣😂🤣😂🤣 IVI NYIE BAVICHA MKISHAANDIKA UZI HUWA MBARUDIA KUUSOMA AU??? BADALA UMSHAWISHI KIBARAKA MZEE WA FARAGHA AMWAGE SERA WEWE UNAMWAMBIA APONDE WASANII NA VYOMBO VYA HABARI HAYA YATAWASAIDIA NINI WANANCHI WA NDOTONI ANAKOFIKIRIA ATAKUWA RAISI🤣😂🤣😂
 
hizo ni propaganda kijana wa lumumba elewa....
 
Attachments

  • IMG-20201010-WA0017.jpg
    IMG-20201010-WA0017.jpg
    65.3 KB · Views: 2
ccm wanajua fika kbs bila wasanii mikutano yao itapwelepeta, jana nimemcheki chanel 10 Mama Samia akiwa Rukwa watu kiduchu kishenzi (hakuna wasanii) kama mkutano wa udiwani!.

sasa hilo halitakiwi kutokea kwa jiwe, kumbuka tunajaribu kuaminisha kwa nguvu zote anakubalika kwa mamilioni ya watu and so atapita kwa kimbunga!!!.
Walichitakiwa kufanya watanzania ni kuwasusia wasanii wote. Watanzania wanatakiwa kuwasusia hata baada ya uchaguzi ili waache kutumika kwenye kampeni za kulinda utawala ulioshindwa. Hili najua ni gumu sana hasa kwa nchi yenye wafuata mkumbo kama Tanzania lakini nakupia ingekuwa kwa nchi yenye watu wanaojitambua hao wasanii baada ya mwaka ungekuta wote wanafanya kazi ya umachinga.
 
Lisu ni galasa tu.......anapoteza muda kutimiza matakwa ya mabwana zake wa ulaya. Watanzania hawajawa wajinga kiasi hicho kukubali kuongozwa na beberu jeusi
******** na genge lake ndo mi beberu tena mibeberu ya hovyo kabisa.
 
Msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
 
Kiukweli kabisa bila wasanii wakubwa na vyombo vya habari vya umma leo kampeni za Magufuli zingekuwa nusu kaputi.

Kiufupi kampeni za Magufuli za mwaka 2020 ni sawasawa na kampeni za Magufuli za mwaka 2015, hotuba ni zilezile yaani hakuna jipya.

Ila Magufuli ameifanya TBC kama TV yake binafsi, inamrusha yeye tu, wala haina mpango wa kurusha wagomnea wengine wa upinzani tishio kwake kama Lissu mwenyewe.

Pamoja na TBC kumsaidia Magufuli kusikika zaidi kuliko wagombea wengine kinyume cha sheria za Uchaguzi, upendeleo huo wa kupita kiasi kwa Magufuli dhidi ya wagombea wengine pia unawafanya wananchi Waikinai hiyo TV na hivyo indirectly kuanza Kumkinai Mgombea wa CCM.

Sasa Lissu anatakiwa afanye yafuatayo ili kumuondolea Magufuli advantage ya vyombo vya umma kwake

1. Discredit TBC, ichongee sana kwa umma kwenye kila mkutano wa kampeni, yaani ishushe thamani mpaka watu waidharau

Kila chombo cha habari kinapenda kukubalika, kuheshimika na kupata watazamaji au wasikilizaji. Kwa hiyo Lissu hapa anatakiwa aishushue, ailaani TBC TV na redio yake, aichongee mbele ya wananchi, aiite haifanyi kazi kwa weledi, aeleze jinsi inavyovunja sheria za uchaguzi, aeleze jinsi ilivyo na upendeleo na awatake wananchi Waipuuze mpaka wajirekebishe. Akifanya hivi Wananchi hawatoichukulia TBC serious na kwa hivyo ile advantage ambayo Magufuli anaipata kwenye hiyo TV na redio itapunguzwa sana. Lissu kuna haja ya kuiattack TBC verbally tena kwa nguvu nyingi sana mbele ya wananchi. Wakijiona wanapoteza mtaji wa watu kwa watu kuwapuuza watajirekebisha.

2. Kwa upande wa wasanii, endelea kumpiga vijembe Magufuli kwa kuwaletea watu disko badala ya kunadi sera za kusaidia kuboresha maslahi ya wafanyakazi, kuondoa kitambulisho cha wamachinga, kuleta katiba mpya, etc.

Wasanii wana nguvu, kuna haja ya kutengeneza Meseji ya Kuponda performance za wasanii zilizopitiliza kwenye kampeni za Magufuli. Hapa meseji iwe ni kuwa uchaguzi huu ni uchaguzi wa masuala yanayogusa maisha ya wananchi, elimu yao, afya yao, ugali wao mezani, pensheni zao, siyo kuletewa watu wa kukatakata viuno majukwaani eti iwe ndiyo sera ya kuombea kura.
Wakumbushe wananchi kisa cha mwanamuziki mkubwa Bob Marley aliyekataa katakata kumuendorse mgombea yeyote wa siasa huko Jamaica miaka ya 70 kitendo kilichomjengea heshima zaidi kwa watu wa Jamaica, Sembuse hawa akina Diamond? - Ni nani kati ya hao kafikia star power ya Bob?

Elezea kwa wananchi jinsi Wasanii hawa wasivyo na maono ya kuwasaidia wao wenyewe au kuwasaidia wenzao, Eleza jinsi BASATA ilivyowatesa wasanii kwa kufungia kazi zao mbalimbali lakini leo wako busy kuitetea CCM.

Kuna haja kubwa ya kuwadiscredit hawa wasanii mbele ya umma, lengo la kuwadiscredit siyo kwamba wananchi wasiwapende la hasha, Lengo ni wananchi wasilink performance zao majukwaani na kumpigia kura Magufuli. Lengo hapa ni kudiscredit political undertone katika performance za hao wasanii majukwaani.

Naamini ikiandaliwa meseji nzuri ya kuwakaanga TBC na wasanii mbele ya wananchi mpaka wananchi wakawaona kuwa ni adui wa mabadiriko wanayoyataka, Wasanii wakishaanza kuona wananchi hawana time nao kwenye ushawishi wa kisiasa isipokuwa burudani tu, Tutakuwa tumemnyang'anya Magufuli kete mbili anazodhani zinamsaidia kisiasa!

Lissu piga spana kisawasawa hivi vitu viwili kwenye kila mkutano, Hii itasaidia sana wapiga kura kufuta ushawishi wowote waliokwishajengewa na hivi vitu viwili, lakini pia itaweka kigingi kusaidia vitu hivi visiwe effective katika siku zifuatazo za kampeni.
TBCCCM Polisiccm na NECCCM Tumeccm sasa ni vyombo binafsi vya CCM kibaya kuliko vyote wanalipwa mishahara kutokana na kodi za watanzania wote ambao wengi walipa kodi siyo wapenzi wala wanachama wa CCM, iweje pesa za walipa kodi ikalipe mishahara watumishi binafsi wa CCM?
 
Msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Msaliti ni yule hutumia vyombo vya umma vinavyolipwa mishahara kwa pesa za walipa kodi kufanya kazi binafsi za CCM kwa njia haramu za kishetani
 
Mnasahau Lissu anashindana na CCM sio Magufuli pekee. Mfano mzuri ni Membe alipokua Ccm alionekana na nguvu kubwa kuliko Membe wa zitto
 
******** na genge lake ndo mi beberu tena mibeberu ya hovyo kabisa.
CCM wakienda ulaya kuomba misaada kwa wazungu huwaita wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu ushetani wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike
 
Zile siku za mwanzo ambazo Mbowe aliwaattack TBC na kuwasemea mbovu iliisaidia sana kampeni za Lissu maana wananchi walikuwa wameipuuza CCM. Baada ya TBC kuona move ile ya Mbowe imewaharibia sana mbele ya umma, wakatufuta namna ya kumalizana na Mbowe ili kulinda heshima yao. Walivyopata suluhu tu Wakaendeleza mchezo wao wa upendeleo kwa ari kubwa zaidi.

Kinachotakiwa sasa ni kuwamwagia kinyesi mpaka wananchi wasiwachukulie serious kabisa na hii itapelekea kumpunguzia Jiwe advantage ya vyombo hivi
Kwamba TBC ndo waliomfata Mbowe kutafuta suluhu🤔? Kwa kipi ambacho ingepoteza, mpaka wamfuate, wakati yeye ndo aliwafukuza?
 
CCM wakienda ulaya kuomba misaada kwa wazungu huwaita wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu ushetani wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike
Hawa wadudu hovyo kabisa
 
CCM wakienda ulaya kuomba misaada kwa wazungu huwaita wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu ushetani wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike
Unakosea kusema kwamba, wakikataa ushetani wa CCM ndio hugeuka kuwa mabeberu. Wanakuwa mabeberu pale wanapoleta sera ambazo kwa namna fulani zinaleta athari hasi kwa taifa letu, vinginevyo wao sio mabeberu.
 
Mnasahau Lissu anashindana na CCM sio Magufuli pekee. Mfano mzuri ni Membe alipokua Ccm alionekana na nguvu kubwa kuliko Membe wa zitto
CCM hutumia mbinu za kishamba kishetani kuwanyong’onyesha wapinzani,’Mfano sasa membe kafungiwa A/C zake zote kaporwa pesa zake ndugu zake rafiki zake wengi nao wamewachukulia pesa zao ni uonevu ulioje na endapo mtukufu magufuli atakuwa nje ya ikulu lazima avuliwe kinga apate kujibu tuhuma zake kama Jacob zuma wa South Africa.
 
Back
Top Bottom